Arsenal (The Gunners) | Special Thread

|| Arsenal have REJECTED a £35m (bonuses included) bid from Inter, for Folarin Balogun, with Edu holding out for more


[Via - [@FcInterNewsit].
 
️ | Happy Birthday to Arsenal midfielder Emile Smith Rowe (23)!



Kwa waliomuangalia dakika chache alizopata pre season na michuano ya vijana ,watakubaliana na Mimi ,

Msimu huu Emile Smith Rowe anaenda kufanya vizuri zaidi baada ya kupona majeraha



Tutarajie makubwa na Sasa amebadilishiwa majukumu atatumika Kama LCM ,
 
Kama tumepgwa mbona mashabiki wa Arsenal mnaumia nae sasa? Mpk kipindi kile Arsenal vs Chelsea, mashabiki wa Arse88 wakawa wanamulika na vitaa usoni.

Ni kitu gani kifanya useme tumepgwa wakat chelsea yote ilikua hoi.
 
Kama tumepgwa mbona mashabiki wa Arsenal mnaumia nae sasa? Mpk kipindi kile Arsenal vs Chelsea, mashabiki wa Arse88 wakawa wanamulika na vitaa usoni.

Ni kitu gani kifanya useme tumepgwa wakat chelsea yote ilikua hoi.
Sijawahi kuona mashabiki wa Arsenal wanaumia sababu ya mudiriki

Mashabiki wa Arsenal wapo happy na Trossard mkemia

Yaan watu waumie kwa mchezaji ambaye anahitaji nafasi 10 afunge goli 1?

 
sEma nini? msameheni tu, alitaka kwenda kwnye timu ya mafanikio. Mkiendelea kumchukia aisaidii.
Huwa nakushangaa unalazimishaga ionekane tunaumia

Tuna watu wengi wakucheza LW na wenye uwezo wakutoa goals contribution kubwa ,why wamkumbuke makalio mudrky ambaye ana goli moja la pre season?

Kuwa serious
 
Crystal Palace are plotting a £34m move for Eddie Nketiah.

Nketiah is growing increasingly frustrated with his bench role behind Gabriel Jesus.

Arteta may move to promote Balogun to the role of backup striker - should Nketiah leave the club.

[Football London]
 
Nketiah aende tu, huko labda patamfaa zaidi.
 
Kai Havertz on attacking the penalty area from midfield:


“I always have to arrive there [in the box]. I think it is important for my position & also with my height. I want to score goals, it is part of my game. Hopefully it works more times in the league now.”


[Telegraph]
 
Waondoke wte yy na msela wake Balogun kiasi tutakachopata tununue mtu mwingine....watu wenyewe Wana uwezo average alaf Kila siku wanataka wawe ndo ma starter...haiwezekani
 
Waondoke wte yy na msela wake Balogun kiasi tutakachopata tununue mtu mwingine....watu wenyewe Wana uwezo average alaf Kila siku wanataka wawe ndo ma starter...haiwezekani
Had January watakuwa wameondoka wote ,dirisha hili Kuna dalili akaondoka mmoja
 
Sijawahi kuona mashabiki wa Arsenal wanaumia sababu ya mudiriki

Mashabiki wa Arsenal wapo happy na Trossard mkemia

Yaan watu waumie kwa mchezaji ambaye anahitaji nafasi 10 afunge goli 1?

View attachment 2701241
@mkohoti ameniangusha Sana
Yan kabisa atusumbue akili huyo mudryk

Tulimtaka Martinez bucha wa unyumbuni aje Kama backup kwa saliba na gab
Nyumbu wakatuzidi kete, tukaja kumsajiri zinchenko instantly
Je Martinez anatunyima usingizi?

Case ya mudryk ndio Kama hiyo juu, yani tunaekuja kupata ni hatari zaidi ya hiyo backup tonayoikosa


Sasa kwa arsenal hii mudryk anamuweka Nani bench? Saka? Martinel?
Sasa mchezaji wa kutokea sub unanunua 100 wewe una akili timamu kweli?
 
Arteta aliwahi kusema anataka wachezaji 22-25 tu

Timu inarejea England , tutarajie ongoings za kutosha

Kwa Sasa timu ina jumla ya wachezaji 30 -33 ,watano had sita wanatakiwa kula panga


Pepe
Holding
Balogun


Ongezea wengine unaotamani kuona wakila panga
 
Huyo shabiki wa ukengeni huwa mkurupukaji

Mara Mia kwa Martinezi maana hata uwezo anao ,Sasa mudrky ambaye imebaki kidogo tu aingie kwenye list yangu ya SAJILI ZA KUTAPELI ZA KUKUMBUKWA
 
Mbona unamsahau Nketiah?Tavares,Lokonga,Soares hao wote they must leave
 
Cedric
Nketiah

Fabio, marqunhos waende mkopo
 
Mchezaji mpya wa Arsenal Kai Havertz anasema anafurahia nafasi yake mpya kama kiungo wa kati wa upande wa kushoto.(LCM)

Havertz:

“Ninapata mpira zaidi, ninahusika zaidi kwenye mchezo. Nadhani nina nafasi nyingi ya kuboresha - bado ninajirekebisha. [Lakini] hadi sasa ninafanya kazi vizuri.”
 
Cedric
Nketiah

Fabio, marqunhos waende mkopo
Fabio hawawez mtoa mkopo , bench la ufundi linaamin alikosa game time na sababu ya injury ila ni potential nzuri ,

Cedric
Pepe
Balogun
Trusty
Holding

Hawa uhakika hatupo nao msimu ujao

Marquinho loan
Nketiah 50/50 inategemea na ofa ikija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…