Kwa ushauri wangu Westham wasikubali kulipa zaidi ya £5m kwa Maguire, lakini inawezekana Westham wanamtaka Maguire sio kumchezesha kama beki, huenda wakamuweka mbele akawa stricker maana ukimfatilia vizuri Maguire ana uLukaku ndani yake.Assume wewe ndio football director wa westaham kwa Harry Maguire una bid kwa shilingap?
Acheni utapeli nyumbuz hasira zenu za kupigwa msitafute na nyie wakumpiga
Kwa ushauri wangu Westham wasikubali kulipa zaidi ya £5m kwa Maguire, lakini inawezekana Westham wanamtaka Maguire sio kumchezesha kama beki, huenda wakamuweka mbele akawa stricker maana ukimfatilia vizuri Maguire ana uLukaku ndani yake.
Man U wakufukuze ushabiki wa team yao
Ni hali tu imewafanya muwe humble, nyie kipindi cha Ferguson mnataka mpaka Valencia na chenga yake moja apewe balloon dorMashabiki wa Man Utd karibia wote hua tuko very humble.
Mpira ukiuchukulia kama burudani utakua unaenjoy, ila ukiuchukulia serious sana unakua unakaribisha maradhi ya moyo, kiharusi, depression na upungufu wa nguvu za kiume kwenye mwili wako.
Ni hali tu imewafanya muwe humble, nyie kipindi cha Ferguson mnataka mpaka Valencia na chenga yake moja apewe balloon dor.
Sahv ni muda wa Terta ball! Be humble guys
kama kua humble kunatokana na hali basi nyinyi Arsenyani mngekua mko humble zaidi yetu maana miaka zaidi ya 20 hamna Epl, mmeenda miaka 7 mfululizo bila kuingia top4, hamjawahi kubeba kombe lolote la ulaya lakini ndio kwanza mnazidi kuchachuka.
Sisi miaka 5 tu iliyopita tumetoka kubeba kombe la Ulaya halafu tuko calm tu kama vile sio sisi.
sisi ndo tupo humble, basi tu mna wivu na arsenal brand.
Huoni hamtoki hapa?
Eti kombe la ulayaeuropa??? Haki nyumbu mmejaliwa midomo
sasa wivu utoke wape kwa katimu ambako hakana historia yoyote ya makombe duniani?
Yaani tuionee wivu timu ambayo kabati lake limejazwa kwa misinia ya ngao ya hisani, vikombe vya Emirates na FA kweli?
Kama ni hivyo basi hayo yatakua ni matumizi mabaya ya wivu
unaniuliza au unajiuliza
Malalamiko pekekeni polisisasa wivu utoke wape kwa katimu ambako hakana historia yoyote ya makombe duniani?
Yaani tuionee wivu timu ambayo kabati lake limejazwa kwa misinia ya ngao ya hisani, vikombe vya Emirates na FA kweli?
Kama ni hivyo basi hayo yatakua ni matumizi mabaya ya wivu
Community shield anapewa zawad kubwa kuliko mshindi wa Carabao energy drinkTafakari kwa umakini halafu jibu baki nalo mwenyewe.
Jibu lipo wazi, kila siku mnalia lia humu, mnameza piriton ila bado mpo tuTafakari kwa umakini halafu jibu baki nalo mwenyewe.
Sawa lakini tukubaliane mapema kabisa kua Sinia sio kombe na wala FA wenyewe hilo sinia waliowapea hua hawalihesabii kama ni kombe.Community shield anapewa zawad kubwa kuliko mshindi wa Carabao energy drink
Mkuu kuna ule msemo wa kiswahili unaosema "Chizi anaefurahisha hua hatokei kwenu"Jibu lipo wazi, kila siku mnalia lia humu, mnameza piriton ila bado mpo tu
Msimu huu mkimaliza top 4 mtakuwa mna bahati sana ndugu zetuSawa lakini tukubaliane mapema kabisa kua Sinia sio kombo na wala FA wenyewe hilo sinia waliowapea hua hawalihesabii kama ni kombe.
TAHADHARI:
Shabiki yoyote wa Arsenyo ukiulizwa msimu huu mmebeba kombe gani?
Usithubutu kusema tumebeba kombe la community shield.
Kombe litabaki kua kombe na Ngao itaendelea kua Ngao.
Tumewapa Clichy, Adebayor, Nasri, Toure, yaani vyuma haswaaa. Wao na sisi hatuna kunyimanaShida ambayo ipo City hawawezi fanya biashara tena na sisi...waendelee kutupa silaha kwli???...Tusahau tu kwakweli
Mkuu usiwe unasema hivi mkuu, hawapendi kusikia hivi. Na huko ulipo, usithubutu kuacha chakula au kinywaji, then ukatoka kidogo. Na ukijisahau bahati mbaya, basi usile hicho chakula.Namuona Arteta miaka 20 mbele akiwa na arsenal huku domination ya epl for 10+ seasons consecutive