Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usitafute sympathy mkuu.
Leo mtajua kuwa Arsenal ni mbovu na ni ile ile ya kina Chamack.
Mzoee kucheza Alhamisi mkuu kama Lavia kuwasajili anawashinda....naona unalalamika kule jukwaa Lenu kususasua kumchukua Tchouameni 😅😅😅
 
Usitafute excuse mapema.
leo hutoki.
 
Akifungwa hua anakawaida ya kukimbilia mafichoni na kuwaacha kondoo wake wanazurura hovyo tu kwenye mashamba ya watu.
Masingeli leo ukigongwa na City tunakuomba usiitelekeze mifugo yako.
Hakuna mtu wakumkimbia Jf humu ,Mimi nimeishi na wahuni ,nimeishi misheni kwa mapadri pia ,huwa nawaacha mtoe nyongo zenu na matusi ,

Safari hii nakula sahan moja na wahuni wote , maana kuishi na wehu tunaweza
 
Mzoee kucheza Alhamisi mkuu kama Lavia kuwasajili anawashinda....naona unalalamika kule jukwaa Lenu kususasua kumchukua Tchouameni 😅😅😅
Hii haifanyi ukweli ubadilike kuwa UEFA hamtoboi 1/4 na CS leo mnachapwa na PL hamtoboi top 5.

Sababu unakikosi cha kuunga unga
 
David Raya anakaribia Arsenal

Now round of talks will take place today for David Raya deal between Arsenal and Brentford. Negotiations are advancing to key, final stages
️ #AFC

Matt Turner will join Nottingham Forest on permanent deal.
 
Hii haifanyi ukweli ubadilike kuwa UEFA hamtoboi 1/4 na CS leo mnachapwa na PL hamtoboi top 5.

Sababu unakikosi cha kuunga unga
Sisi na nyny nani ana kikosi cha kuungauunga....umeambiwa taja mbadala wa wachezaji wako Kila eneo umebaki unapiga mark time tu hmu....msipopata watu 4 wa maana...msahau kumaliza hata hyo nafasi ya 6 Msimu huu
 
Best goal keeper Epl

Nyumbuz wanajisikiaje wakiona hii habari kwa Omama wao?
 
Hahaaa naona wanga wameanza kabla ya mech kuanza
Keep in mind tukifungwa tupo,tukishinda tupo.hatuend popote.

Karibuni baadae msisahau kubeba popcon na sharubati
Kuna kitu ulizungumza juzi kuhusu Rice

| Gary Lineker: “A lot of players who move for big money struggle to cope with their price tag but I don’t think that’ll be the case with ex-West Ham skipper Declan Rice.

“He is an exceptional player — a holding midfielder but also far more than that. Rice is a real leader, who will run all day, a player who can break the lines and make things happen with the ball at his feet.

“Of course, £105million is a massive fee but he will not have the same pressure as a forward player who moves for big money because they are constantly judged on their scoring record.

“I’d like to see Rice add more goals to his game but nobody is expecting that of him.” [@TheSunFootball] #afc
 
Best goal keeper Epl

Nyumbuz wanajisikiaje wakiona hii habari kwa Omama wao?
Ndio maana watu wanapandwa sukari ,hawakutegemea haya yafanyike

Walishazoea kusema Arsenal wabahili

Sasa wanashangaa wao kumsajili Lavia kwa 45-50 hawawezi,

Arsenal inasajili GK no.2 kwa £40m ndio maana Kama huyo jamaa anapandwa na kisukari
 
Ndio maana watu wanapandwa sukari ,hawakutegemea haya yafanyike

Walishazoea kusema Arsenal wabahili

Sasa wanashangaa wao kumsajili Lavia kwa 45-50 hawawezi,

Arsenal inasajili GK no.2 kwa £40m ndio maana Kama huyo jamaa anapandwa na kisukari
Nipandwe na sukari kwa timu yenye wachezaji kama LOKONGA, GABRIEL(KICHWA CHA BATA), PARTEY(MIGUU YA BISKUTI)
 
|| Arsenal, Spurs and Villa are still monitoring the situation with Aymeric Laporte at City




[Via - @MullockSMirror].
 
Jamaa ana hasira Liverpool haisajili ,analazimisha fujo

Sisi matani yetu hasa ni dhidi ya manjesta

Hata social media , Arsenal vs manjesta ndio wanaongoza kwa banter
Kwao kumepoa mkuu usimlaumu.hatujabeba epl for 20years ila jukwaa lipo juuu.ndo maana mkuu Flano anaombea tusibebe ubingwa maana mitaa na majukwaa yatapata shida.
We know how to enjoy every moment of the game
 
Nipandwe na sukari kwa timu yenye wachezaji kama LOKONGA, GABRIEL(KICHWA CHA BATA), PARTEY(MIGUU YA BISKUTI)
Naona unaongea pumba ,ngoja nikupuuze nikuchukulie Kama mgonjwa wa akili

Hasira za timu yako kushindwa kusajili usizimalizie huku ,

Tunavyojadili usajili na timu yetu unaumia Sana

Rasmi nakuchukulia Kama mgonjwa wa akili au mwenye Sonoma , nakupuuza
 
Mason Mount jana niliona alicheza nafasi ya Eriksen nadhani...bdo hajazoea timu na uzito wa jezi nao unamkwamisha kdgo ila naamini atakuwa na msimu mzuri kuliko Antony masebene....mtoto wa Kiingereza yule ana roho ya paka
Wampe muda mbona huyu freemason ni scholes mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…