Hawa jamaa ni wehu, wAkianza kupanga timu, kiungo kinakua inverted😂 na beki wa pembeni wanakuja kuoverload kiungo😂, halafu viungo wao ni press resistance, viungo wa mbele wana interchange play😂 ........Tupo hapa kuwakumbusha mzee ila tunaumia nyinyi kuwa na matumaini bandia si unajua tena ndugu zetu wa kenya walishajinyonga wengi tu kisa matumaini bandia ya arsenal.
Kuhusu kuumia kisa arsenal huo ni uongo, kukimbia huko ndipo tunapoumia coz mtakuwa hamjapenda kukimbia vichapo ndo vimewakimbiza.
Ni furaha sana hizi hadithi za alfa ulela kuzisikia ndo maana unatuona kutwa tupo hapa kucheka na kushangaa
Nimependa jina la id yako Arsenal 2004the last time Arsenal kashinda epl miaka 19 nyuma hata halland, martinelli, saliba , saka walikua hawajuii mpira ni nini ila now halland ana epl still mpo na matumaini ya epl
Kwa hayo maneno hata shallon soccer anakula goli 10, njoo kwenye uhalisia sasa dah!.
Ndio mana tunapenda kuja huku kwnye hili jukwaa kuondoa stress, mana huwa wanachekesha, Naomba Mod Flano kwa mamlaka uliyopewa hapa Jf uhamishe huu uzi uupeleke kule kwnye jukwaa la Jokes.