Huyo jamaa ni mnafiki ndio maana nilimwambia yeye anasema ni Newcastle why asifufue Uzi wao ,kila siku anakuja humu kukebehi mashabiki wa ArsenalUkitaka usisikie habari za arsenal au kuona watu wakiongelea timu Yao ni very simple....unaacha kuingia kwenye hili jukwaa hutakaa uone...unaongea as if unaumia saaana mkuu...watu wakikimbia au wasipokimbia ww kinakuwasha nn....after all hii ni platform ya mashabiki wa Arsenal... whichever timu unayosapoti nenda huko kwny timu yenu mkaongee mambo realistic kama unaona hmu Kuna hadithi za alfa na ulela
Unapoteza muda kumjibu mtu ambaye anakufanyia unafikiOde-trossard au ESR...Vieira huwa anacheza ila bdo simkubali sana unless msimu huu abadilike
Arsenal hakuna shabiki wa hivo ,Wewe ni mshika bunduki mwezetuu!!!!!!
Ila umeamua kujiweka tayari kisaokolojia, in case shit goes rogue!!!!
Nakuelewa brooooo!!!!!!!
Once A Gunner, Always A Gunner
Huwa mna kazi kumjibu huyo jamaaUnatuchanya mkuu, mara unasema haifikii September tunapoteana, mara tena October.Hatukuelewi mkuu unachokiongea.
Haya tuachane na hayo, hebu chagua moja kati ya hizi chini
a. Partey+Rice+Odegard
b. Partey+Havertz+Odegard
c. Partey+Jorginho+Odegard+Havertz
Huyo jamaa narudia ni mnafiki ,yaan yupo kukebehi ,amejitanabaisha amehama Arsenal ,ok fine move onOde-trossard au ESR...Vieira huwa anacheza ila bdo simkubali sana unless msimu huu abadilike
[emoji23][emoji23][emoji23] Mc Masingeli angekua mchungaji angepiga sana helaaaa.Kutoka maktaba[emoji2]
View attachment 2695487
Acha maneno mengi , mashabiki wa manjesta bhana[emoji23][emoji23][emoji23] Mc Masingeli angekua mchungaji angepiga sana helaaaa.
Jamaa linawajulia sana Kondoo wake, yaani likianza kuwapiga Upako hakuna Kondoo anaechomoka.
London will never be red (bottlers)
Kabishane na hao sky sport ,mm utanionea tuLondon will never be red (bottlers)
[emoji23][emoji23][emoji23] Bottlers kila kukicha hua wanaforce waonekane na wao ni timu kubwa.London will never be red (bottlers)