Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,179
Kwasasa mna timu mbovu ,mlipelekeshwa Sana na Chelsea inayojitafutaArsenal na manjesta muungane mkija kukutana na liverpool ntawapiga tano tano
😁😁😁Ngoja tukutane maji utaita mmaKwasasa mna timu mbovu ,mlipelekeshwa Sana na Chelsea inayojitafuta
Huna timu mkuu Wala usijisumbue kupiga kelele humu[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja tukutane maji utaita mma
Mnasajili kina Evans na Betrand ,nyie jamaa ni vichekeshoUnazungumzia ile mechi mlioshinda kwa goli la mbeleko? Safari hii tutapishana uwanajani tar 3 na ifike
Mwaka huu na confidence Sana na timu ,naona tumekuwa physically kuliko hata msimu uliopitaAt the moment, as things stand
1. Naiona invisible
2. Uefa au Ligi uhakika 100% moja tunapita nalo
3. NDOO mbili
(Ligi, UEFA, FA, Carabao)
#COYG[emoji110]
Nilikua nairudia game na crystal palace, ile defense no wonder Flano mwenyewe alitukubaliMwaka huu na confidence Sana na timu ,naona tumekuwa physically kuliko hata msimu uliopita
Hatari sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji599]Mikel Arteta kuhusu kama tutaona kiungo cha Partey Rice Odegaard:
"Nadhani tayari tuliweka alama - tulicheza hivyo dhidi ya Man City. Oh kwenye ligi? Vipi kuhusu Ligi ya Mabingwa na Kombe la Carabao. Nyumbani au ugenini?
[emoji599]Kwa hakika, nadhani itafanyika(mtakiona)."
[Arsenal]View attachment 2728361
Nawaona mkuu mutafika mbali sana ..sisi Chelsea bado inatafutana yani 😂😂Arsenal ya mwaka huu kaa mbali na watoto