Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pambaneni ndugu zetu nafasi ya saba kwny ligi kuu ipo wazi kabisa....ni nyie tu kujitahidi kidogo
 
Nasikia Arsenal wameshaamza mazungumzo nae chini kwa chini huenda akajiunga January

Mikel juz kasema anataka kila namba iwe na watu wawili wenye uwezo sawa

Eddie bado hampi changamoto Jesus
Kama anapatikana, tumchukue
 
Mm niko Against unavyo fikiria, kwa uzoefu wangu Team zinazocheza mpira style ya Bayern na Liverpool hua tunapata wakati mgumu sana kupata matokeo! Na kwa performance ya Bayern kwa sasa huwezi sema ni mbovu, ni mapema sana ku conclude.
#Tupunguze mihemko na nyege za UEFA

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya Spurs, bado Raya ni wa kuanza mbele ya Ramsdale.

Kwa namna Spurs wanavyo press siku hizi, Ramsdale hupata tabu sana dhidi ya timu za namna hiyo.

Tunahitaji kipa mwenye courage ya kupiga pass ku overcome pressing ya timu pinzani.. na uzuri wa pressing ukishaishinda basi upande wa wapinzani huwa unaacha space kubwa ya kuishambulia.

Hapo ndipo tutakapohitaji distribution za Raya.

Sio hilo tu, Raya ni shot stopper mzuri kama alivyo Ramsdale. Na ni mzuri sana kwenye aerial balls na swipes.

Tunambonda Spurs, tunasogea juu kumfuata City.
 
bora umwambie mapema kabisa ndugu yetu Masingeli, maana hua anapenda kuchukulia mambo kiurahisi rahisi na kuwaaminisha watu vitu ambavyo hata yeye mwenyewe hua hana uhakika navyo, halafu mambo yanapoenda ndivyo sivyo analikimbia jukwaa na kuwaachia msala wenzake humu ndani
 
Raya kamzidi Ramsdale kwenye shot stopping.
 
Ndio tatizo la mashabiki, wakishakuchukia wanaangalia makosa tu. Kuna mwamba kasema humu Raya tunaangalia mema tu, mapungufu tunayapotezea. Hata akichezeshwa Rams bado tutaangalia mapungufu ili tumfananishe na Raya. Kosa kubwa. Arteta kuna kitu anakiona kwenye uwanja wa mazoezi. Jana Kai kacheza poa sana
 
Flano, ukiyachulia mambo magumu hutoboi hata kwenye maisha ya kawaida, mwamini Onana, mwamini ETH, mwamini Rashidi, Bruno na wengine mtatoboa. Hamisi anamwamini sana Arteta ndio maana anajiamini kusema anachosema. That the trick.
 
Ni mtazamo wangu baada ya kuzifatilia hizo timu kwa muda ,na nimeanza kuusema hata kabla ya makundi kupangwa ,kinachotokea Sasa Ni uthibitisho tu wa kile mchambuzi nguli nilichosema ,

Baryen ya Sasa haifanyi pressing ,

Manjesta inayoshambulia kwa kubahatisha imeokota goli 3 , huoni Kuna shida Mahali,
 
Flano, ukiyachulia mambo magumu hutoboi hata kwenye maisha ya kawaida, mwamini Onana, mwamini ETH, mwamini Rashidi, Bruno na wengine mtatoboa. Hamisi anamwamini sana Arteta ndio maana anajiamini kusema anachosema. That the trick.
sawa anamuamini sana Arteta vipi baada ya kumuamini huko alitoboa?
Msimu ulioisha alikua anatuamisha humu kwenye mechi za mwisho za ligi anampiga liverpool Anfield halafu atampiga Mancity nyumbani kwake kisha akabidhiwe kombe lake, humu wenzake wakawa wanamkanya asipende kuchukulia mambo simple simple aliwabeza na kuwaita mamluki
baada ya kuanza kuchezea vipigo vitakatifu Msingeli si alitukimbia humu kabla hata ya ligi haijaisha?
Masingeli ndugu yangu unauponza ujueee
 
Naona unakazania niseme tutafungwa

Haya turudi jukwaani kwenu kule tukamjadili Onana na 7hag

Naona unajisahau Sana
 
PSV's Joey Veerman:

"(Defeat) is not very strange. I think this is the second most expensive team in the world.

As a footballer, you prefer not to say it, but you know this can happen. They signed a midfielder for 120m euros. He is more expensive than our entire squad!" [HITC]
 
Naona unakazania niseme tutafungwa

Haya turudi jukwaani kwenu kule tukamjadili Onana na 7hag

Naona unajisahau Sana View attachment 2756997
Ila mwanangu Masingeli una kipawa kikubwa sana kwenye ushawishi, yaani kuna watu humu wameshaanza kumsifia kabisa Kai Havertz baada ya kusikiliza mapambio toka kwa Masingeli.
Masingeli ngoja nifanye mchakato halafu nikutafute tufungue kanisa letu la upako tutapiga pesa kinyama mno ndugu yangu.
Kwenye kanisa letu tusisahau kuwachukua na chawa wako arsenal2004 pamoja na mkorea wakusaidie kwenye kazi ya unabii
 
Kama wwe ulivyokimbia jukwaa lenu la unyumbuni kule umewaachia msala wenzio........unarandaranda tu humu ukipiga soga huku nyumba inaungua kule nyumbuz
 
Ok sawa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Usisingizie watu, Wala kufarakanisha watu

Twende jukwaan kwenu kule tukamjadili Onana na 7hag mpaka Sasa hana playing style alichofanikiwa Ni kufanya Udalali na kampuni lake la SGE ndani ya manjesta
 
Arsenal inafanya mazungumzo ya chini chini na Brentford kuhusu upatikanaji wa Ivan Toney
 
Usisingizie watu, Wala kufarakanisha watu

Twende jukwaan kwenu kule tukamjadili Onana na 7hag mpaka Sasa hana playing style alichofanikiwa Ni kufanya Udalali na kampuni lake la SGE ndani ya manjesta
Sasa Onana tumjadili nini wakati yeye mwenyewe tayari ameshajijadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…