Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Flano ni nyumbu aliekomaa akiamua kusimamia ujinga huwa haambiliki

Mount anamkataa Omama anakuambia ni bonge la kipa
Flano ni wakipekee asee, akiamua kusimamia ujinga ,huwa nacheka Sana

Moja ya shabiki wa nyumbu nataman kuonana nae,

Anakwambia mount ni Freemason
 
Flano ni nyumbu aliekomaa akiamua kusimamia ujinga huwa haambiliki

Mount anamkataa Omama anakuambia ni bonge la kipa
Mount namuona Kama alishamaliza mpira miaka miwili iliyopita , sitarajii kuona akicheza kwa kiwango zaidi ya pale ,like Kama anapita njia zile za waingereza wakuridhika

Nimeona pale Chelsea akiwekwa no.8,10,LW na RW had anapigwa bench , alifanya vzr kwa lampard baba yake , akamalizia mpira wake kwa Tuchel , hajawahi kurejea Tena , anacheza kwa kuridhika ,
 
Flano ni wakipekee asee, akiamua kusimamia ujinga ,huwa nacheka Sana

Moja ya shabiki wa nyumbu nataman kuonana nae,

Anakwambia mount ni Freemason
Kwasasa Nyumbuz kuonekana ni ngumu kwa currently form ya timu yao

Kwenye jukwaa lao unaona kabisa hizi comments zao zinauhusiamo mkubwa na maumivu
 
Kweli kabisa na Liver atakuwa bingwa....mwaka jana majeruhi tu yaliwa cost

Kusema Liverpool kuwa bingwa hio haishtuiii na si false hope kwasababu Liverpool si false hope team , timu imechukua uefa na epl ndani ya miaka 5 iliyopita , kichekesho ni kusema arsenal atakuwa bingwa after what happened season iliyopita ndo kabisa nyie tunawatoa kabisa hata top 4.
Arsenal kitu pekee mnachoweza mwaka huu ni kugombania top 4 na aston villa basii.
 
Zin akiwepo uwanjani anafanya kazi kuelezea beautiful football iwe rahisi
Asicheze tunamuhitaji Sana kwenye Ligi

Leo twende na back 4 ya Timber Saliba Magalhaes na white

Hivi unajua Hii typically ni 4CBs ,ambayo pep anasema aliichukua kwetu akaiboresha katikati ya msimu ikampa mafanikio

Arteta aliicheza Vs Liverpool

White Saliba Magalhaes Tomiyasu

Pep anasema anatoa sababu kwanini aliamua na Sasa amechana kabisa na natural FB ,Soma hapa


“I learnt this season when you play against Bukayo Saka, Vinicius Junior, Gabriel Martinelli or Mohamed Salah, you need proper defenders to win duels one-on-one. They need just one action to beat you. Nathan gave us a boost that we did not have in the past.”
 
Arteta -

"We know that to win the Premier League, you know you are probably going to need about 96 points or 100 points."

(Arsenal)
 
Nimesikitika sana kuona Chelsea wanamchukua Olise kwa £26m. Hivi tulishindwa nini?
Kuna targets zingine...kocha ndo anayejua zaidi... mchezaji anaweza kuwa mzuri ila mfumo wa timu ukamkataa...hvyo hamna sababu ya kuhuzunika sana
 
Arteta -

"We know that to win the Premier League, you know you are probably going to need about 96 points or 100 points."

(Arsenal)
 
Nimesikitika sana kuona Chelsea wanamchukua Olise kwa £26m. Hivi tulishindwa nini?
Wametuma ofa tu mkuu, halafu yule dogo mwanetu kabisa ana Release ya €35m

Huyo tukimtaka simu moja ya Wenger au Vieira inatosha

Wenger alikuwa nae vacation mwaka Jana akamwambia afanye nn ili aongeze namba ya magoli

Na kweli dogo msimu huu kaongeza

Saka nae aliambiwa ili awe elite ,asitumie left foot pekee ,afanyie kazi right foot

Na kweli Sasa hivi saka anatumia miguu yote , Yupo top 5 ya mawinga Ghali Duniani ,kwa U21 anaongoza
 
Arteta -

"The FA Community Shield is a trophy. When there is a trophy on the table, you want to win. This will be our approach today against a very good Manchester City team. Of course, we know what we are up against today."

(Arsenal)
 
Gonçalo Ramos alifunga mabao 19 nchini Ureno msimu uliopita, ligi ambayo inachukuliwa kuwa dhaifu kuliko Ligue 1, ambapo Flo Balogun alifunga mabao 21.


Gonçalo Ramos anaenda PSG kwa €80m (£69m) lakini #Arsenal wanahimizwa kupunguza thamani yao ya £50m huku Inter wakilia umasikini

 
Kwa maana nyingine hapo Arteta katangaza hizo ndio points anazoenda kuzikusanya msimu huu

Kenge na nyumbuz hawawezi kuelewa hii
Ndio maana yake ,last season alisema anataka tufunge magoli 100+

All competition tulifunga goli 120

EPL goals 88
 
| Mikel Arteta:

“We’re proud to be playing in the FA Community Shield here at Wembley Stadium.

“This is a match which recognises two clubs who had a good year, with a traditional place in our football calendar at the start of the new season.

“And of course, it’s a great opportunity for the supporters to come to Wembley for a competitive match before the Premier League starts.

“The FA Community Shield is a trophy. When there is a trophy on the table, you want to win.

“This will be our approach today against a very good Manchester City team. Of course, we know what we are up against today.” [@arsenal] #afc
 
| Mikel Arteta:

“As we get closer to the start of the new season, everyone at Arsenal is really looking forward to the challenge ahead.

“As a club, we are still on a journey and will be working hard to make progress again this season with our fantastic supporters.

“It will be great to experience Wembley together again with our supporters.

“For our last two matches here at Wembley when I’ve been manager, there were no supporters in the stadium.

“So it’s going to be a great occasion today where we can be together at this wonderful football venue.” [@Arsenal] #afc
 
Important game ya leo tunayoisubiri, katika games almost 11 vs Manchester City tumewin 1 na kupoteza 10 games ,so ni kipimo sahihi kwa game ya leo kuona dira ipoje sababu last season walitupiga EPL na FA cup so leo ni leo katika EPL kila game waliscore kuanzia goli 3 tusubiri tuone hiyo jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…