Huyo shabiki wa ukengeni, atajulia wapi mpiraUna safari ndefu sana ya kujifunza mpira
FactDirisha hili tukiongeza LCM/RW kwangu itakua 10/10
CF tunaweza leta January au next summer magoli kwetu sio ishuView attachment 2713348
Martinelli ana advantage moja. Jamaa ni mchapa kazi, msumbufu na ana pumzi. Utamkuta nyuma anakaba na wapinzani wakifanya turnover unamkuta kashakimbia mbele kumalizia through ball. Na anaweza kufanya hivyo mechi nzima hivyo anawasaidia wachezaji wenzake kuvuta pumzi kidogo wakati wa Hali ngumu. Ni kama Kante wa Leicester au Ramirez wa Chelsea ila yeye ni forward.Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.
Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
Tulishachangia sana, kuna watu walisema Partey hana IQ ya football kakaOyaaa mbona hii hoja tunapita kama hatuiona hakuna cha kungangia hapa?
Battle ya Martinelli na Trossard kuna mda nahisi Arteta anapata tabu kuamua nani aanze, maana Trossard anatisha kushoto anaweka kulia hatari sanaMartinelli ana advantage moja. Jamaa ni mchapa kazi, msumbufu na ana pumzi. Utamkuta nyuma anakaba na wapinzani wakifanya turnover unamkuta kashakimbia mbele kumalizia through ball. Na anaweza kufanya hivyo mechi nzima hivyo anawasaidia wachezaji wenzake kuvuta pumzi kidogo wakati wa Hali ngumu. Ni kama Kante wa Leicester au Ramirez wa Chelsea ila yeye ni forward.
Pia ni mshapu kwenye kupiga shots na huwa hazidishi touches sana Ili akae vizuri apige. Ni wale wachezaji ambao beki akifikiri atasogeza mpira kidogo na mguu wa kushoto Ili apige na kulia, anashangaa jamaa keshashoot na wa kushoto. Makipa pia wanajikutaga washafungwa na jamaa Kwa style hii.
Arsenal Pre-season goals & assistsBattle ya Martinelli na Trossard kuna mda nahisi Arteta anapata tabu kuamua nani aanze, maana Trossard anatisha kushoto anaweka kulia hatari sanaView attachment 2713422
Yah Hana ball striking nzuri ,uzuri bado Kai hajafikia Peak yake ,ni vile amewahi kuwa superstar akiwa mdogo ,ana miaka 24 tuIla Kai inabidi afanye mazoezi ya shooting hayupo vizuri
Trosaard kiukweli napenda kumuona Sana LCM , sababu ya uwezo wake wa kukaa na mpira ,kupiga miguu yote , mfano mech na mancity kafunga na Left ,huyu jamaa ndiye CarzolaBattle ya Martinelli na Trossard kuna mda nahisi Arteta anapata tabu kuamua nani aanze, maana Trossard anatisha kushoto anaweka kulia hatari sanaView attachment 2713422
Ramsdale......onanaArsenal hope to have David Raya available for Premier League opener vs Nottingham Forest as goalkeeper undergoes medical on thursday ( today)
(@sr_collings )
Kuna rumours za Nicolo Barella..yule muhuni wa inter...Sasa sijui ni uzushi au kuna kaukweli ndani yakeArsenal hope to have David Raya available for Premier League opener vs Nottingham Forest as goalkeeper undergoes medical on thursday ( today)
(@sr_collings )
Huyu Trossard sijui nimuweke kundi la Cazorla Kwa matumizi ya miguu yote haswa kwenye shooting. Kwa mbali huwezi jua anatumia mguu gani. Martinelli ana shoot na kushoto lakini zaidi akiwa ndani ya box. Saka anashoot na kulia lakini anakuwa confident kushoot na kulia akiwa ndani ya box. Trossard hajali Yuko ndani ama nje ya box. Halafu anajua kulenga goli. Namuona akiwa na 15+ goals na 10+ assists kama tukicheza kama last seasonBattle ya Martinelli na Trossard kuna mda nahisi Arteta anapata tabu kuamua nani aanze, maana Trossard anatisha kushoto anaweka kulia hatari sanaView attachment 2713422
UzushiKuna rumours za Nicolo Barella..yule muhuni wa inter...Sasa sijui ni uzushi au kuna kaukweli ndani yake
Mimi nakubaliana na wewe , lakin pia hatuna tatizo kubwa la kuhitaji a CF ,tulishakuwa na lacazette ,Hakuna alichofanyaKai atatamba sana akiwa arsenal msimu huu.watu wanasema tusajili cf wa nini ? mpira wa siku hizi hautegemei mtu afanye kazi moja tu uwanjani,akitaitiwa akashindwa kufunga anakuwa mzigo kwenye mechi,angalia juzi halland kwenye mechi yetu baada ya kubawa na mabeki akakosa cha kufanya ikabid wamtoe.ila unapokuwa na mtu kama kai au G.Jesus,Hawa mechi ikiwa ngumu wanarud nyuma wanaenda kukaba,wanachukua mpira wanapiga changa adui then wanatengeneza space kwa kina ode,saka na martinell kuscore,huu ndio mpira wa kisasa,ni kitu cha ajabu kusema arsenal anahitaji cf,wakati msimu uliopita wamemaliza na goli 88,hata wakati kina henry wapo hawakuwahi kufikisha hizo goli.