computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Yan wanazoa zoa wachezaji wengi sana toka dirisha dogo wanazoa tuKila nikivisit kwenye page ya Fabrizio naishia kucheka kwa sauti CHELSEA SET TO SIGN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama Bilionea has money [emoji383] but sio kwa kuzitawanya kwa average players
Watakushambulia ,Mimi Nikisema wanadai na chukiKila nikivisit kwenye page ya Fabrizio naishia kucheka kwa sauti CHELSEA SET TO SIGN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama Bilionea has money [emoji383] but sio kwa kuzitawanya kwa average players
Kwani kuwa wakawaida ni lazima umfananishe na mchezaji wa chelsea?? Winga bora wapi? kanakimbia kimbia tu uwanjani na mpira kama kuku aliekatwa shingo.Wakawaida kufananisha na Mchezaji wako yupi?
Nelli yupo kwenye mawinga Bora duniani
Tatizo lenu nyie kondoo wa Arteta hampendi kuambiwa ukweli.Aweke wachezaji wake wa Chelsea wanaoweza kuja kwny timu yetu wakaanza starting 11....kuna vitu vinachekesha sana....yle Mudryk kwa Trossard tu haingiii...ndo uje kumfananisha na Martinelli🤣🤣🤣
15 goals EPL unasema anakimbiakimbiaKwani kuwa wakawaida ni lazima umfananishe na mchezaji wa chelsea?? Winga bora wapi? kanakimbia kimbia tu uwanjani na mpira kama kuku aliekatwa shingo.
....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakushambulia ,Mimi Nikisema wanadai na chuki
Hyu awekwe nje hadi mechi ya Man U ndo acheze ile ndo saizi yake...hzi zngine wamuhifadhiKwako mchambuzi nguri hamis77 View attachment 2713831
Ni kweli martinelli kwangu si mchezaji wa maajaaaabu.Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.
Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
Hatari Sana ,mwamba karudi, atulie tusimuharakishe kwasasa Timber aendelee kukichafuaKwako mchambuzi nguri hamis77 View attachment 2713831
Monaco wanarudi na ofa nzuri ,acha inter wakimbie ,wanapenda kitonga sana[emoji599] Inter Milan have withdrawn from the race for Folarin Balogun. The decision has already been communicated to Arsenal and the player. Reports, @AlfredoPedulla.