Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hali ilivyo mpaka sasa, Arsenal ndiyo timu ngumu zaidi kujiandaa kucheza nayo duniani...

Mtabisha


Utofauti wa Arsenal wa kimbinu uko tofauti msimu huu kulinganisha na msimu uliopita.


Kama kuna chochote unejifunza leo unaona namna gani Arsenal wanajaribu kucheza na Kila Aina ya mpinzani

Mfn pre Season tulicheza na timu Kama man u waki base na physical battle tukapoteza tukajifuza tukampiga Barcelona kwa Mbinu tofauti ila based on physical battle


Msimu huu hutajua Arteta anakupangia Backline ipi ..

Kuna ambao mnalalamika kuwa Gaby anaanzia nje poleni ..sio swala la mapenzi Wala Nini Ni swala la kimbinu zaidi Tena limekaa poa maana hutajua Arteta anakuja vipi

Wengi wenu mnalalamika baada ya ku concede goal

SMH


Kuna mambo lazima tuwe tunajifunza kwa utulivu bila mihemko

Today our new signings wameanza wote Tena kwa kiwango Bora tunaona wanavyozoea mazingira ya timu kwa ujumla na katika nafasi ambazo walikotoka hawakuwahi cheza


Mipishano kati ya Rice na Havertz ni mizuri Sana unaendana na sifa zao zote mbili. kikamilifu.

3-1-6 si kitu ambacho tumekiona chini ya Arteta bado tukumbuke msimu uliopita Ali base na 4-3-3, lakini hapa tunaona timu yenye mbinu nyingi zaidi duniani (kwa sasa) inayoendelea kubadilika..Arsenal inaenda na 3-1-3- 3..

Timber- Saliba - Whitr
Partey
Odegaard- Havertz -Rice
Saka - Nketiah - Martinelli

-Havertz akibadilishana upande na Nketiah/Odegaard.


- Eddie anaenda kulia Havertz akiwa anapanda juu

Haya sijui mmeona !?


Wachezaji wachache katika mpira wa kisasa wanafiti Katika mfumo huu 3-1-6 kama Kai Havertz.

Anashambulia kwenye box akutoka chin, ana nguvu, mtu anayetumika Kama target man kwa mipira mirefu, anashinda mipira ya kwanza,Kila anapokuwa targeted

Kiufupi bado tutaona Mengi
Tuombe Timber arejee salama

Saka bado halindwi ipasavyo na marefa.,

Endeleeni kutoa mapovu Watanzania wajuzi wa mpira wa malalamiko
 
Maelezo ya Arteta nimeyaelewa na kwa ufupi amekubaliana na fans wake hayo mambo ya Diamond formation sisi hatuyahitaji in short summary yake ni kuwa kwa football
️ ya jana unatakiwa umalize mchezo ASAP in 45 minutes na sio goal linarudi game inabadilika na kwa jicho la 3 Arsenal akiwa away at least pressure ya kuhandle mchezo inakuwa chini tofauti akiwa Emirates hata kama tunashindaga games zetu home ila huwa ni kwa pressure sana refer last season games za Bournemouth Fulham (top 6 sijawaweka)draw ya Southampton Brentford Newcastle players na coach wanajipaga sana pressure
 
Msimu huu tegemea kila mechi na mfumo wake,

Vs City alipewa dozi yake , manjesta akija Emirates atapewa dozi yake

Alishaweka wazi msimu huu hataki kutabirika Tena, EPL ni Ligi wanakusoma haraka Sana na kukudhibiti ,

Forest mbinu Yao ni kukaa nyuma ,vizia kaunta
 
Una uhakika kiasi gani na unachoandika?

Analysis hua inafanywa upo sahihi. Misinu miwili nyuma analysis iliona tunahitaji mid what followed?

Game za msimu uliopita zilizotunyima ubingwa unadhani analysis ilikua haifanywi?

Unafikiri kwanini kocha hutafuta strong formation kulingana na watu alionao? Unakumbuja tushacheza back 3 chini ya Arteta? Na akasema mpango ni 4 3 3?

Na hii hapa ni general rule. You do not change your winning team
 
Hatukuwa na wachezaji wa aina hii....Arteta amekuwa anafanya addition ya wachezaji wale anaooona watamfaa kwny kile anachokitaka...kwnn alimzuia Xhaka kuondoka alipokuja kpndi kile ndo ametua pale Emirates na jamaa kazinguana na mashabiki....ni kwa sababu aliona kwa namna anavyocheza angemfaa sana na mfumo wake....msimu WA mwaka jana tulianza vzuri sana lakini kadri tulivyokuwa tunaenda ulikuwa unaona kabisa kuna kpndi tuna struggle kwa sababu watu walianza kutusoma...anachokifanya Sasa hv naunga mkono kabisa....mechi kama ile jana baada ya lile goli na jinsi Xhaka alivyokuwa anacheza nna uhakika tungeweza kukaribisha hatari zaidi....ku prove hii kuna mechi msimu huu tutakuwa under pressure sana na utajua kwnn nasema haya....unahutaji kuwa na watu ambao timu ikiwa kwny pressure wanaweza ku deffuse ile presha ndo maana ukaona jana baada ya lile goli hakuna cha msingi tena walichofanya wale jamaa...mambo ni mengi ku type mda mrefu ndo ishu....be unpredictable as you can...with 4-3-3 kwa jana tungeweza ku struggle sana mbele ya wale wahuni maana walikuja wakijua tutaenda na hyo formation lakini mambo yakawa tofauti....with Jesus na Zinchenko na hopefully timber akiwa fully fit bila kumsahau ball machine Emile Smith Rowe sina shaka watu watatema bungo msimu huu
 
Halafu Kama hujui hii mifumo 4-3-3,3-4-3,n.k usiwe mlalamishi

Kila mfumo una mapungufu na faida zake

Na wachezaji au sifa zao ndio huamua mfumo gani utumike

Utakuwa utahira hujui mfumo unaotumika lakin unakuwa wakwanza kualalamika,vipi tukikuhoji why umetumika mfumo huu na sio huu ,

Au tupo kulalama Kai hafai, nketiah hafai , n.k

Kila mfumo huendana na wacheza maalumu

Ulidai hapa vs Mancity huwez kumzidi possession ukamshinda, lakini tuliona walipopata Goli ,Arsenal alitawala mpira 2nd half na goli likapatikana na city akapaki Basi .

Ifike mahala tuuheshimu mpira na Wapinzani, Ndio Maana Arteta kasema sio rahisi kwa dakika 100 utawale mchezo peke yako

Ila anachofanya nikuandaa mifumo ambayo italeta matatizo kwa Wapinzani
 
Acha matusi halafu mpira hujui
MKuu kuna watu ukiona umemwambia kitu halafu akaona njia pekee ni kuandika Kiingereza chake cha kuungauunga kilichotawaliwa na lugha za kudhalilisha unaachana naye tu maana inaonesha kuwa si mstaarabu na hajui nn maana ya ustaarabu....jitu kama hlo linaenda enda tu Ili mradi
 

Tatizo lako unataka kujifanya too much know, Ukitaka kila mtu aamini mawazo yako. It is not possible, I freely speak my mind. Ukiandika kistaarabu nitakujibu kistaarabu, ukiandika in a demeaning way tegemea majibu makali
 
Tatizo lako unataka kujifanya too much know, Ukitaka kila mtu aamini mawazo yako. It is not possible, I freely speak my mind
Kuweni wapole , hakuna anayejifanya anajua ,
Hoja zikiwekwa pangua hoja kwa hoja ,sio kukimbilia fulan anajifanya anajua na bla blaa nyingine

Ninachokiona humu zimejaa kebehi , malalamiko ,

Binafsi napenda niende na mtu toe to toe kwenye hoja ,

Mfano unamlalamikia kwanini Nketiah kaanza ,halafu hufatilii umetumika mfumo gani ,na kwanini kaanza

Hadi kocha Katoa maelezo jins Nketiah alivyofanya kwenye mazoezi akamwambia Usiponipanga Basi wewe ni kipofu

Cha ajabu Kuna watu humu wanalalamika na sababu wanawapa faida haters Basi wanaona Raha

Game ya Jana unaanzaje kulalamika ,eti Arteta asitumie kabisa huo mfumo

Ukiulizwa atumie upi na kwanini ,Yanaanza maneno oho Huyu mjuaji, huyu hivi na vile ,


Kwasasa ibaki hivi wenye Negativity na Wanaoona Arsenal ikishinda walalamike ikifungwa walalamike waendelee na Tunaongalia hasa Positive tukiamini Negative hazikosekani tuendelee ,kila mtu atimize majukumu yake
 
Kwa maneno yake haya najua jana hakuridhika na Results moyoni licha tumepata 3 points jana wale watoto walitakiwa wafe 6 kwa 0
 
Kwa maneno yake haya najua jana hakuridhika na Results moyoni licha tumepata 3 points jana wale watoto walitakiwa wafe 6 kwa 0
Arteta nampendea ni muwazi ,alichozungunzia Cha kuboresha hasa ,kumaliza mechi mapema

Kwa timu inayokaa nyuma Sana goli 3 zilitosha

Kai alitakiwa amalize mechi, Sergi akamshinda nguvu ,

Overall performance haikuwa mbaya ,

Ndio Maana nawashangaa wanaosema tubadili mfumo
 

Kila mtu kwa uelewa wake ana mtazamo wake. Siwezi kukulazimisha ufuate mtazamo wangu , hivyo hivyo na wewe. Kuna wakati you get my “like” ukiandika kitu ninachokikubali; not all the times,
 
Kila mtu kwa uelewa wake ana mtazamo wake. Siwezi kukulazimisha ufuate mtazamo wangu , hivyo hivyo na wewe. Kuna wakati you get my “like” ukiandika kitu ninachokikubali; not all the times,
Ndio maisha yalivyo tukubaliane kutokukubaliana na maisha yaendelee

Binafsi sipend mtu kushambulia personality, if unaona hoja yako haikubaliani na mwingine ,njia nzuri ni ku chill ,
 
Tatizo lako unataka kujifanya too much know, Ukitaka kila mtu aamini mawazo yako. It is not possible, I freely speak my mind. Ukiandika kistaarabu nitakujibu kistaarabu, ukiandika in a demeaning way tegemea majibu makali
Nn maana ya kuabudu...si ndo tulipoanza hapa....au unataka tuanze kubadilishana maneno....unaona ww ndo unaweza kuwa freely to speak ur mind...tunachangia hmu kwa kuheshimu utu wa watu....unapomwambia binadamu mwenzio anamuabudia Fulani unamaanisha nn....ndo maana nikasema ustaarabu umekupitia kushoto...huchagui cha kuandika unaendaenda tu kama mfugo
 
Dah

Hebu nitajie games unazohisi tutakua under pressure
 
Dah

Hebu nitajie games unazohisi tutakua under pressure
Liverpool Hawa ndo wa kwanza ...Man City...Brighton kama watakuwa kama walivyo mwaka jana....Newcastle bdo nawaangalia kwanza...Man UTD nawaangalia kuona wamebadilika au vp...Spurs wakiwa kwao kama wamebadilika ....ila hao watatu wa juu...hapo ndo utaona nilichokuwa nakisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…