Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwsho wa siku watafika bei tu...kama wanamtaka kweli watoboke tu...kwni hasara ngapi huko nyuma wamekula mpk hapa wajivutevute sana
 
Mwsho wa siku watafika bei tu...kama wanamtaka kweli watoboke tu...kwni hasara ngapi huko nyuma wamekula mpk hapa wajivutevute sana
Hiyo hela ni nyingi sana kwa Caicedo mchezaji aliyeonekana msimu 1 tu huwezi kulipa hiyo hela
 
Hiyo hela ni nyingi sana kwa Caicedo mchezaji aliyeonekana msimu 1 tu huwezi kulipa hiyo hela
Waangalie alternative nyngne Sasa...third bid mnakataliwa...kwnn msikae chini mkaongea nao na nyie mseme msimamo wenu wa mwsho kabla ya kupeleka Bid...maana hyo inakuwa biashara kichaa Sasa...timu zinazojifanya kukaza sana wkti mwingine mnawaachia mchezaji wao mnaenda kwngine maana naamini wapo wengine wazuri kuliko Caicedo
 
Hapo ni kutafuta option nyingine ya kiungo maana Brighton hawataki mazungumzo chini ya £100m tofauti na hapo wanataka hilo dili awepo Levi Colwill na hela juu
 
Chelsea can't seal the Caicedo deal for months
City have yet to seal Gvardiol for months
United still can't seal Højlund for months

But it's Arsenal who get criticised over Rice. Absolutely pathetic
 
Chelsea can't seal the Caicedo deal for months
City have yet to seal Gvardiol for months
United still can't seal Højlund for months

But it's Arsenal who get criticised over Rice. Absolutely pathetic
Na UTD nasikia PSG wamepeleka ofa ya kwanza leo kumtaka hyo hojlund...wasipokazana atabebwa hlfu wamrudishe tena Werghost mzee wa mikimbio mizuri
 
HUu mzimu, unawatesa. Hamtokaa mkamsahau
Ana impact gan kwenye timu yenu?

Tulimkosa mudryk tunae trossad, ukiambiwa Kati ya hao wawili chagua mmoja unamchagua nani?
Achana na stats zao

Tulimtakq mudryk aje kuwa Kama backup ya saka/martinel
Tumempata trossad ambae ni first eleven material

Haya tuambie tusimsahau kwa lipi alilo nalo?
 
Kama ni hivyo mbona mnateseka? Demu akikutosa una move on, sio kuanza kuponda sijui demu gani hana makalio kwanza mbaya, unaanza kutamba una demu mkali kuliko yeye. ya nn yote hayo? kama sio maumivu y kutoswa

Ni kuulize mudryk unahis chelsea wamepgwa?
 
Sio nahisi mkuu, pale MMEPIGWA

one season wonder, mbaya zaidi farmer ligi ya huko mabondeni unatoa 100, una akili timamu?

Sasa Kati ya mudryk na caicedo Nani anastahili price ya 100?
Mbona Hadi Leo bado mna-bargain?

Mydryk ni updated version ya Anthony masebene, one style type of player
 
Mudrky Hana tofauti kubwa na Anthony masebene,labda mbio tu ndio anachomzidi

Msimu huu asipovuka goli 5 ,mwakan tunamchukua kwa £20m tuje tumtengeneze
 
Eti tunamkumbuka


Mtu ana goli moja la pre season
 
Kuna muda unawaza hivi ingekuwaje huu moto wa SALIBA angecheza na laurent koscienly.nadhani ingekuwa hatari sana.baba ubaya shughuli ya kazi chafu alikuwa anaiweza sana
 
️ |
Declan Rice is expected to make his home debut this coming Wednesday as Arsenal take on Monaco in the Emirates Cup.

The 24-year-old was left out of the clash against Barcelona only as a precautionary measure. He had a tight calf after getting kicked in training.
#AFC
 
Arsenal face competition from Chelsea and Manchester United for £40m-rated playmaker Mohammed Kudus, and are also interested in £45m-rated winger Michael Olise.


(Daily Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…