Bado una hangover ya hiki kipigoNo UCL no right to speak.
Humu huwa mnajadili nini, au mnauziana kahawa kimya kimya
Pepe ana uwezo mkubwa kuliko Anthony masebenemchezaji kucheza vizuri ama vibaya inaathiriwa na vitu vingi vya ndani ya uwanja.
inaweza kuwa ni mfumo ama wachezaji wenzie wanaomzunguka.
naimani.. anthony chini ya arteta kwa sasa jinsi timu inavocheza.. angecheza vizuri even noni madueke pia.
Aisee hyu mjapani naona kama alivyotoka majeruhi amerudi kivingine kabisa🤠🤠🤠...kuna kpndi alishuka kiwango kidogo ila Sasa unauwasha kwlikwli...yy ni right footed player ila anavyoutumia mguu wake wa kushoto aisee inazidi kunistaajabisha...mabeki wetu wasipopata majeraha makubwa msimu huu tutakuwa na msimu mzuri sana🤠🤠🤠Tomiyasu anachafua LCB mechi na Germany
Tomiyasu on either his left or right foot, his balls are just unreal.. His cameo against United playing as the inverted leftback moving into DM channels says it all.. A big season coming for him
Pepe ana uwezo mkubwa kuliko Anthony masebene
No UCL no right to speak.
Humu huwa mnajadili nini, au mnauziana kahawa kimya kimya
Mpira hajui, bado anawapiga mateke watoto wa watuAnthony masebene shughuli yake imeisha
Ile timu mbovu yoteNiliangalia uchezaji wa Kai jana German vs Japan,jamaa hana maajabu kabisa,sijui ana matatizo gani
Anthony hamna kitu pale kakamchezaji kucheza vizuri ama vibaya inaathiriwa na vitu vingi vya ndani ya uwanja.
inaweza kuwa ni mfumo ama wachezaji wenzie wanaomzunguka.
naimani.. anthony chini ya arteta kwa sasa jinsi timu inavocheza.. angecheza vizuri even noni madueke pia.
Ile mechi nami niliiangalia nimuone nikijua kwamba huenda Arteta hawezi kumtumia na bado mavi matupu..Niliangalia uchezaji wa Kai jana German vs Japan,jamaa hana maajabu kabisa,sijui ana matatizo gani
Ile mechi nami niliiangalia nimuone nikijua kwamba huenda Arteta hawezi kumtumia na bado mavi matupu..
Katika wachezaji niliowaona wakipata game time ya kutosha katika positions tofauti tofauti na chini ya makocha tofauti tangu waje EPL, basi mmoja wapo ni Kai.. Lakini jamaa habadiliki and there is no any signs of improvement.
Huyo hata awepo kwenye timu ya Guardiola na akapewa muda still hawezi toboa.
Pale tunyooshe mikono! Arteta akiendelea kubisha atazidi kuumbuka mpaka akubali alipokosea.
Time will tell!
Move on kwa Kai hangaikeni na Mudrky mbwa nyieView attachment 2745128Kashamfukuzisha kocha wa ujerumani kazi, bado Arteta.
Back Kai Havertz!Niliangalia uchezaji wa Kai jana German vs Japan,jamaa hana maajabu kabisa,sijui ana matatizo gani
Atmosphere ya Emirates kwasasa inatishaUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
North London forever, WHATEVER the weather'. We've got you
Sehemu ya Wimbo pendwa sana kwa Arsenal Unaimbwa sana Uwanjani kabla , Kipindi, Na baada Match
Wimbo Huu haujaanza siku nyingi ni juzi tu je umetoka wapi nini sababu kuwepo
Credits ziende kwa Kocha Ameweza kurudisha Tradition (Tamaduni) Ameweza kurudisha Playing identity ( Utambulisho kiuchezaji) Ameweza kurudisha Team kwenye ushindani
Leo hii watu wanazungumza Arsenal kwa heshima sio tena ike banter error
Ulimsikia David Silva Anasema " Yeye kwa sasa Anaona Arsenal tu ndio inaweza kwenda toe to toe na Man city" japo ni maoni yake ila hayajaja hivi hivi Arsenal wameonesha kitu
Leo Arsenal Fans tunakaa kujadili Tactical Set up na vitu kama hivyo uko nyuma ilikuwa ni kuponda uongozi tu tumefika hapa sababu tumetengeneza Msingi na daraja bora kufikia malengo yetu
Of course North London Forever whatever the weather we have got you Arsenal
Amigo adios hermanosView attachment 2745189
Arsenal ina mashabiki hai na ina nguvu Sana kwa wachezaji wake kuliko timu yoyote ile dunianiArsenal walificha kesi ya Partey pamoja na kelele za yule Malaya kwenda mitandaoni kutaka Partey azuiwe bado Arsenal walisimama na Partey ,yule Malaya alikula spana kutoka kwa mashabiki wa Arsenal mpaka aka deactivate account
Shutuma za yule Malaya hazina tofauti na hizi za Anthony masebene
Anthony masebene ana shutuma karibu 3
Shughuli yake imeisha hapo
Manjesta wanaendeshwa Sana na Feminist