Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huu utaratibu mwisho leo mkuu
Inabidi utaratibu mwingine utolewe kama vipi maana naona false hope fans wanashikana mashati😂, kuna mmoja huyu anakwambia anaona arteta anataka kufanya kitu cha historia this season sasa sijui kitu chenyewe ni kipi 😂. Uchezaji huu tulisema last season ilikuwa ni upepo tu tukaonekana wachawi ngoja mechi ziseme zenyewe sasa.
Hivi hio inverted midfielder ndo kitu pekee arteta alichorithi pale kwa pep maana nasikia mpaka raya anakuja kucheza inverted goalkeeper 😂😂😂 unacheza na the genius sir teta
 
3 games tu dah watu mna maneno sana ligi bado mbichi kabisa chochote chaweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi bado mbichi after GW 10-15 maji yataanza kujitenga na mafuta
 
Tuna timu ya ku-challenge ubingwa? Jibu ni ndiyo. Ila hii mifumo ya bwana mkubwa, mhhhhh.

Tumekaa kimya kuona whats he is cooking since MW1, lakini tunaoba kabisa mkuu kuna chumvi anaongeza kupita kiasi kinachohitajika.

Hakuna ulazima wa ku disturb upande wa Saka kule.

Kai, sio mbaya kihivyooo, lakini apewe muda aingie katika mfumo taratibu. Viera si huyu hapo, taratibu kafit.


Kiwior, Saliba, White.


Kiwior as left fullback, Partey as Right imverted fullback haikupi quality ile ya Zinny na White

Kiwior hapeleki mipira kabisa kwa Martinelli.

So many glitches katika hii mifumo ya Mkuu kwa kweli.
 
daaaahhh we jamaa ndio maana hizi kima za Arteta zikikuona humu zinanuna.
 
Ishu siyo kwamba hii ni mechi ya 3.

Ishu ni kwamba kilichotokea leo ni kitu ambacho tulioona tulikiona tangu mechi ya kwanza.

Arteta akiendelea kuamini anachoamini sasa hivi atazama na mshkaji.

Timu iliyokaribia kuchukua kombe ikalikosa kwa kustruggle dhidi ya middle table teams leo hii mwanzo mwa ligi inastruggle tena dhidi ya mid table teams tatu mfululizo.

Hii inakuambia kwamba sisi ni kweli tuna mpango na kombe?
 
3 games tu dah watu mna maneno sana ligi bado mbichi kabisa chochote chaweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ligi iwe mbichi iwe imeivaa Arsenal kamwe hajawahi kuhesabiwa kama anaweza kufanya lolote si chuki bali ni ukweli halisia reference ni mwaka jana top of the table 258 days.

Fulham pungufu lakini wamerudisha goli , sasa wewe ndo umekutana na Aston villa , Newcasstle wapo kamili partey ndo full back mtashikana mashati humu
vipigo vinaanza rasmi next week. Tupo pamoja na mwanetu kai msijaribu kumgusa kabisa pale maana chelsea alikua hachezeshwi position yake halisi now yupo kwa genius arteta na ndo top earner halafu ndo mchezaji pekee mwenye uefa
 
Mkuu tuhurumie basi tupo msibani.
 
Arteta ameshasema msimu ilioisha ulikua ni phase 3 ila kumbe kwenye phase 1 kuna vitu aliviruka, hivyo msimu huu tunarudi kwenye phase 1 kukamilisha viporo vyetu, hiyo tunaomba ushirikano wenu pia muwe wapole ili tukamilishe phase.
 
daaaahhh we jamaa ndio maana hizi kima za Arteta zikikuona humu zinanuna.

Hiki kikao cha kurusha jezi juu kiliamuliwa pale emirates na kina monstreat au mkorea walituletea habari hizi humu jukwaani. Tulipouliza sababu tukaambiwa ni upana wa kikosi cha arsenal kilichosheheni verstalite players wenye uwezo wa kufanya inverted na overloading za kutisha mpaka timu zinaweza zikagoma kuingia uwanjani. Tumezitanguliza forest , palace and fulham kuona yaliomo yamo au ndo zile zile story za kina sendoros, cygan na squilachii
 
Mkuu uwepo wako humu hua unaniletea faraja kubwa sana, lakini leo si umeona jinsi Masterclass The genious mwenyewe Michel Arteta jinsi kikosi chake kinavyofanya pressing, overloading na downloading?
 
Mkuu uwepo wako humu hua unaniletea faraja kubwa sana, lakini leo si umeona jinsi Masterclass The genious mwenyewe Michel Arteta jinsi kikosi chake kinavyofanya pressing, overloading na downloading?

Nimeona super mikel mwenywe jamaa ni genius haswa
. Kai anacheza natural position yake na ana win Aerial duels na si ku win match
. Most valuable squad iliyovuka phase tutarajie makubwa mwaka huu au nasema uongo ndugu zangu
.

Nina wazo inabidi jezi ziwe zinarushwa juu siku moja kabla ya match ili kama fans hawakubaliani na first 11 iliyowahi kushika jezi basi urushwaji wa jezi urudiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…