Yule mtoto mjerumani ni mchawi sana , sijui alizindika nini , yaani alimroga Lampard ,Tuchel , Potter ,Lampard tena na sasa kamriga Arteta ,sijui coaches wanaona nini kwa huyu dogo ,maana upuuzi anaofanya ground ni mwingi kuliko kawaida yet kwa hao makocha wote amekuwa full time starter kila mechi ,
Ni maajabu