Arsenyau poleni kwa kubana phumbu muda mrefu, Palace wamenyimwa penalt ya wazi baada ya Rice kumvuta na kumsukuma kwa makusudi Eze ndani ya box.
Jini katoka ila mganga yu hoi taabani,
Yellow card ya pili aliyopewa Tomiyasu ilikua ni nyepesi sana, sidhani kama foul yoyote aliyoifanya pale zaidi ya kugusa tu mgongo.
View attachment 2724699