Ukimuangalia anavyocheza...style ya uchezaji wake unamuona yupo serious kwli yle bwana mdgo???...anachojua labda ni kupiga penalty tuHivi Ainsley Maitland-Niles nikwmba mpira umegoma au?
2-0 zinamtosha
Mkuu 3 itapendeza2-0 zinamtosha
Kesho ni mechi ya bonanza mkuu....wiki ijayo ndo Tuna mechi serious...na Nottingham forest sijui...hapo ndo tutaonesha soka safiKila nikikumbuka hii comment ya Mc Masebene kuhusu Mancity hua naishia kutabasamu tu.
Kesho Arteta ndio atatonyesha namna gani anaenda kudominate ligi kwa miaka 10.View attachment 2709436
Kesho ni mechi ya bonanza mkuu....wiki ijayo ndo Tuna mechi serious...na Nottingham forest sijui...hapo ndo tutaonesha soka safi
Hakika kitawaramba Kesho.Most valuable squad inacheza kesho View attachment 2709414
Kwann mzee baba unataka niseme tunafungwa ndio roho yako ifurahiKila nikikumbuka hii comment ya Mc Masebene kuhusu Mancity hua naishia kutabasamu tu.
Kesho Arteta ndio atatuonyesha namna gani anaenda kudominate ligi kwa miaka 10.View attachment 2709436
Ngoja tuone asee ,target yetu RW atakuwa NaniBrighton and Ajax have an agreement in place for Mohammed Kudus. The deal between clubs is advanced since July… always been waiting for the player.#BHAFC
Fee around €40m, as @David_Ornstein reported.
It depends on the player now, waiting to agree on personal terms.
*Taarifa imenishtua sana hii £40m siamin kama hatuna.
*Tuliulizia tu ila hatukupeleka ofa ?
*Kuna Tageti nyingine ambazo ni kinyume na sisi tulizokua tunaziwazia Diaby na Kudus
*Nimepigwa na kitu kizito kichwani kusema ukwel
*Arteta mara zote anajua nini anataka ngoja nisubili
Ndo maana wachezaji wenye big EGO kama huyu na mbape ni wakuwaangalia sana.siku zote wanajiwazia wao kwanza bila kufikiria klabu.Ngoja tuone asee ,target yetu RW atakuwa Nani
Naona outgoings zimetuchelewesha,nasikia Pepe kawagomea na waturuki anataka mshahara wa €6m kwa mwaka
Huyu anavizia Arsenal wamvunjie mkataba awe free akapate signing fee
Wachezaji Kama Hawa ndio wanatuchelewesha kufanya maingizo mapya
Akicheza msimu mmoja aka shine thamani inapanda mpk £ 100 million... Brighton wako smart sana kibiashara...na De Zerbi atamfanya msela awakeBrighton and Ajax have an agreement in place for Mohammed Kudus. The deal between clubs is advanced since July… always been waiting for the player.#BHAFC
Fee around €40m, as @David_Ornstein reported.
It depends on the player now, waiting to agree on personal terms.
*Taarifa imenishtua sana hii £40m siamin kama hatuna.
*Tuliulizia tu ila hatukupeleka ofa ?
*Kuna Tageti nyingine ambazo ni kinyume na sisi tulizokua tunaziwazia Diaby na Kudus
*Nimepigwa na kitu kizito kichwani kusema ukwel
*Arteta mara zote anajua nini anataka ngoja nisubili
Ngoja tuone asee ,target yetu RW atakuwa Nani
Naona outgoings zimetuchelewesha,nasikia Pepe kawagomea na waturuki anataka mshahara wa €6m kwa mwaka
Huyu anavizia Arsenal wamvunjie mkataba awe free akapate signing fee
Wachezaji Kama Hawa ndio wanatuchelewesha kufanya maingizo mapya
Mkuu RW back up ni Reiss Nelson...hli ndo naloliona...sioni mtu mwingine tukimnyatiaWelcome Raya to Arsenal
Bado sajili 2
RW na RCB