Khekheeeee! asante KATIBU wa ITIKADI na UENEZI bila kusahau PROPAGANDA wa Arsenol fans apa JF.....
Asa ukimwona MBU mwambie anitafutie na MICHELLE....na BBK......nina MIADI nao.
Tumeshaongea na Wenger aendelee kututengenezea kijana Jack Wilshere tutakuja kumchukua 2015, atakuwa emeshakomaa
Mmmh! mmeanza na gundu!!..maumivu ya Fabregas hayo,lol!!
Mkuu usisome sana habari za udaku Nasri haendi kokote. Mchezaji anayeweza kuondoka ni Cesc kama Barca watatoa dau la £40 million.
Soma website ya Arsenal nadhani wamesema atafanya lini medical.Sizitaki mbichi hizi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hizo ndio facts kutoka kwa mzee wa udaku. Vipi medical ya Samir inaendeleaje?
Soma website ya Arsenal nadhani wamesema atafanya lini medical.
Kwa hiyo tumeconfirm kwamba Arsenal ni small club, according to Wenger?!
Soma website ya Arsenal nadhani wamesema atafanya lini medical.
Kwa mujibu wa maneno ya Wenger;Kwa hiyo tumeconfirm kwamba Arsenal ni small club, according to Wenger?!
Egg on your face!! Khe khe kheeeeeeeeeee!!!!!
Ndio maana ikaitwa RUMOR haikuwa confirmed but a RUMOR a week later timu yako imekubali kumruhusu akafanye medical hahahah... That should tell you I am light years ahead of you son.!!Wewe na nani? Phew another meerkat supporter khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha zuga zako wewe ulisema alikwenda medical last week, huwa hukubali wewe ekhe! Thats what we call summer clearance na nyie si mlikuwa mnamlilia vipi mmekosa ngawira? Khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndio maana ikaitwa RUMOR haikuwa confirmed but a RUMOR a week later timu yako imekubali kumruhusu akafanye medical hahahah... That should tell you I am light years ahead of you son.!!
"Imagine the worst situation - we lose Fabregas and Nasri - you cannot convince people you are ambitious after that. " Arsene WengerNani alikwambia thread ya Arsenal ni ya rumors? Wacha hizo mzee wa udaku khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee.
<br /><font color="#800000"><font size="4"><b>Nani alikwambia thread ya Arsenal ni ya rumors? Wacha hizo mzee wa udaku khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee. </b></font></font>
<br />
<br />
ishu confirmed fungua arsenal.com
"Imagine the worst situation - we lose Fabregas and Nasri - you cannot convince people you are ambitious after that. " Arsene Wenger
Kwa hiyo ulitaka Wenger asemaje? Go back to school mate!
Kwa hiyo ulitaka Wenger asemaje? Go back to school mate!
Ameshatwambia kwamba Arsenal is a small club, sasa unataka nini?
Nataman siku ambayo utakiri kuwa AW he is out of his mind.....najua ipo tu, sio lazima iwe leo, ila yaja.....
Nyie ndio askari kanzu kama wa Gadaffi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Like your manager you are in denial..... Read the quote again na uilewe sio unakurupuka kujibu ili ufurahishe baraza.Kwa hiyo ulitaka Wenger asemaje? Go back to school mate!