Kwasasa ukitaka CF wa maana mtengeneze kutoka katika timu yako ,Duuh kweli yaan sokon dunia nzima Kuna striker wa maana wawili labda twende huko brazili
Arsenal ya NDOO kazi ndio inaenda kuanza SasaSanamu ya Wenger Nje ya Emirates stadium View attachment 2701436
Yah rasmi tunasimika soul ya HighburyArsenal ya NDOO kazi ndio inaenda kuanza Sasa
Nketia hapana dogo ni mzur ni bado hajaaminiwa tuNaomba hili dili likamilike
£34m(€40m) for Nketiah
£45m(€50m) for balogun
€90m- €100m , unampata CF gani sokoni wa maana?
|| Crystal Palace are reportedly planning a £34m bid for Eddie Nketiah
[Via - @Football_LDN].
De Bruyne, Salah walikua flop walipotokaMbona nyie mnenunua flop Havertz kw 65, sasa yupi bora? Aliyenunua mchezaji aliyeperfom kwnye timu aliyetoka au aliyenunua flop kwnye timu aliyetoka?
Kwangu jesus ni the best.. kama si majeruhi msimu uliopita angetisha zaidi.. jesus ni bora akiwa na mpira na pia asipokuwa na mpira, anashambulia tokea popote, anacheza na timu, anatengeneza nafasi, anakaa na mali mguuni.
Aisee Kuna neno Arteta analitumiaga anasema he create chaosKwangu jesus ni the best.. kama si majeruhi msimu uliopita angetisha zaidi.. jesus ni bora akiwa na mpira na pia asipokuwa na mpira, anashambulia tokea popote, anacheza na timu, anatengeneza nafasi, anakaa na mali mguuni.
Hakuna mwenye sifa zote hizo kwa pamoja kwa hao ambao mashabiki wanawataka.
Martinelli aftr world cup(majeruhi ya gabi) alipwaya.Aisee Kuna neno Arteta analitumiaga anasema he create chaos
Angalia vs Barcelona juzi ,kawatoka watu pemben kule kushoto akamuwekea Saka afanye tap in ,Mimi namkubali Sana
CF wengi wanacheza ile kusimama hawatakupa advantage ya kutengenezea wengine nafasi,
Jamaa ndio anamfanyaga Martinelli awe hatari maana huwa wanabadilishana position
Alikosa miezi mitatu EPL,na alifunga goals 11
Mm naamin akiwa fit Kuna 20 goals
Alipotea akaja kurud aliporejea Jesus,Martinelli aftr world cup(majeruhi ya gabi) alipwaya.
Wiki hii inayokuja naamini kutakuwa na massive clear out...maana tunahitaji kuongeza watu kama wawili bdoNicolas Pepe atengwa na Arsenal
Nicholas pepe alionekana akifanya mazoezi peke yake baada ya Arsenal kumuacha kwenye safari ya maandalizi ya msimu mpya.
Arteta alisema hayuko katika mipango yake msimu ujao.
pepe alicheza mechi 112 Arsenal akafunga mabao 27.Amehusishwa na timu za Saudi ila ameweka mahitaji makubwa
Alikuwa amevaa bukta la Angers Fc
View attachment 2701525
Nani alikwambia salah na de brune walikua flops?! wale ni hawakupewa tu chanse ya kuprove, ni sawa na nyie mnavyolazimisha kuwa mudryk ni flop wakati hajapewa hata chance, kisa tu aliwatosa.De Bruyne, Salah walikua flop walipotoka
Kama Mudryk ni mbovu mbona master class wenu of failure, alimtaka?Usilishe watu maneno , Ubora wa Jorginho unajulikana ,Talent wise ya Kai inajukikana ,
Thiago Silva ,James , hata Sasa Enzo ana quality , Chillwell , hao wanacheza timu yoyote ya top 6
Ila Wachezaji wabovu Kama Cinderella,Sterling, mudiriki, madueke, n.k hata sub hawaingii