Mikel Arteta kuhusu Vieira:
"Hilo lilikuwa kosa langu - nilisema mara nyingi kwamba sijamchezesha vya kutosha. Tunaona kila siku kipaji ambacho anacho na kile anachoweza kuleta kwa timu na nilifurahia sana uchezaji wake mwishoni mwa wiki. View attachment 2754967
Wilshere alivaa medali 2 za FA Cups akiwa ndani ya Arsenal....au sio kombe hlo mkuu
Ingekuwa ni vikombe vya ajabuajabu...Nyukesto msingekuwa mnashiriki kabisa🤠🤠🤠🤠...mpk leo hujanijibu mna makombe mangapi tangu kitu kinachoitwa mpira kianze kuchezwa hapa ulimwenguniTunaongelea makombe ya maana na sio ivyo vikombe mlivyojaza kabatini kwenu kuliko team yoyote ile .
Ingekuwa ni vikombe vya ajabuajabu...Nyukesto msingekuwa mnashiriki kabisa...mpk leo hujanijibu mna makombe mangapi tangu kitu kinachoitwa mpira kianze kuchezwa hapa ulimwenguni
Naona unaongea kwa kujitutumua....as long as ulishawahi kulichukua basi inahesabika ww ni bingwa tyri🤠🤠🤠....hata nyny hvyo vikombe ambavyo mmechukua hata kabla ya vita ya kwanza ya Dunia inahesabika ndo maana vpo kwny history....inawezekana naongea na bwna mdgo sana...Arsenal inabeba ndoo mwaka 2004 watu tunaangalia burudani....FA Cups za karibuni tupo tunaangalia....ila ww Sasa...kipindi mnashinda hayo makombe hata Babu yako hakuwepo ila ni history....kwhyo kombe ni kombe...ndo maana nikakwambia yakizungumziwa mambo ya UEFA napiga kimya kwa sababu sina ngebe za kuongea huko ila hmu Uingereza tunaweza tukaongeq....na mwaka huu tunavaa medali....kombe gani🤠🤠🤠....sijui...ila Nyukesto...mtamaliza nafasi ya saba...na hyo ndo itakuwa achievement yenu kubwa4 league title , 6 FA Cup hatuna mzuka nayo makombe ya vichupi nilishakuelekeza huwezi kujisifu kwa kombe ambalo kwako ni recently halafu tukiangalia miaka mingapi imepita toka uchukue tunakuta ni miongo miwili ( 2 decades) ni mwendawazimu pekee anaweza kujisifu kwa kombe hilo .
Punguza ukatili mkuu,be humble suicide is real.jali uhai wa watu.Naona unaongea kwa kujitutumua....as long as ulishawahi kulichukua basi inahesabika ww ni bingwa tyri....hata nyny hvyo vikombe ambavyo mmechukua hata kabla ya vita ya kwanza ya Dunia inahesabika ndo maana vpo kwny history....inawezekana naongea na bwna mdgo sana...Arsenal inabeba ndoo mwaka 2004 watu tunaangalia burudani....FA Cups za karibuni tupo tunaangalia....ila ww Sasa...kipindi mnashinda hayo makombe hata Babu yako hakuwepo ila ni history....kwhyo kombe ni kombe...ndo maana nikakwambia yakizungumziwa mambo ya UEFA napiga kimya kwa sababu sina ngebe za kuongea huko ila hmu Uingereza tunaweza tukaongeq....na mwaka huu tunavaa medali....kombe gani....sijui...ila Nyukesto...mtamaliza nafasi ya saba...na hyo ndo itakuwa achievement yenu kubwa
Naona unaongea kwa kujitutumua....as long as ulishawahi kulichukua basi inahesabika ww ni bingwa tyri....hata nyny hvyo vikombe ambavyo mmechukua hata kabla ya vita ya kwanza ya Dunia inahesabika ndo maana vpo kwny history....inawezekana naongea na bwna mdgo sana...Arsenal inabeba ndoo mwaka 2004 watu tunaangalia burudani....FA Cups za karibuni tupo tunaangalia....ila ww Sasa...kipindi mnashinda hayo makombe hata Babu yako hakuwepo ila ni history....kwhyo kombe ni kombe...ndo maana nikakwambia yakizungumziwa mambo ya UEFA napiga kimya kwa sababu sina ngebe za kuongea huko ila hmu Uingereza tunaweza tukaongeq....na mwaka huu tunavaa medali....kombe gani....sijui...ila Nyukesto...mtamaliza nafasi ya saba...na hyo ndo itakuwa achievement yenu kubwa
Tunaongelea makombe ya maana na sio ivyo vikombe mlivyojaza kabatini kwenu kuliko team yoyote ile .
Unaenda kuangalia namna Nyukesto atakavyoshughulikiwa na AC Milan🤠🤠🤠....Hawa hata wacheze uchi kwny hili group hawafikishi point tisaVikombe vya Emirates na mwanaFA hawa wakora ndio wanajivunia navyo.
Zimebaki dakika 5 tu kwa niaba ya Labyrinth 84 napenda kuwaalika wazee wa false hopes wote humu mujionee wenyewe jinsi mashindano ya wanaume UCL jinsi yanavyochezwa kiume kati ya Ac Milan vs Newcastle.
Mimi nakuhakikishia Newcastle ataongoza kwenye group lao.Unaenda kuangalia namna Nyukesto atakavyoshughulikiwa na AC Milan....Hawa hata wacheze uchi kwny hili group hawafikishi point tisa
Na ndo maana nikakwambia it's called history....na kombe ni kombe as long as umelishinda....mwaka huu tunavaa medali tena maana ile ya community shield mnasema lile ni sahani 🤠🤠🤠....ila Nyekusto mkimaliza ligi hata nafasi ya Tano niulizwe mm imekuwaje....nyny ni saba kushuka chini huko...tena mkifanya masihara Man U atawapora hyo nafasi nyie mshike nane kabisa hukoHio Arsenal ya 2004 unayojivunia nayo mimi naijua mwanzo mwisho sio lauren maya sio pascal cygan sio Edu sio viera sio gilberto silva na hata within milliseconds nakutajia na namba walizokuwa wanavaa mgogoni pasipo kukosea hata 1 kama unahisi niko mdogo kiasi ichooo kisa nashabikia Newcastle unajidanganya. Arsenal naijua mwanzo mwisho kuendana na umri wangu toka highbury mpaka emirates .
KIFUPI ARSENAL NI FALSE HOPE. Kama unataka kuamini fuatilia huko juu ujihakikishie ni jinsi gani mlivyo false hopers kuna wajinga wanawaaminisha mtafika uefa finalEUROPA tu imewashinda mnafikiri UEFA ni emiratíes cup sio.
Hyu msela mi namshangaa sana....Kila nikijaribu kufanya analysis ya kile kikosi cha Nyukesto....sioni hata mchezaji kabisa unayeweza kusema hyu ataibeba timu....simuoni....ni kagrup ka wahamasishaji kamekusanywa kakafundishwa namna ya kukimbia vzuri halafu kakapelekwa uwanjani...ushahidi angalia mechi zao....tangu ligi inaanza mi naangalia mechi zao zte yaani sioni kitu special kabisa cha kushuka....yaani hakunaPunguza ukatili mkuu,be humble suicide is real.jali uhai wa watu.
Labda wakaongoze group la kwaya mkuu....tupo hapa🤠🤠Mimi nakuhakikishia Newcastle ataongoza kwenye group lao.
Newcastle Hana timu ya maanaMimi nakuhakikishia Newcastle ataongoza kwenye group lao.
Tulia uone kipindi cha pili jinsi Milan anavyoachia points 3 kiulaini kabisa.Newcastle Hana timu ya maana
AC Milan mchovu tu Hadi muda huu
Number of shots taken after 20 minutes:
◉ off target 9 na 6 on target- Milan
◎ 0 off target na 0 on target- Newcastle
Manjesta, Newcastle, Chelsea msimu huu mtagombea Europa na conference league
Ile na Everton, game inaanza tu zinny yupo dimba la juu rice namuona yupo dimba la chini.The Zinchenko role.
Bado sijaona mchezaji Kama Zinchenko kwasasa kwenye hii modern football,Kama yupo mtajeView attachment 2754702
Mpira ni mchezo wa kugusana mkuu....yule hajasukumwa amejiangusha...it was too soft....wte Milan na Nyukesto wamekutana pipa na mfuniko...yaani kuna afadhali na Bora liendeTulia uone kipindi cha pili jinsi Milan anavyoachia points 3 kiulaini kabisa.
Ac Milan hana tofauti na Asaninyau attemps 2300 halafu anaishia kupata kagoli kamoja, Newcastle akiingia ndani ya box mara 10 jua tayari ana goli moja.
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha refa roho inamsuta kwa kuwanyima Newcastle penalty ya wazi kabisa baada ya Longstaff kusukumwa na kuangushwa ndani ya box akiwa na mpira akienda kufunga.