Lembua hua unanichekesha na logic zako za kipimbi.Hii timu sio ya top 4 hata
UCL mnatolewa kwenye group stage au R16
Wewe ndie pimbi kabisa unayetoka kwenye mada kipimbi pimbi vileLembua hua unanichekesha na logic zako za kipimbi.
Umesuluhu, umefungwa, umeshinda dhidi ya timu imepanda daraja unajiona una timu ya top four.
Arsenal kacheza na timu zote tatu zilikua hapa lwenye ligi na hajafungwa hana timu ya top 4.
Wewe unaandika huku unatumia masaburi kufikiri?
Msimu uliopita ni mimi wa kwanza kucoment kuwa Arsenal ya mwaka huu ni moto na itarudi top 4 na ni mimi tena mwanzoni kabisa mwa ligi nasema Arsenal hamtabaki top 4. Msimu huu mna timu mbovu na wale wachezaji wazuri watamezwa na wengine wana uchovu wa msimu uliopitwa mliwachakaza sana akina Saka. Huu ndio ukweli wewe baki tu ukitukana ukidhani ukiwaita wengine pimbi wewe hutaonekana pimbiLembua hua unanichekesha na logic zako za kipimbi.
Umesuluhu, umefungwa, umeshinda dhidi ya timu imepanda daraja unajiona una timu ya top four.
Arsenal kacheza na timu zote tatu zilikua hapa lwenye ligi na hajafungwa hana timu ya top 4.
Wewe unaandika huku unatumia masaburi kufikiri?
Wewe Ni muongoMsimu uliopita ni mimi wa kwanza kucoment kuwa Arsenal ya mwaka huu ni moto na itarudi top 4 na ni mimi tena mwanzoni kabisa mwa ligi nasema Arsenal hamtabaki top 4. Msimu huu mna timu mbovu na wale wachezaji wazuri watamezwa na wengine wana uchovu wa msimu uliopitwa mliwachakaza sana akina Saka. Huu ndio ukweli wewe baki tu ukitukana ukidhani ukiwaita wengine pimbi wewe hutaonekana pimbi
Tunaweka akiba ya manenoHii timu sio ya top 4 hata
UCL mnatolewa kwenye group stage au R16
Mada ipi we brazamanWewe ndie pimbi kabisa unayetoka kwenye mada kipimbi pimbi vile
Mbona Kama una chuki binafs na Mimi ?Arteta toka mtaa wa Matombo nimekusikia, nakala 1 ya ushauri wako iache kwa Shabiki liandamizi la Arsepimbi Hamis77.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Si amecheza na city hata wiki mbili hazijapitaKucheza na Fulham Nottingham Forest and Crystal Palace na kupata results za kustruggle namna hii then bado hujawaface strong teams naona kuna dalili ya hatari sana na huyo Partey anayepewa nafasi ya beki 2 ili aingie Mid huku una Kai Mzigo wa team naapa Arteta kuna siku atadhalilika akikutana na strong opponents abadilike HARAKA SANA NAFASI YA KUBADILIKA IPO
Huyo Morgan alishawahi kuomba msamaha kwa Arteta ,I don’t get Arteta changing our whole system to accommodate Havertz. Just isn’t working. Put Gabriel back in next to Saliba, move White to right back, and stick Partey in the middle where he belongs. And take off Havertz.
View attachment 2729927
Hujui kitu bruv.Msimu uliopita ni mimi wa kwanza kucoment kuwa Arsenal ya mwaka huu ni moto na itarudi top 4 na ni mimi tena mwanzoni kabisa mwa ligi nasema Arsenal hamtabaki top 4. Msimu huu mna timu mbovu na wale wachezaji wazuri watamezwa na wengine wana uchovu wa msimu uliopitwa mliwachakaza sana akina Saka. Huu ndio ukweli wewe baki tu ukitukana ukidhani ukiwaita wengine pimbi wewe hutaonekana pimbi
Muongo huyo hakuna sehemu alisema tutaingia top 4Hujui kitu bruv.
Mashabiki wa Arsenal kwa % kubwa tuliamini na tulijua timu yetu ya msimu uliopita inakamata top four. A trophy would have been a bonus ila sisi tulijua top four ni rahisi.
Hatukuhitaji mtu wa nje aje atuambie. Kama ulisema, bas ulifanya hivyo kujifurahisha coz sisi tulijua kabla yako. Sisi tulijua tangu msimu wa pili haujaisha, tangu tupo pre season tunawafunga nyinyi nne.
Na msimu huu tangu pre season tunasema Kai anaharibu timu, mechi ya kwanza inachezwa watu tukagawanyika.
Hatukuhitaji wewe uje kutuambia tutakua wapi.
Hujui kitu
usajili wake tu ulitugawa mashabikiHujui kitu bruv.

Unakatwa na SAKA😂😂😂Ollashoga mama la darajani
Anatokea mtu huko anasema eti yeye ndiye alituambia.usajili wake tu ulitugawa mashabiki
maana mtu yoyote fans wa arsenal tulikuwa tunajiuliza anakuja ku add nn cha tofauti kwenye system yetu
Kibaya zaidi arteta atataka kulazimisha afit in ndo hapo tutakapo poteana zaidi
Ollashoga mama la mamama wote wa DarajaniUnakatwa na SAKA😂😂😂