Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leicester Wana history gani pale EPL...unazungumzia watu waloshuka daraja mkuu🤠🤠🤠....timu Haina financial muscles yyte....no playing style...nilidhani tuta discuss kimpira kumbe unaongea kishabiki....ukitaka kufanya comparison ya matukio....wafananishe wale jamaa na nyny...wao walipata bahati ya kubeba ndoo wakashuka daraja....nyny mlipata bahati ya kuingia top 4 ila inavyoonekana mwaka huu kama mnaenda kupambana kutoshuka daraja 🤠🤠🤠...yaani mnashindana na Chelkenge kule chini kupokezana matatizo
 
United shida kubwa ni management pamoja na tajiri, hawa wahuni wamefocus kuitumia brand ya United kibiashara zaidi kuliko mpira, na mbaya zaidi kila timu inavyoboronga wao wanazidi kupata wadhamini wanaoweka mpunga mrefu zaidi hivyo hawana wasiwasi wowote na matokeo ya mechi.
Avram na Joel Glazer unaambiwa hata wakibeti hua wanaiua Man United kwenye mikeka yao, sasa kama mpaka boss anaamua kuiua timu yake kwenye betting sisi mashabiki tutegemee kitu gani?
Mali ya mirathi hua haina uchungu sana kama mali yako uliyoitafuta kwa jasho.
Kwa United hii bila ya kubadilisha mmiliki tunaweza kumaliza hata karne nzima bila ya kutwaa kombe lolote la maana hata tukisajili kikosi chote cha Mancity pamoja na kocha wao.
 
Grazzer wanahusika vipi na uchezaji wa kaunta na kuvizia

Grazzer wametoa had €85m kwa CF

Ndani ya madirisha matatu wamempa 7mayai £400m
 
Hapo hatuzungumzii mambo ya historia ndugu yangu, tulichokua tunakizungumzia ni false hopes hizo mnazopeana na kina Masingeli, hii ndio kwanza mechi ya 5 ya ligi mnadanganyana kiasi hiki wakati kuna mechi 33 zilizosalia.
Mkiambiwa mpunguze false hopes mnahisi kama vile mnaonewa wivu, wakati mmejionea wenyewe msimu uliosha jinsi wanaume walivyowatanguliza mbele kwa points 8 halafu zimesalia mechi 3 mkashindwa kushikilia bomba.
 
Naisikiliza hapa. Inanifikirisha sana. So tuanze kujiandaa kuona substitution za goalkeeper from now.

Huwezi kuwa kocha wa mchongo, ukawaza haya mambo.

In Arteta we trust.
 
Grazzer wanahusika vipi na uchezaji wa kaunta na kuvizia

Grazzer wametoa had €85m kwa CF

Ndani ya madirisha matatu wamempa 7mayai £400m
Masingeli acha kukaza hilo fuvu lako Mourinho alishajibu hilo swali lako miaka 4 iliyopita.
 
When United win - 7hag is the best manager, Licha is the best CB, Bruno best midfielder, rashford is best winger give him a Balon dor

When United lose - Glazers are too blame for this
 
Wakati wenu wa furaha ndo huu, kabla vilio vya UCL havijaanza.
Hizo habari kawaambie manjesta ,Arsenal tunasubiri Robo fainal tunacheza na Nani

Groups stages tutaongoza kundi,

16 Bora tunapita maana tutapewa kiazi

¼ fainal ndio mechi tunaisubiri
 
Tupe matokeo ya mwisho. Mshkaji unawaaminisha wenzako humu kwamba UCL timu inayowasumbua kichwa ni MAN CITY tuu. Una balaa sana
Nimemuaminisha Nan,huo Ni mtizamo wangu kila mtu ana mtizamo wake

Niliuweka mtazamo huu kitambo ,hata makampun makubwa , supercomputer yanasema Mancity ,baryen ,arsenal na Madrid ndio favourite



Madrid Hana timu ya maana msimu huu hata Ancelot analalamika Hana CF, Hana best GK ,

Yaan unaanzaje kuwaogopa Madrid Wana GK kepa arizabalaga ,

Hata hili unataka ufundishwe
 
Tupe matokeo ya mwisho. Mshkaji unawaaminisha wenzako humu kwamba UCL timu inayowasumbua kichwa ni MAN CITY tuu. Una balaa sana
huyu ndio Mc Masingeli a.k.a mchungaji Mackenzie, kazi yake ni kuziswaga kondoo za humu popote anapotaka ziende lazima zimtii.
Kondoo za humu huziambii kitu kuhusu Masingeli, yaani tayari Masingeli kashaziaminisha Kondoo zake humu kua Bayern, Barcelona, Milan na Madrid wote ni wabovu hivyo hakuna timu yoyote ya kuwazuia Arsenyau kuchukua UCL msimu huu zaidi ya Man City.
Hapa Kondoo zote zinaiombea Mancity watolewe mapema ili Arsenyau atangazwe mshindi wa Ucl 2023/204
Akili za kiwaki kabisa hizi
 
Unanilisha maneno tu

Halafu Mimi nafanya analysis ya timu zote ninazoziona ,nilifanya mapema

Now makampun na supercomputer yamekuja kusema vile vile

Wanasema City Ndiye anapewa % kubwa akifatiwa baryen ,Arsenal mwisho Madrid

Vitu vidogo Kama hivi nitakufundisha mpaka lini

Tena hata huyo baryen yupo unga unga Sana

Sisi UCL tunasubiria ¼ fainal tutacheza na Nan Kati ya Madrid ,baryen ,au Mancity

Group letu haihitaji uchawi kujua tutaongoza , 16 Bora tutapewa mshind wa 2 wa magrupu mengine Kama kina AC Milan aliyekula 5 ,inter Milan, Porto , benfica,Napoli ,PSG

Hao Hakuna Ni timu ambazo huwezi kuzipa nafasi mbele ya Arsenal hii .


Ndio Maana Mimi binafsi naiwaza robo fainal kutoboa


Shida yako unafananisha Arsenal na manjesta ambayo imepigwa goli la aibu na Brighton pale OT ,kwa pasi 30 bila mchezaji wa manjesta kugusa mpira
 
Kuna sauti inaniambia Brighton ana push top 4 msimu huu

Hizi timu ndogo ndogo za kupaki Basi kina manjesta,Chelsea , Newcastle, atazibutua Sana ,ataokota points nyingi kwa wapaki Basi

Hebu fikiria Kujiamini kwa Di Zerbi anaenda OT ,anawakosa Estupinan,Fati, Evan Ferguson,Enciso,Gilmour , Sol March, Hawa ni key players wamuhimu

Lakini manjesta pale OT anautafuta mpira kwa tochi

Itoshe kusema naiona Brighton ana push top 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…