Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Halafu unaweza Kuta hiyo add ons yenyewe masharti yake ni magumu kwelikweli...unaweza Kuta inasema afikishe goli kiasi flani kwa misimu kadhaa hta wakti mwingine na ubingwa juu....yaani add ons huwa siyo hela ya kuhesabia kbsa
uyo ni type ya kina pirlo uchezaji wake.. wachezaji wa design iyo wana system zao za kuwafanya wawe bora uwanjani.bro joginho unamuhesabia kama ni DM
Pep sio mara yake ya kwanza au ya pili kuwachezea mind games.
Wewe chekelea maneno ya Pep wakati yeye pia akichekelea kuwaingiza chaka.
Pep uhuni ameanza tokea miaka ya 1980 huko kwenye kijiji cha Santpedor kwenye wilaya ya Manresa in northeastern Spain.View attachment 2709016
| Pep Guardiola on if Arsenal strengthened this summer:
“Yes, definitely.
“Mikel [Arteta] has brought Arsenal back into the position they were.” [via Sky] #afc
Mwingine huyu hapaWewe ulitegemea ataongea kishabiki kwa kuponda kama kina Flano?
Hilo swali mbele ya media Pep anavaa viatu vya hamis77 lazima apake rangi nyingi sana kwenye nyumba ya udongo mpaka ionekane ni nyumba ya tofali.
Tayari huko mtu kafungwa halfway lineKikosi Cha watu wazima kinashuka leo kugawa burudani kabambe karibuni sana.View attachment 2709080
FabrizioRomano:
“Kwa sasa kuna kuhusishwa kwingi kwa Mohammed Kudus, na kwa hakika ni mchezaji wa kumtazama katika wiki za mwisho za dirisha.
Arsenal walipiga simu wiki mbili zilizopita, karibu wiki tatu Sasa zilizopita ili kufahamishwa kuhusu kudus.”
“Chelsea pia walipiga simu siku chache zilizopita.
Vilabu vyote viwili vimearifiwa kuhusu Kudus, tuone nini kitatokea Arsenal kwa kuumia kwa Gabriel Jesus.
Arteta alisema ni wiki mbili, kwa hivyo haitakuwa mbaya, lakini Arsenal wanafuatilia hali ya Kudus,
2-0 zinamtoshaMkuu kesho tunampiga man city ngapi?
David Raya ikikamilika ndo tutakuja lipi ni lipi....halafu yule Bitello taarifa zake kimya au wamempotezea mpk JanuaryFabrizioRomano:
“Kwa sasa kuna kuhusishwa kwingi kwa Mohammed Kudus, na kwa hakika ni mchezaji wa kumtazama katika wiki za mwisho za dirisha.
Arsenal walipiga simu wiki mbili zilizopita, karibu wiki tatu Sasa zilizopita ili kufahamishwa kuhusu kudus.”
“Chelsea pia walipiga simu siku chache zilizopita.
Vilabu vyote viwili vimearifiwa kuhusu Kudus, tuone nini kitatokea Arsenal kwa kuumia kwa Gabriel Jesus.
Arteta alisema ni wiki mbili, kwa hivyo haitakuwa mbaya, lakini Arsenal wanafuatilia hali ya Kudus,
Taarifa zake Kama zimetulia kwanza wamalize target muhimuDavid Raya ikikamilika ndo tutakuja lipi ni lipi....halafu yule Bitello taarifa zake kimya au wamempotezea mpk January
Analazimisha kuuzwa kwa nguvu sio mpk anaweka kwny Insta story yake huo upuuzi...hapa mpk vigezo na masharti kuzingatiwa ndo atoleweBalogun huko Insta
It seems like anaelekea Intermilan
€35m with buy back clause ,itakuwa deal zuri Sana, inakuwa Kama mkopo View attachment 2709330
Attitude yake ndio maana hata mazoezi amekuwa akifanya peke yake kule USA, mechi hapewi dakika ,inaonesha anafosi kuuzwaAnalazimisha kuuzwa kwa nguvu sio mpk anaweka kwny Insta story yake huo upuuzi...hapa mpk vigezo na masharti kuzingatiwa ndo atolewe