Ulinichekesha Sana ulipowaambia nyumbu kuwa pass zinafundishwa sio kujipigiaUkitaka kujua Ku press ni Sanaa kaangalie manjesta inavyopress pale mbele Rashford,Sancho na masebene halafu kaangalie Kai anavyo press ,utajua kupress kwa akili ni Sanaa na inafundishwa na sio kila mchezaji anajua kupress
Then utagundua Kuna tofauti Kati ya kufanya press na ku chase ball
View attachment 2725525
Arsenal ni tawi dogo la Real madrid... mbona tuliwapa odegard kwa upendeleo now he is star boyArsenal wamesema hauzwi na wamegoma kutaja Bei
Kwasasa ngumu kupata LCB quality , alikuwa Larpote ,Lakini city wamesema hawawezi Tena kufanya biashara na Arsenal View attachment 2725418
Pass ni basic ,lakin zinafundishwa kabisa jinsi ya kuzipigaUlinichekesha Sana ulipowaambia nyumbu kuwa pass zinafundishwa sio kujipigia
Pressing za kwenye njia lazima ufundishwe, kitu ambacho itawachukua muda mwingi nyumbu kukuelewa
Madrid siku hizi kwenye usajili mchumba tu, Madrid alikuwa zaman, mastaa wote wanabebaArsenal ni tawi dogo la Real madrid... mbona tuliwapa odegard kwa upendeleo now he is star boy
Afu gabriel sio must ni vile option bora iliyopo sokoni ndio huyo due to the militao circumtance... unadhani madrid wakiamua jambo lao kuna mwana arsenal wakuzuia
its just a matter of time
afu madrid their main target ni huyo saka watamuiba ipo siku
yupogo kwenye radar ya wana los blancos mda mrefu
😅😅😅....wao wanachoelewa ni mpira unatoka kwa Martinez kwenda kwa Bruno...msela anamcheki Rashford Yuko wpi anapiga ndefu😅😅😅....Sasa safari hii hakuna mafala wa kiwafanyia hvyo.....wanamaliza wa 12 mwaka huu hawaPass ni basic ,lakin zinafundishwa kabisa jinsi ya kuzipiga
Ukiwaambia kina flano wanaona uongo maana wao wamezoea kuona pass inapigwa moja kwa BrunoRashford wanapata Goli, safari hii Rashford karudi default settings,
Madrid siku hizi kwenye usajili mchumba tu, Madrid alikuwa zaman, mastaa wote wanabeba
Leo Madrid anamshindwa mbappe anamvizia free agent ,zaman angeshavunja Benki anambeba
Now days Kuna watu wanamwaga pesa huyo Madrid anakodoa macho tu
Madrid wakiamua jambo lao?Arsenal ni tawi dogo la Real madrid... mbona tuliwapa odegard kwa upendeleo now he is star boy
Afu gabriel sio must ni vile option bora iliyopo sokoni ndio huyo due to the militao circumtance... unadhani madrid wakiamua jambo lao kuna mwana arsenal wakuzuia
its just a matter of time
afu madrid their main target ni huyo saka watamuiba ipo siku
yupogo kwenye radar ya wana los blancos mda mrefu
papa perrez ndie fundi wa usajili na umafia wa mpira wa miguuMadrid siku hizi kwenye usajili mchumba tu, Madrid alikuwa zaman, mastaa wote wanabeba
Leo Madrid anamshindwa mbappe anamvizia free agent ,zaman angeshavunja Benki anambeba
Now days Kuna watu wanamwaga pesa huyo Madrid anakodoa macho tu
mtu kabakiza 1 year on his contract mnategemea madrid wa lipe hio 250m wanayoitka psg huo si ukichaaMadrid wakiamua jambo lao?
Jambo la Mbappe vipi?
Una uhakika na hiki ulichoandika?mtu kabakiza 1 year on his contract mnategemea madrid wa lipe hio 250m wanayoitka psg huo si ukichaa
Psg wanadhania Madrid watatuma dau linalofanania na lile walilolituma 2020 la 280m ahhh subutu ambapo mbappe mwenyew alimpigia simu perrez na kugoma kuondoka
Madrid watatuma thier finall offer to psg days before window close itakuwa ni TAKE it or LEAVE it
Hutaki 130-170m plus bonas tunambeba mwakani bure na hio offer ni ki sportsmanship yani ku pay respect kwa psg maana kama ingekuwa ni umafia perrez asinge thubutu kutoa dau
Trust me muda utaongea its just a matter of timeUna uhakika na hiki ulichoandika?
Una habari Mbappe anakaribia kusaini mkataba mpyaTrust me muda utaongea its just a matter of time
los blancos
Rumors tuUna habari Mbappe anakaribia kusaini mkataba mpya
Huyu jamaa kumbe ni Arsenal fan? Mbona alikuwa akitukaziaga sana?Kevin Campbell anaamini kuwa baadhi ya watu wana ajenda mbaya dhidi ya mshambuliaji wa #Arsenal Eddie Nketiah:
"Eddie alifanya kazi kwa bidii dhidi ya Palace, alifanya vizuri sana kama mshambuliaji anayeunganisha mchezo huo.
"Yeyote anayecheza na Eddie hivi sasa lazima awe na ajenda. Sehemu ya kazi yako kama mshambuliaji ni kufunga mabao, kwa hivyo utakosa baadhi.
"Watu wengi hawapendi kumuona Eddie Nketiah pale mbele , hao ndio watu ambao wana shida.
Sina shida, nilidhani alicheza vizuri.
Kuna mtu alisema hapo awali ‘unawezaje kusema Eddie alicheza vizuri ikiwa alipoteza nafasi tatu?’
Kwani huwezi kucheza vizuri na kukosa nafasi tatu? Ni mawazo ya kijinga kabisa.
"Watu wanataka tu kumuandama Eddie, lakini Eddie alifanya vyema leo ninavyoona mimi, ndio ni backup yetu, lakini amecheza mechi mbili na tumeshinda zote."View attachment 2725546
Saka akija Madrid nitafurahi sana ila Kwa sasa acha atupe makombe ArsenalArsenal ni tawi dogo la Real madrid... mbona tuliwapa odegard kwa upendeleo now he is star boy
Afu gabriel sio must ni vile option bora iliyopo sokoni ndio huyo due to the militao circumtance... unadhani madrid wakiamua jambo lao kuna mwana arsenal wakuzuia
its just a matter of time
afu madrid their main target ni huyo saka watamuiba ipo siku
yupogo kwenye radar ya wana los blancos mda mrefu
Hawezi kataa ni vile madrid bado wana option nyingine za kuziba zaidi ya RW pale madrid wana rodrgo anatosha kwa muda huu.Saka
Saka akija Madrid nitafurahi sana ila Kwa sasa acha atupe makombe Arsenal
Rumors tu
nipe hio source ya hio information
kwa hio 250m wanayoitaka psg yawezekana unachokisema kikawa kweliUna habari Mbappe anakaribia kusaini mkataba mpya
Hatuwezi kumnunua huyu. Labda akifika 28-30yrs huko ndiyo utaona anakubali kuondoka Arsenal, haswa kama mafanikio ya Arsenal ni finyu sana. Namuona kama Harry Kane alivyokaa na TottenhamHawezi kataa ni vile madrid bado wana option nyingine za kuziba zaidi ya RW pale madrid wana rodrgo anatosha kwa muda huu.
hio sehemu ya RW 2024/26 hapo saka ata dondokea
los blancos