Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hayo ni maneno yako tu ya kujifurahisha, haukatwazi kuongea.
Mwamba huyo hapa leo na Arsenyau asipotoa goal assists zaidi ya 3 niulizwe mimi.
 
Huyu Leo lazima apasuke ,na viongoz wa Inter lazima wazime simu
Huyo sio RasMadale lakini, huyu mwamba unaambiwa kwa wakati mmoja anaweza kucheza kama kipa, beki, kiungo, winga na straiker.
Ameshamuahidi 7Hag msimu ukiisha kama hatafunga goli 8 na assists 15 msimu mzima utakaofata ampige bench.
 
Nakwambia leo viongoz wa Inter watawazimia simu
 
aiseeeee Mc Masingeli una maneno ya kuburudisha sana, kuna kipindi hua najiuliza usikute Mc hamis77 kumbe ni Haji Manara.
Tunachangamsha tu ,

Ukweli nafas ya nyie kushinda ni finyu Sana ,mkishinda itakuwa habari

Ila Arsenal akishinda haitakuwa habari

KUNA UWEZEKANO ARTETA AKAPELEKWA JELA

Siku akianzisha Partey DM , Juu yake Ødegaard na Rice , kwenye Beki pembeni Timber na Zinchenko

Maana yake hapo Kati unakutana na mziki wa Partey Ødegaard,Rice , Zinchenko ,Timber wote mafundi wote wanakaa na mpira



Hapo possession ni 90%

Pass 800+

Goals anakufunga yoyote

Mkishinda au draw itakuwa habari ,Tukishinda haitakuwa habari
 
Halafu unakuta katimu kama kaaseno et nakenyewe kanasogeza pua kanataka kumsajili

Mbappe alishasema yeye sio yatima hivyo msitegemee jamaa kuja kuishi kwenye hio orphanage yenu. View attachment 2695917
Oya Arsenal tuna pesa Hadi aibu ,

Bajet ya mchezaji mmoja kwetu imekuwa ya timu nzima ...kwenu

January tulitaka kusplash €100m mudrky , €80m caicedo , hii inaonesha hatuna mbambamba Kama nyie

Mnajiita Timu tajiri mnaenda kuokota wachezaji Burney


Mbappe situation:

Saudi PIF clubs want to sign the player. They can afford to get the deal done, with huge package for the player. Arsenal can afford player fee, but wages will be the main issue. The player likes Arsenal and Arteta project but Real Madrid likely destination.

Lequipe-Tier 1
 
Nimepewa taarifa huko PSG wanataka hela na Arsenal bado wapo sokoni, itoshe kusema karibu Emirates fundi wa Mpira Mbappé..
View attachment 2695900
Halafu unakuta katimu kama kaaseno et nakenyewe kanasogeza pua kanataka kumsajili

Mbappe alishasema yeye sio yatima hivyo msitegemee jamaa kuja kuishi kwenye hio orphanage yenu.
Kwanza hela ya kumlipa mshahara wake nyie hamna.
 
Mna pesa hadi aibu halafu wewe mwenyewe unakiri juu ya haya maneno.

"Arsenal can afford player fee, but wages will be the main issue"

Man Utd kuna ile bajeti ya mshahara aliokua anapewa Christiano Ronaldo iko pending inasubiria wachezaji kama Mbappe.
 
Tulikuwa tunamlipa Ozil £350k per week anakaa bench , Auba £350k per week anakaa bench na muda huo hatupo UCL, Manjesta mkifanya hivi tu Adidas wanawakataga pesa na mnawapunguziaga wachezaji mishahara 25%



Braza this is Arsenal ,Bank of England ilikuwa inafahamika hivo baada ya dharau tumerudi

Mlisema Rice ataenda City ,hatuna hela ,Bayern akakimbia ,City akatupa taulo


Habari mbaya ni kwamba hatuna habari nzuri kwa ajili yenu


Good morning
 
Mna pesa hadi aibu halafu wewe mwenyewe unakiri juu ya haya maneno.

"Arsenal can afford player fee, but wages will be the main issue"
Wage ina kiwango ,itabidi tupunguze watu kwanza

Hata huyo Madrid anatakiwa auze mmoja wapo Kati ya Fede Valvede , Camavinga , Tchoumeni ili aweze kumlipa mshahara Mbappe

Vitu Kama hivi nitakufundisha mpaka lini Flano masebene
 
Wage ina kiwango ,itabidi tupunguze watu kwanza

Hata huyo Madrid anatakiwa auze mmoja wapo Kati ya Fede Valvede , Camavinga , Tchoumeni ili aweze kumlipa mshahara Mbappe

Vitu Kama hivi nitakufundisha mpaka lini Flano masebene
oyaaa masingeli hapa nipo serious kidogo hebu nielimishe.
Hivi mchezaji akiuzwa toka club moja kwenda nyingine hua katika hio pesa ya usajili mchezaji nae anapata % yake au yote hua inaenda kwa club?
Mfano huyo Rice hio £105m mtakayo lipa yote hua ni ya Westham au mchezaji nae anapata chake kwenye hio pesa?
 
Hayo ni maneno yako tu ya kujifurahisha, haukatwazi kuongea.
Mwamba huyo hapa leo na Arsenyau asipotoa goal assist zaidi ya 3 niulizwe mimi. View attachment 2695906
Huyu Leo tunamuwekea Havertz Mzee wa 0 shots on target na ikitokea hajapaisha basi kipa kadaka au inamgonga post Ili kuwadanganya. Kwenye ligi tunamuweka bench afu tunamuweka mbappe Ili tuwaadhibu kisawa sawa
 
Naamini mchezaji yeye kama bidhaa hapati kitu kwenye kuuzwa kwake. Yeye ni mishahara, madili ya matangazo ya soda, njumu, etc. Pesa za mauzo wanakula club na agents wa mchezaji
 
Rice hapati hata Mia , hiyo ni ya klabu husika yote

Akiwa free ndio anapata signing fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…