Wewe jamaa Kuna namna maana nilikwambia siwez kupoteza muda na wewe ,nikakwambia usini quote ,ila husikii , Kuna namna haupo sawa au unatafuta bwana kinguvu ,
Sitakujibu Tena , ila utashangaa unafosi
Mm nakawaida nikigundua hatuendan nakukwepa ila maisha mengine yaendelee,lakin wewe hutaki ku move on,
Ku niqoute maana yake unanifatilia ,wewe kaa mbali na mm ,mm sihitaji shoga,
Wewe umenifata inbox kwa ID nyingine unatafuta bwana ,mm nilikwambia sitaki kabisa hata uni quote ,husikii unanifatilia ,mm sitaki laanaYeah nafuatilia unachoongea humu thats why naku quote , si mara ya kwanza nakueleza humu lazima utapingwa maana hapa si kwa mkeo au watoto wako ambao hawawezi kupinga hoja zako ukidanganya kama ivi we will rise and go against you bro View attachment 2695737
Tukikaa kimya tutakua mazombie ya false hope .
View attachment 2695740
Ulikuwa unajua kabisa anfield hamtoki ukawa unasambaza mpaka false hope kwa mtoto , hela ya kununua jezi ulikuwa huna ukapita na upepo wa ushindi kwa liverpool .
Dogo unamlazimisha kushabikia arsenal muache achague timu apendayo
Wewe umenifata inbox kwa ID nyingine unatafuta bwana ,mm nilikwambia sitaki kabisa hata uni quote ,husikii unanifatilia ,mm sitaki laana
Why hutaki kuelewa ,ukiendelea naweka wazi ID yako na namba ya simu na ulipo
Mkuu hmu watu wte wa Arsenal wamekubali kuwa na false hope ndo maana wanachangia positively....Sasa Huna haja ya kutuletea mipicha miingi...ww na hiko kitimu chako tusubiri ligi ianze tuone mnavyomaliza nafasi ya 15 huko chini maana huna uwezo wa kuchukua point sita dhidi ya top timu yyte pale England....narudia huna....halafu kuhusu Liverpool misimu yte alofukuzana hakukosa kombe kwa tofauti ya point moja....halafu mpira unabadilika kijana zipo timu zitajidhatiti kuja kupambana na City apart from Liverpool....ila hao wafukuza upepo wako Newcastle watoe hawapo kabisa na mwaka huu ndo mwanzo na mwsho hamtakaa musikie top four tena...tusubiri ligi ianze halafu tuonane hmu ndani...Unaleta vioja humu ushashindwa hoja yaani unaonekana kama chizi. Mambo hayo na mashoga wako its ur privacy mimi hayanihusu
Mimi nakuambia uongo ni jadi yako wewe si mc maneno utanishinda ila fact nakuburuza View attachment 2695745
Wewe endelea na mashoga mzee huko ndo unapaweza vizuriii huku kwenye mpira kuna watu wameanza kuangalia mpira kabla yako na wanajua you are just an amateur labda unapoweza kwingine ni kusherehesha jukwaa maana panaendana na kazi ya umc unaofanya
“Kwahiyo hata sasa tunahubiri, city anaenda kufa kwake mapema sana akikaza draw” hapo tunahubiri nimecheka kwa sauti unazani mpira ni mahubiri sio
Nimefurahi mnooo aiseeeARTETA KASEMA PARTEY ANABAKI
Mikel Arteta on Thomas Partey future:
"Without a doubt [he's in my plans for this season].
"Thomas is a super important player for us and for me.
"I want him to be part of the team," View attachment 2695731
Ni ngumu mtu kuwa anaku quote alafu we unaendelea na mambo mengine Kwa sababu unapata notificationMimi nikiku quote we endelea tu na mambo yako , nikifanya hivyo its not for you at all ni kwa ajili ya watu wengine wanaosoma so they can know haya ni matumaini bandia .
Mimi nakushangaa mbona wewe una ni quote mimi silalamiki mzee
Ulisema hutanijibu tena ila still unanijibu , mimi kuku quote sitaacha wewe fanya kuni ignore tu lakini pale napojisikia kuweka mambo sawa nitafanya ivyo.
Nilishakuambia hii ni open forum as long as ni member wa JF sijavunja sheria yoyote then im free to participate upende usipende , kama unataka mawazo yako yasipingwe au yakipingwa unafura na kuanza matusi mimi hilo halinihusu kabisa
Unaweza kuta na hapa asikuelewe bado.Ni ngumu mtu kuwa anaku quote alafu we unaendelea na mamno mengine Kwa sababu unapata notification
Me nadhani njia nzuri ilikuwa ni kufata jamaa alichokuomba kuwa acha kum quote, that's better...!
Hili ni jukwa huru hatukatai, ila huo Uhuru ni wa wewe kupost chochote kile unachojiskia ilhali huvunji Sheria, ila sio jukwaa huru kwa kulazimisha mahusiano na mtu ambae hataki
Kwani wewe hizo false hope unazoziongelea ukizipost tu bila kum quote jamaa utapungukiwa nini? We post tu sie tutasoma wala usipate shida
ila kitendo cha kuendelea Kulazimisha kitu ambacho mwenzio hataki unataka tuhisi labda kuna kitu kingine tofauti na huu mpira ambao unajadiriwa hapa
Hakuna kitu kizuri kama kujua mipaka yako, humu kuna kina Flano Mkohoti lembu allypipi na wengine wanatema shombo kweli kweli ila ni zile za utani wa mpira ila huwezi kuona mtu anamwambia kuwa Acha kuni quote
Sasa wewe hadi unaona unaambiwa hivo maana yake imetoka kwenye football fun na kwenda personal zaidi, tuelimike mkuu, unachofanya ni Bullying na unaweza msababishia mtu trauma
Unaongelea kuhusu False hope anayotoa jamaa mbona sio case kabisa kwenye ushabiki wa mpira, kuna watu wanasema Chelsea itamaliza juu ya Arsenal na huo ni mpira huwezi kushangaa sana kwa sababu asilimia kubwa hisia hubeba nafasi kubwa kuliko uhalisia
sasa inashangaza wewe unaumia nini kuhusu false hope za jamaa ilhali nawewe unaweza kwenda kuhubiri kuhusu True hope kwenye Jukwaa la Team yako na washabiki wenzako bila kukwazana na mtu mwingine
Wewe endelea kutupiga spana humu ndani kadri uwezavyo ni ruhusa kabisa ila spana zako usizielekeze kwa mtu mmoja, we njoo piga spana kama wengine wafanyavyo ila sio kuendelea kumganda mtu aliesema hataki