Arsenal (The Gunners) | Special Thread

anajiita MCHAMBUZI NGULI kumbe UCHWARA tu
 
anajiita MCHAMBUZI NGULI kumbe UCHWARA tu
Huyu mm namuona mtu wa ovyo sana.. Kwa sbb ni kama nyumbu anasahau sana.

Alisema kbs kua hatokaa kuni QUOTE cha ajabu zaid kila mara kiherehere anani QUOTE na anadai mm natafuta Engagements wakat yy kila kukicha kwenda majukwaa ya watu na hoja uchwara za kutukana wachezaj na makocha wa team mpinzan ili aendelee kupata Engagements izo izo


Ndo maana wizara ya afya inasisitiza watu wachunguze afya ya akil ww unahis kwnn mkuu?.. Kwa sbb kuna watu kama hawa tunaishi nao kwny jamii yetu.
 
Uwe unaelewa.

Ili Rice na Kai wapangwe inabidi Partey awe RB na White awe CB na Gabriel awe benchi.

DM kucheza beki ni jambo la kawaida mno kama ndiyo kwanza unaona kwa Arteta basi subiri
Hii hoja yenu ya Partey kucheza RB ili Kai acheze Ni hoja mfu ambayo hata kuitetea hamuwezi


Kila wachezaji na sifa zao huamua mfumo upi utumike

Ndio Maana huwez kukuta tunacheza 4-3-3. Kama Baadhi ya wachezaji hawapo

Kasikilize interview ya Arteta ya leo kaelezea kwanini Fabio Vieira na Martinelli Combination Yao inaiva

Kaelezea kwanini Kai ata shine sababu ya uwepo wa ZINNY

Akasema hata Xhaka alikuwa Bora sababu ya Zinny
 
Mimi nipo msimu ulioisha?nifatilie utajua nipo toka lini

Nakupa homework maana nimeona unanifatilia kila jukwaa
 
Kwa hoja yako hiyo kwamba Partey anacheza RB ili Kai acheze

Huoni kwamba Ni chuki tu kwa Kai , Kama ulivyofanya kwa Øde,na wengine

Hivi hamjifunzagi tu
Nilisema Odegaard ni nini? 🤔
 
Sasa Mimi mtu wa ovyo , why muda wote unanizungumzia Mimi

Nilisema si qoute ndio, but nakushangaa unahangahika kunizungumzia kunisema vibaya

Unatafuta engagement humu?

Mimi nawashangaa Sana wanaonichukia na kunizungumzia
 
Kwa hoja yako hiyo kwamba Partey anacheza RB ili Kai acheze

Huoni kwamba Ni chuki tu kwa Kai , Kama ulivyofanya kwa Øde,na wengine

Hivi hamjifunzagi tu
Sasa hujui kua Partey inabidi ashuke kwa ajili hiyo?

Sasa hapo Kai namchukiaje na wewe nakuchukiaje?

Sijawahi kukutana na wewe wala Kai.

Ridhiki yangu hauigusi wewe wala Kai na mimi sigusi za kwenu.

Kwanini niwachukie?
 
Uwezo huo ninao.

Taja mchezaji niliwahi mquestion, na nilichoquestion kisha akaniprove tofauti.
 
Kesho Zinny atakuepo?
 
Sasa Mimi mtu wa ovyo , why muda wote unanizungumzia Mimi

Nilisema si qoute ndio, but nakushangaa unahangahika kunizungumzia kunisema vibaya

Unatafuta engagement humu?

Mimi nawashangaa Sana wanaonichukia na kunizungumzia
Unaosasa ulivo mjinga?

Ww unazungumzia team za wenzako hutak watu wakujib kwa hoja mbadala?

Ww una akil. Kwl au umezikalia?.. Kama hutak kujibiwa unda HamisForumn yako.

Humu utajibiwa kwa sbb unaongea mambo mengne ya kipumbav.. Kwhy tukuache tu hata kama unaongea upumbavu sio.

Kama hautaki hoja za wengne kaongea upumbavu wako na mwenza wako chumbani lkn humu tutakujib kua uache kukaza fuvu na kua mjinga nyumbulika.
 
Sasa Mimi mtu wa ovyo , why muda wote unanizungumzia Mimi

Nilisema si qoute ndio, but nakushangaa unahangahika kunizungumzia kunisema vibaya

Unatafuta engagement humu?

Mimi nawashangaa Sana wanaonichukia na kunizungumzia
We unapokuja kwny majukwaa ya wengne unakua unatafuta nn?.. Wanaume au unatafuta nn.

Haya majukwaa yapo watu wabishane kwa hoja kama hutak hoja za wengne unda forumn yako bana acha kutuletea habar miyeyusho hapa.
 
Lengo ni wewe uache Ujuaji kiazi wewe.
Huyu jamaa unajua mpumbav sana basi tu.

Hlf alivo mjinga eti anajiona yy star humu.. Kua eti kwnn unanizungumzia mm
.. Ss unajiuliz yy anapokua anazungusha kiuno majukwaa ya wengne kazi kuponda kila kitu anakua anatafuta nn lbd?

Ndo maana namwambia kama hatak hoja zetu akaongee huu upumbavu wake na mwenza wake wakiwa chumbani hata pata upinzani toka kwetu.
 
Dah hili jukwaa
yaani hatuna mechi ila uzi uko no 1 trending.watu wanapigana spana balaa na ni nzuri kwa afya ya jukwaa.

Kuna mtu aliwahi nambia yafuatayo.
1.ukitaka kwenda mbali kimbia,ila ukitaka kufika mbali heshimu watu unaoongozana nao katika safari yako maana huenda wanajua huko mbali unakotaka kwenda.mashabiki tupendane.activenes ya group inamhitaji kila mtu.

2.kama hujawahi kusikia au kuona jambo isiwe sababu ya wewe kuamini halipo.tusiamini tu katika mifumo tunayoijua kwamba ndo italeta mafanikio bali mifumo ilitengenezwa,inatengenezwa na itatengenezwa na itatushangaza.

3.ndoto na maono(dream & vision) vinaufanano mkubwa katika tofauti zao.kocha wetu na wachezaji wetu tusiwalinganishe na wengine maana wanafanana lakini hawalingani.

4.milango yote ya fahamu(macho,masikio,pua,ngozi) vimewekwa nje na vinaonekana wazi muda wote iwe vinatumika au havitumiki,jiulize kwanini ulimi umefichwa na unaonekana wakati wa matukio pekee(kuongea).
Kila mtu na aangalia anavyozungumza hapa jukwaani hasa anapotoa ulimi wake kwa njia ya maandishi.

#Arsenal ndoo
#Nketiah kiatu
 
Kabla ya kuendelea na mjadala mkali tutoe dakika moja kuwaombea wenzetu Chelkenge.....inasikitisha sana....yule Caicedo sijui wamempa nn....fundi Midiriki haeleweki...Cole Palmer naye sijui wamempa nn....tunahitaji kikao cha haraka sana ku discuss hatima ya hawa wenzetu....wamesajili wqchezaji wengi machachari lakini sio wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…