The mess is his, he’s spent 400m to get outplayed and out shot by Wolves.lakini kumbukuka ni thoughts tu mzee
Tunataka Ubingwa na si sifa zisizo na tijaBukayo Saka at the age of 21:
Arsenal Player of the Season
England Player of the Year
PFA Young Player of the Year
x1 FA Cup
x2 Community Shield
️ 120 Goals and Assists
The best talent Right winger in the world
Ukibisha njoo na fact View attachment 2734556
Nyie tunawajua mbona mnaishiaga ivyo ivyo Ila kutoa hela ndo ngumu mnawalagai mashabiki.6 years ago today, Arsenal bid £92m for Thomas Lemar...View attachment 2734428
Kama nyie mnavyowalagai mwisho wa siku mnasajili magarasa Kama huyu jamaaNyie tunawajua mbona mnaishiaga ivyo ivyo Ila kutoa hela ndo ngumu mnawalagai mashabiki.
Tueleze wewe mwenye uelewa mkubwa
Najua umeumia Sana ,
Ohoo Arsenal hajacheza miaka 7 UCL
Haya karudi yupo Pot 2 na anapewa nafas ya kufika fainal au nusu fainal
How about nyumbuzi?
Arteta ametumia £400m kuunda timu shindani na kikos ghali duniani chenye thaman ya £1.2BWenger orphans wakiona Kama hivi mapain yanaingia Mpaka kwenye nafasi
Hafu wakicheki arteta ni mkongwe hapo EPL mwenzie msimu wa kwanza tu.View attachment 2734628