Sami Mokbel81 alisema kwa kiwango Cha Raya mazoezini nafasi ya Ramsdale ipo mashakani ,akasema Wiki zijazo Raya ataanza kukaa Golini
Juzi kasema Baryen na Chelsea wanamtaka Lakini Arsenal haitamuuza chini ya £60m
Leo Raya kaanza tena
View attachment 2756279