Mimi naona hii game itakuwa na fluidity ambayo ni more diffensive uwepo wa saliba,white na timber ambao ni CB na partey ambaye ni DM kwangu hii inaniambia ingawa tunatafuta ushindi lakini tunaangalia usalama kwanza.
Kwa benchmark aliyoiweka jana city ya goli 3 ni kama amewapa presha counterparts wengine na atakayeingia kwa kujilipua asishangae akaacha points kwenye game 1