Bado naona tutaongeza Beki hasa wakati , RW ,Tatizo letu ni kuwa soon team itajaa vyuma kiasi kwamba huwezi kusema ipi full squad na ipi siyo. Wapinzani wataona tunawaonea tunawapangia masquad magumu kumbe ndiyo hivyo tu hatuna wachezaji wabovu, we can't help it.
Pasi za mpira hizo, hapo Kuna mtu kachunguliwaPerfection
View attachment 2711137
Hivi mpk sasahv Cedric na mwanae Tavares wanasubiri nini....naona wapo wamejikausha tuli kama wapo kwny mipango ya timu vile...waende hata Ureno huko wakajipigie promo wapate timu...sisi wakija watu serious tutawapa bure kabisa Hawa jamaa na ikiwezekana na Holding juu tutawaongezeaBado naona tutaongeza Beki hasa wakati , RW ,
Holding, Pepe,balogun, Cedric, Hawa wanatakiwa kuondoka kuachia nafas za wapya
Hivi mpk sasahv Cedric na mwanae Tavares wanasubiri nini....naona wapo wamejikausha tuli kama wapo kwny mipango ya timu vile...waende hata Ureno huko wakajipigie promo wapate timu...sisi wakija watu serious tutawapa bure kabisa Hawa jamaa na ikiwezekana na Holding juu tutawaongezea
Hao wameshaambiwa hawapo kwenye mipango ya timu ,hivo mawakala wao lazima wafait kuwatafutia timuHivi mpk sasahv Cedric na mwanae Tavares wanasubiri nini....naona wapo wamejikausha tuli kama wapo kwny mipango ya timu vile...waende hata Ureno huko wakajipigie promo wapate timu...sisi wakija watu serious tutawapa bure kabisa Hawa jamaa na ikiwezekana na Holding juu tutawaongezea
Ukichelewesha mda hata dakika 20 zinaongezwa...hii ndo haki kabisa...hakuna janjajanja tenaDk 100 za yesterday zimekuwa kero kwa rivals naona Guardiola Varane na wengine wameanza kuwa against na dk za nyongeza
Ni wehu pekee ndio watakubaliana na hiyo mambo. Sema mungu na refa alikua upande wenu. Manavyodanganyana hapa kama mliupga mwiiiiingi kondoo nyie.Dk 100 za yesterday zimekuwa kero kwa rivals naona Guardiola Varane na wengine wameanza kuwa against na dk za nyongeza
Naposema upungufu wa akili ndo huu sasa!! Unategemea kuna timu ya kushinda game zoooooote duniani??? Ivi kwa unavyoona hao unaowataja wanauwezo wa kucheza na sisi na wakatufanya unavyowaza et 5? Hahaha kweli chuki ni mbaya sana hao unaowataja wamebaki majina ya timu tu ila kiuhalisia hakunamo timu ya kututisha hapo. Timu pekee ya kututisha sisi tukienda uwanjani ni City ya pep tu wala sio izo timu zenu zilizochoka.Wazee wakupishana siokwa sporting mlishindwa kupishana ndo mnaweza kumfunga bayern nyinyi au Liverpool au psg kuna first and second leg huko uefa mnaweza game ya kwanza mkapishana vizuriii then game ya pili mkala 4,5 au 6.
Uchezaji gani huu wa kina havertz au Nketiah sio? Timu imebakisha game 10 halafu ipo 8 points ahead inacheza jumapili to j2 lakini ikashindwa kuchukua kombe ndo ije kuchukua kombe saivi kweli?
Mwanangu sisi mpira tunaujua na tunaujua tena. Tunaweza na tukauweza tena. Ingawa tunazinguaga kijinga sana pumbavu zetu ila asili yetu kama arsenal ni kujua boli Mzee. Yaani tunajua boli mnooo
Ukiona mtu anashabikia Manyumbu na Chelkenge fatilia hata normal life yake utakuta ni watu wa vuruguvurugu maana hzi ndo timu ndo zinacho offer
Bado naona tutaongeza Beki hasa wakati , RW ,
Holding, Pepe,balogun, Cedric, Hawa wanatakiwa kuondoka kuachia nafas za wapya
Unashinda humu kutafuta furaha kuliko jukwaa lenu la ukengeniNi wehu pekee ndio watakubaliana na hiyo mambo. Sema mungu na refa alikua upande wenu. Manavyodanganyana hapa kama mliupga mwiiiiingi kondoo nyie.
Chuki zimewajaa Hadi huruma ,Naposema upungufu wa akili ndo huu sasa!! Unategemea kuna timu ya kushinda game zoooooote duniani??? Ivi kwa unavyoona hao unaowataja wanauwezo wa kucheza na sisi na wakatufanya unavyowaza et 5? Hahaha kweli chuki ni mbaya sana hao unaowataja wamebaki majina ya timu tu ila kiuhalisia hakunamo timu ya kututisha hapo. Timu pekee ya kututisha sisi tukienda uwanjani ni City ya pep tu wala sio izo timu zenu zilizochoka.
Naposema upungufu wa akili ndo huu sasa!! Unategemea kuna timu ya kushinda game zoooooote duniani??? Ivi kwa unavyoona hao unaowataja wanauwezo wa kucheza na sisi na wakatufanya unavyowaza et 5? Hahaha kweli chuki ni mbaya sana hao unaowataja wamebaki majina ya timu tu ila kiuhalisia hakunamo timu ya kututisha hapo. Timu pekee ya kututisha sisi tukienda uwanjani ni City ya pep tu wala sio izo timu zenu zilizochoka.
Hujaelewa hata nilichoongea kama kawaida umerukia...kwhyo ukiwa na hela ndo unakuwa na vurugu...akili za wapi hzi😅😅😅....zimebaki siku kadhaa muanze kuona nafasi mtakazoshika huko chini....level ya kina Brentford na Fulham hukoNa anayeshabikia Arsenal always anakua mnyonge sana. Unaanza vipi kufanya vurugu wakati huna kombesi utapigwa vibao asee, yaani ni vile kama kikao cha ukoo wewe ndo huna hela , kuchangia unakosa unakuwa unaona wanafanya vurugu mtu anakwambia “ tuvunje hii nyumba tujenge nyingine hii imechoka “ kwa ambae hana hata mia si vurugu hizo sasa ndo kama kwenye mpira
Hujaelewa hata nilichoongea kama kawaida umerukia...kwhyo ukiwa na hela ndo unakuwa na vurugu...akili za wapi hzi....zimebaki siku kadhaa muanze kuona nafasi mtakazoshika huko chini....level ya kina Brentford na Fulham huko
Bado hujanielewa tena...unazidi kukurupuka....anyway basi wacha tuende kwa level ya uelewa wako...sawa sisi hatuna makombe ndo maana hatuna vurugu basi tufanye hvyo mkuu😅😅😅Wewe una hisi ni vurugu lakini hizo sio vurugu hizo ni furaha ambazo kwenye mpira huwa zipo ila wewe ndo ukiangalia kwa unyonge wako unaona ni vurugu . Huwezi kushangilia kombe kinyonge mkuu tatizo huna experience ya kushangilia kombe ndo maana huwezi kuelewa, mtu anaweza kushangilia ubingwa kwa kupanda juu ya meza kurusharusha viti au vinywaji juu kupiga mziki au kelele kwa sauti ya juu sasa arsenal fans mkiona ivyo mnajua ni vurugu kisa tu hamna uzoefu wa kuwa champions.
Angalia grealish na other players wa city walivyokuwa wanafanya unakuta KDB anafanya press conference wanakuja na kelele na speaker wanapiga kelele wanamwangia pombe na vitu vingine sasa trophless fan kama arsenal mkiona vile mnajua fujo