Trusty hajapewa nafasiFabio hawawez mtoa mkopo , bench la ufundi linaamin alikosa game time na sababu ya injury ila ni potential nzuri ,
Cedric
Pepe
Balogun
Trusty
Holding
Hawa uhakika hatupo nao msimu ujao
Marquinho loan
Nketiah 50/50 inategemea na ofa ikija
Kabisa aisee halafu nasikia yupo vzr tu , tusishangae akabaki ,Kuna timu zinamtakaTrusty hajapewa nafasi
Mbona nyie mnenunua flop Havertz kw 65, sasa yupi bora? Aliyenunua mchezaji aliyeperfom kwnye timu aliyetoka au aliyenunua flop kwnye timu aliyetoka?Usibadilishe narrative.
Niliquote statement hii
"Hatutoi pesa nyingi kwa mchezaji ambaye ameonyesha mafanikio msimu mmoja"
Wewe unahamisha magoli
Kai kashaanza kutupia Arsenal na atatupia zaidiMbona nyie mnenunua flop Havertz kw 65, sasa yupi bora? Aliyenunua mchezaji aliyeperfom kwnye timu aliyetoka au aliyenunua flop kwnye timu aliyetoka?
Mlisema hivyo hivyo kwa Havertz na Jog wakat wapo chelsea kua hakuna mchazaji pale chelsea w kuingia Arsenal kikos ch kwanza, lakin sahv wale tulowaona hawafai nyie ndio wachezaji muhimu.@mkohoti ameniangusha Sana
Yan kabisa atusumbue akili huyo mudryk
Tulimtaka Martinez bucha wa unyumbuni aje Kama backup kwa saliba na gab
Nyumbu wakatuzidi kete, tukaja kumsajiri zinchenko instantly
Je Martinez anatunyima usingizi?
Case ya mudryk ndio Kama hiyo juu, yani tunaekuja kupata ni hatari zaidi ya hiyo backup tonayoikosa
Sasa kwa arsenal hii mudryk anamuweka Nani bench? Saka? Martinel?
Sasa mchezaji wa kutokea sub unanunua 100 wewe una akili timamu kweli?
Unawalisha watu maneno hakuna aliyesema hivo ,Mlisema hivyo hivyo kwa Havertz na Jog wakat wapo chelsea kua hakuna mchazaji pale chelsea w kuingia Arsenal kikos ch kwanza, lakin sahv wale tulowaona hawafai nyie ndio wachezaji muhimu.
Zikikamilika hapo tushushe striker la maana pale mbele pawe mchakamchakaNaomba hili dili likamilike
£34m(€40m) for Nketiah
£45m(€50m) for balogun
€90m- €100m , unampata CF gani sokoni wa maana?
|| Crystal Palace are reportedly planning a £34m bid for Eddie Nketiah
[Via - @Football_LDN].
Ndio najiuliza CF gani wamaana yupo sokonZikikamilika hapo tushushe striker la maana pale mbele pawe mchakamchaka
Duuh kweli yaan sokon dunia nzima Kuna striker wa maana wawili labda twende huko braziliNdio najiuliza CF gani wamaana yupo sokon
Victor osimhen? Huyu bila €120m+ humpati na nilisikia anakaribia kusaini mkataba mpya
Kane ? Arsenal na Spurs ni chui na paka hawez kuuziana mchezaji na Dany Levy alisema timu ya EPL ikimtaka Kane wajiandae €150m, Leo alikuwa na kikao na Bayern anawauzia kwa €100m na kipengere Cha buy back
Sioni tena profile ya kueleweka sokoni
Sishangai Manjesta na Psg wanagombea CF wa Atalanta Hojlund mwenye goli 9 tu na anauzwa €70m
Kwasasa ukitaka CF wa maana mtengeneze kutoka katika timu yako ,Duuh kweli yaan sokon dunia nzima Kuna striker wa maana wawili labda twende huko brazili