Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“I don’t think Arsenal will fear too many clubs on the continent.”

@HarrySymeou says Arsenal fans can expect their side to go deep into this season’s UEFA Champions League.
 
David Raya starts for Arsenal

Arsenal team: Raya, White, Saliba, Gabriel, Zinchenko, Odegaard, Rice, Havertz, Saka, Jesus, Trossard.
 
Sami Mokbel81 alisema kwa kiwango Cha Raya mazoezini nafasi ya Ramsdale ipo mashakani ,akasema Wiki zijazo Raya ataanza kukaa Golini

Juzi kasema Baryen na Chelsea wanamtaka Lakini Arsenal haitamuuza chini ya £60m


Leo Raya kaanza tena
 
Madrid Hana Timu yakusumbua UCL mwaka huu,nikisema hivi watu wanaona tunaropoka tu

Timu haina world. Class GK,CF,CB
 
Kwa wingi wa mashindano na ubora alionao acha wagawane majukumu! Sioni cha ajabu hapo


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
FC Bayern gonna pay tonight for what they did to professor na Orphans wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…