Ni kwli kabisa hatujacheza UEFA mda mrefu kidogo....ndo tumerudi rasmi kuungana na wenzetu....ila nyny kimbienikimbieni mara ya mwsho hii....maana kuja kupata hyo nafasi tena labda mpk yqchezwe makombe ya Dunia kama matano hv
Unapata wapi nguvu ya kuja humu ,timu yako safari mnashuka darajaHongereni wana Arse888 kwa kuingia tena Uefa, hili kombe ni lenu kbs, Masingeli ameshawaambia mnalichukua.View attachment 2755936
Arsenal ya maziwa na asali
Narudia tena....mwanzo mwa msimu huu tuli test mitambo kidogo kwa braza Man City 🤠🤠🤠...hii ni kutoa taarifa tu ifikapo May kuna kamedali kengine tutakavaa...kombe gani...sijui...halafu tunaposema tumerudi kwa wenzetu....huko nyuma tulikuwa tunahudhuria sana hiko kikaoa cha UEFA miaka nenda Rudi...last time was 2017 ndo mara ya mwsho kushiriki....Sasa ww ambaye mara ya mwsho kushiriki ni miaka 20 ilopita ndo utaona haya ni mambo ya ajabu...ndo maana nimesema kimbiakimbia mara ya mwsho maana hii bahati haitakaa ijirudie kwa miaka 20 tena mbeleTupo hapa may sio mbali hamtavaayoyote ilee. Wenzenu kina nan? Huna mwenzako huko wewe unaenda kushangaa mipira ya uefa wengine tumeenda kutafutahuko na si kushangaa mipira ya uefa.
Senene na uduvi kwa wingiArsenal ya maziwa na asali
Hongereni wana Arse888 kwa kuingia tena Uefa, hili kombe ni lenu kbs, Masingeli ameshawaambia mnalichukua.View attachment 2755936
Hivi wapi ulikuta ndugu wanazungumzia afya ya ndugu yao asiyeumwa wakati kuna mwenzao mmoja yuko mahututi hospital?Kweli Manchester United ni timu kubwa yani arsenal inacheza leo na haiongelewi kabisa.
Kweli Manchester United ni timu kubwa yani arsenal inacheza leo na haiongelewi kabisa.
Amekataa etiView attachment 2755988
Namuona Arteta anashiriki kwenye rondo na akipokonywa anaingia kati bila upendeleo. Ila nadhani huyu kocha mwenyewe ndiye anawaumizaga kina Partey na wengine kweye training.
Ndo kwa PSV?ila UCL ya moto aisee. nadhani kutokuwepo kwa muda mrefu kunaweza kutuathiri kisaikolojia leo, tukacheza hovyo na kufungwa. tutaanza kuamka game ya pili.
Huyu Kenge mbona kaongea kwa kujiamini Sana hizo paragraph mbili za mwisho| PSV manager Peter Bosz on Arsenal:
“I think Arsenal are the toughest opponents in the group. Arsenal also are a team that is in shape. The most important thing is that we show courage.
“We are playing against a very good opponent, but we have to dare and want to play football ourselves.
“That will be very important if we are to possibly win. They are trying to create one more man in midfield, and we are going to counter that. We will adapt at a detailed level, but our view will not change.” [@arsenal]
Ataelewa show leoHuyu Kenge mbona kaongea kwa kujiamini Sana hizo paragraph mbili za mwisho
Ina maana hatuogopi ata kidogo? Yan hatetemeki uko alipo?