Huwa nakuuliza Kuna mtu analazimishwa kunikubali humu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu tunataka kuanzisha kampeni ya "Masingeli bringback our team"
Masingeli sasa hivi amejimilikisha hili jukwaa lazima twende nae toe to toe mpaka ateme ndoano.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka kesho baada ya mechi Masingeli asipotema ndoano niulizwe mimi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa hivi humu hata kuhoji haturuhusiwi, ukihoji tu Masingeli anakwambia uonyeshe leseni ya ukocha na utaje timu uliyofundisha hata kama ni timu ya kanisa au msikitini.
Vp anaubonda?pls Bei ya Huyu Doku wa man city ninaemuona hapa Sasa hivi
Wewe Flano umekuja juzi tu, sisi tupo humu toka Wenger ,Emery[emoji23][emoji23][emoji23] tena wewe Castr umetoka mbali sana na hii timu, katika mashabiki wakongwe wa Arsenal wewe ni miongoni mwao, binafsi katika mashabiki wa Arsenal humu jukwaani wewe hua nakuheshimu sana, najua wapi ulitoka na hii timu mpaka kufikia hapo mlipo, ajabu kuna watu hivi sasa wanataka kuwanyang'anya mpaka uhuru wa kutoa maoni tu juu timu yenu kisa hamjawahi kufundisha hata timu ya kanisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuita mwenzako shabiki fekiHuyu Mdau ana tatizo somewhere sio bure kaongea upupu wa hali ya juu huyu atakuwa shabiki feki
Wewe niite vyovyote ,Mimi na kauli moja siendeshwi na wengi wanasemaje maana nishawa prove ujinga wao humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jukwaa limepoa hili ngoja tulichangamshe kidogo.
Masingeli mzee wa ngwasuma ameamua kujifanya yeye ni Profesa Lipumba halafu hili jukwaa ameligeuza kama vile chama chake cha CUF, yeye ndio kasababisha mpaka Seif Sharif Hamadi (Labyrinth 84 ) amehamia ACT (Newcastle) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli usipoacha udikteta wa kutaka watu kabla ya kuhoji waonyeshe timu alizowahi kufundisha chama kitakufia mikononi hiki shauri yako, utapoteza wanachama mmoja mmoja mpaka utajikuta umebaki peke yako humu.
"Masingeli bringback our team"
#Arsenyo ndoo
#Kai Kiatu
Unanifatilia Sana Safi Sana ,hamis77 ameenda kwenye jukwaa la Liverpool kuwaambia kuwa wamepigwa kwa Ryan Gravenbech, mchezaji ambae ndio kasajiliwa jana hajacheza hata mechi moja, at the same time yeye ana Kai Havertz ambae mpaka sasa ana mechi ya 3 na alichokicheza anajua yeye na Arteta wake.
Nieleweke, sio kama namchukia jamaa, in fact alichokisema kule sio kiutani maana ingekua hivyo nisingeileta humu, yeye ameweka na facts zake uchwara na anategemea watu wamsikilize wamuamini. Goddamit![emoji23][emoji23]
Kiburi gani katupa Arteta?????Unamuita mwenzako shabiki feki
Wewe uliyehamia PSG kwa matusi juu ,leo Mikel kawapa kiburi umerejea na mnapayuka humu
Unamuita mwenzio shabiki Feki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja kwanza tuanzie hapa.Humu wengi uwezo mdogo wa kufikiri
Na mara kibao nimekuwa na wa prove wrong
Kuanzia anakuja Øde,Rams
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaonesha kutokuwai kufundisha ata timu ya kanisa imewaumiza Sana[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu wanajiita Mashabiki hawajawai kununua hata leso tu ya kufutia jasho yenye chat ya Arsenal.. ila Sasa Huku jukwaani wanavulumisha matusi magumu magumu!
Mkuu Kuna mtu niliwahi mkataza ku comment?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili jukwaa jinsi Masingeli mzee wa ngwasuma avyoliendesha huko tunapoelekea kama hauna leseni ya ukocha itakua ni marufuku kucomments humu.
Kule unyumbuni ili waonekane wanapingana na Mimi kwasasa wanamsifia 7hag kinafiki[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bado hamjasema
hamis77 mbona wenyewe wa gunnerstunamkubali sana, kupishana na mawazo ni kawaida
Ila Kuna chokochoko hazivumiliki, na uzuri wa hamis77 anaposimamia ni hapo hapo.
Sasa kilichotokea asilimia 95% kinachoendelea unyumbuni alishakisema, chuki juu yake ndio zinaanza[emoji1][emoji1][emoji1]
Kule ukengeni fc, na kocha wao Potter kipindi kile, aliwaambia vitu criticals na kweli vilivyotokea wote mliona
Sasa mtu Kama huyu Kama sio kuchukiwa Basi ni kumuundia kamati za kumchafua tu[emoji1][emoji1][emoji1]
Tatizo watu wanaongea pumba kibao ,Lengo langu lilikuwa kuonyesha kwamba fans wasijione wanyonge. Wana haki ya kuhoji. Kitu kimoja unapaswa kuelewa, hapa jukwaani we don’t communicate with KSE/ Edu/Arteta; we are just expressing our feelings within ourselves. Kumbumbuka
Timu na investors wanategemea fans kwa zaidi
ya asilimia 80. Kwa hiyo lazima tuseme
Wewe Ni nyumbu na unaonekana pale nyumbu ikipata matokeo tuNaona mmeamua kuanza kututukana sasa sisi mashabiki wa Arsenal wa JF
Acha kuita watu chawa,unaweza kukuta Ni baba yako mdogo anakutuma sigara urudi na chenjiWewe chawa wa Masingeli dawa yako ipo jikoni soon wewe na Masingeli mtalikimbia jukwaa[emoji23]
Wewe mnafiki unayehamahama timu ,unatafuta engagement humu ?Niwapongeze sana wale shabik wa Gunners mlio na mtazamo tofaut na Dikteta huyu ambaye anatak kuongoza jukwaa hili kimabavu.
Kiukwl mna moyo mgumu sana kuonesha jinsi gn hampendezwi na baadhi ya mambo.
Huyu jamaa anakikundi chake kakiunda ni kdg lkn wanamlinda kweli kweli na hoja za uchwara.
Tembeeni na hashtag hii kupinga udikteta huu uchwara humu[emoji1491]
#ArsenalFansHaveRightsToExpressTheirOpinions.
#ArsenalForAll
#CoYG
Kwa hoja yako hiyo kwamba Partey anacheza RB ili Kai achezeDuh tayari tena namchukia Kai na ninakuchukia wewe?
This is too low.
[emoji23] We jamaa ulisema kwnz hutokaa Kuni QUOTE lkn kiherehere chako kila mara unani QUOTE DahWewe mnafiki unayehamahama timu ,unatafuta engagement humu ?
Aliyekwambia mm naongoza hili jukwaa Nani?
Wewe Ni shabiki Malaya ,kaa ufunge mdomo
Takwimu huwa zinaweka hapaHii hapa ni kwa yeyote aliye humu ndani kwenye hili jukwaa.
Kikosi hua kinatangazwa saa moja kabla ya game.
Kocha akimpanga Kai namba yoyote iwe mid au ST wote tuje hapa tuseme kutokana na alichofanya nini pros and cons kisha mechi ianze tuangalie nani alikua sahihi.
Hii ni kwa yeyote.