Angalia mpira kaka na usitazame kwa jicho la kumchukua mchezaji. So far so good. Hapo ni kocha kubadirisha mbinu kipindi cha pili basi wanakaaArsenal tuna tabia ya kujipa moyo, ila ukweli ni kwamba Nketiah hakuna jipya.
Hapana kaka he is still learning mm nketiah kwakwel naona anazdi kua bora na ninachokiona ameamua kubadilika na kujifunza zaidiUko sahihi kbs mkuu ila tatzo la Nketiah ni mtumizi makubwa ya nguvu kuliko akili
Asante!Crystal Palace v. Arsenal Live Stream Online | BuffStreams
Check our schedule for free quality live streams for Crystal Palace v. Arsenal. Watch the Crystal Palace v. Arsenal game online for free here.buffstreams.sx
Ndo maana nimeelewa kwanini trissard anaachwa nje.he is our game changerSub ni moja tu ya kubadili game ndan ya dakika 10 za mwanzo
Kai out
Troussard In.
Uko pengine paachwe ivyo ivyo kwanza.
Hii game inamuhitaji sana zinny kuliko trosard kwa sasa, kai ametulia sana hafanyi mistakes anayefanya kidgo kauwalakin ni tomi...akili ya pasi mpenyezo ya zinny inahitajika kuwapa kai na nketiah goalsSub ni moja tu ya kubadili game ndan ya dakika 10 za mwanzo
Kai out
Troussard In.
Uko pengine paachwe ivyo ivyo kwanza.
Angalia mpira kwa jicho la tatu mkuuWalahi huyu HAVERTZ tumepigwa
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kumbe hii ni fezi ya 4 halafu Arteta kawadanganya kua fezi ya 5 ndio makombe?Huo mfumo ulivyoiva bale Barcelona ile ya xavi, iniesta na Messi
Watu tulikua tunaona Kama wanacheza mpira rahisi Sana
Lakini iniesta alipohojiwa akasema, hakuna mpira mgumu tunaocheza Kama huu mnaouona, coz muda wote inahitaji ukimbie, uame vyumba, utoe mpira upewe mpira
Huo mfumo wanahitaji wachezaji sharp Kama ulivyosema
Lakini pia wachezaji wanye uwezo wa kuusoma mchezo kwa haraka, pass accuracy
Tena niliona ukiwaambia nyumbu, pass zinafundishwa, haziji hivi hivi[emoji1][emoji1][emoji1]
Profiles anazohitaji Arteta ni blue print ya cryuff baba wa tiktak
Tupo phase ya nne, phase ya tano ndio makombe yanaanza kuingia according Arteta. Yeye anakuambia hapo timu bado inakosa balace baadhi ya maeneo.
City anatufanyia roho mbaya hataki kutuuzia wachezaji
Andaeni points 6 zetu[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kumbe hii ni fezi ya 4 halafu Arteta kawadanganya kua fezi ya 5 ndio makombe?
Kwa hio msimu huu mkibahatika kuingia top 4 mtakua mmeover archieve tena sio?
Niwasanue tu msimu huu mnatoka patupu kama msimu ulioisha halafu msimu unaofata ndio mnapoteana mazima.
Msimu ujao Arteta akiulizwa kuhusu makombe atajitetea tena kwa kusema hii ni phase ya 4.5 phase ya 5 ndio ya makombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2724647
0 - 1 na hatujamalizaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] baado hamjasema, na mtasema yaani mpaka mseme nyau nyieee.
Kwa penalt za mchongo sio?0 - 1 na hatujamalizaaaaaa