Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Fabrizio Romano


David Raya tayari ameshasema ndiyo kwa Arsenal siku chache zilizopita, upendeleo wa mchezaji huyo ulikuwa Arsenal kuliko kuhamia Bayern.Kwa nini? Kwa sababu Bayern ilitoa mkataba wa mkopo na mchezaji anataka kitu tofauti,”
“Anaitaka Arsenal.


Raya na Arsenal wana makubaliano juu ya mkataba huo, sasa Arsenal wanatakiwa kufikia makubaliano na Brentford kuhusu David Raya.

Hili ndilo jambo muhimu sasa na mazungumzo yanaendelea. Wacha tuone jinsi Bayern watafanya. Kwa sasa mazungumzo ya Raya na baryen yamekufa, lakini hatujui lolote linaweza kutokea katika soka.”

 
Ni kwli kabisa huu ni msimu wake wa nne utakuwa nadhani na tutapata kombe maana mpk Sasa kombe la angalau tulilopata ni FA cup tu....ni kama Baba Ubaya alivyojitutumua mwaka jana akapata lile kombe la bata..Sasa aache visababu vya kijingajinga kabla hata ligi haijaanza maana hela kapewa....na tukiwaangalia tu kwa sajili zenu mlivyofanya so far inaonekana kashanusa hatari ya kumalizia hata nje ya top 4 ndo maana kaanza kubweka mapema hv
 
Pepe anakaribia kuvunjiwa mkataba na Arsenal na kujiunga na Besiktas


(@tmtr_news )
 
Arsenal inafikiria kuhamia kumtaka Lavia ikiwa Falorin Balogun ataenda katika moja ya vilabu vya Milan.

Inafahamika kuwa Arteta kwa sasa anampendelea Kudus, kutokana na wazo fulani alilo nalo kwa safu yake ya kiungo.


(@MiguelDelaney)
 
Masuala ya kugombania ubingwa ni nyinyi wenyewe mashabiki wa Asenyo ndio mlikua mkiuhadaa ulimwengu kua lazima mbebe ndoo, msitake kutusingizia sisi kua ndio tuliowatabiria huo ujinga wakati miaka yote tunatambua ile kauli ya JK kua Asenyo ni kichwa cha mwendawazimu.
Tena Masingeli wewe ndio unakuaga mstari wa mbele kuuaminisha umma kua hakuna timu yoyote Epl yenye uwezo wa kuwin mechi 7 mfululizo halafu mna draw mechi moja kisha mnawin tena mechi 8.
Masingeli wewe ndio uliwashawishi misukule ya humu ishone sare ya vijora vya kusherehekea ubingwa kabisa halafu matokeo yake ukaingia mitini kabla hata ligi haijamalizika.
 
Unapokuwa kwenye Race ya ubingwa lazima upige hesabu za Kubeba Taji

Simple like that


Ni mpuuz tu atakayesema ukiwa kwenye Title race lengo ni top 4

Ndio maana Ten hag Dutch David Moyes amesema mapema malengo ni top 4

Arsenal sisi hata usajili unakuonesha hatuhitaji maswala ya top 4
 
bora hata baba ubaya walau msimu wake wa kwanza tu hakuondoka mikono mitupu, kabeba kombe la Carabao na akacheza fainali ya FA.

Ila ukiwasikia Asenyo sasa msimu ulioisha na vikauli vyao
"Msimu huu tume-overachieve malengo yetu ilikua top four"

"Approach yetu sisi kushinda game to game mwisho wa msimu kombe wataamua wampe nani"

Mkatuwekea mpaka Hashtag ya Asenyo Kondoo, Haaland kiatu.

Mwishoni imekuwa

"We have come this far to lose the tittle to City"000

Wadau wa soka tunasema Arsenal mmekosa kombe its a failure, huwezi kuongoza ligi kwa robo tatu nzima ya msimu kisha ukasema malengo yalikua ni top four na sio ubingwa mmeingia katika historia ya "The biggest bottlers in EPL history"
 
Takehiro Tomiyasu hasn’t been offered to any Italian club despite reports. He’s regular part of Arsenal plans


Situation could only change if Arsenal sign new fullback but nothing close or advanced at the moment.

Fabrizio
 
Kuna taarifa uchwara zilianza kutoka Jana ,nilizipotezea nilijua ni fake tu

Arsenal msimu ujao inaenda na full depth ,unapigwa right ,center and left
 
Auston Trusty has completed medical ahead of move to Sheffield United as confirmed by their coach.

(@dannyhall04 _
thestar.co.uk/sport/football…
 
According to @CapologyDB
Kai Havertz is the highest paid player at Arsenal and is earning £280k a week

Gabriel Jesus, Rice, Partey and Saka amongst the top 5
 
Ila pepe kaondoka bila heshima yoyote mjue
Aliambiwa hayupo kwenye mipango ya kocha atafute timu ,wakaja wasaudia wakashindwana pesa

Arsenal walishamwambia akishindwa wanamvunjia mkataba ,

Arsenal wanaangalia ule mshahara wake wa £140k per week

Kwa mwaka wanakuwa wame sevu karibu £8m

Hiyo amount unalipa wachezaji wawili wa maana na inakusaidia kwenye vitabu kwenye Mambo ya FFP

Nasikia kwa wage bill ya Arsenal wanaweza kuspend had £300m bila tatizo lolote
 
At Bayer Leverkusen Kia Havertz was one of the most wanted talents in world football. While at Chelsea we never saw his form get nowhere near close to expectations.

Just like Mo Salah and De Bruyne never hit there potential at Chelsea.

I believe Havertz can hit the same heights under Arteta at Arsenal.



 
My predicted lineup


4-3-3

Aaron

Timber Saliba Magalhaes Kiwior

Ødegaard Rice Trosaard

Saka Kai Nelli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…