Ogopeni huyu kijana mwenye kwanza kabisa assist ya goli la kwanza na la pili katoa yeye,Hio game inayofata sisi hatuihesabii kama mechi, ni vijana tu wa kikosi chapili wataingia uwanjani kufanya warm up, muhimu damu ichemke na jasho liwatoke.
Sisi kama Man Utd timu kubwa zaidi duniani kwa sasa tunawasubiria kwenye mechi ya Ligi ili tuwaonyeshe kua Nyani sehemu yake ya kutamba ni juu ya miti sio uwanjani.
Hawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa."It's just MLS All-Stars..."
MLS All-Stars 1-0 Chelsea (2006)
MLS All-Stars 3-2 Chelsea (2012)
MLS All-Stars 2-1 Bayern Munich (2014)
MLS All-Stars 2-1 Tottenham (2015)
MLS All-Stars 1-1 Real Madrid (2017)
MLS All-Stars 1-1 Juventus (2018)
MLS All-Stars 0- 5 Arsenal (2023)
Sisi hatuna hisani ,bado nyie wenye keleleHawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa
Mkuu tukicheza na nyny tutaweka kikosi cha 10...hamkawii kuumiza wachezaji wetu nyny....mechi serious kwetu ni dhidi ya Barca hzo ndo level zetu sio hya Manyumbu wafukuza upepoHawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa
Hawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa
Analeta beki mwingine wa Kati na RWKwani flano eee
wao na sisi liniiiiiiiiiau hamis77 eee,sisi na wao liniiiii.....
Ila bado arteta anawajibu wa kuimarisha ngome
Mechi zijazo zitazidi kumfunulia wapi apafanyie kazi
Jamaa tunamsahau Sana ,halafu naona atatumika Sana Kama namba 8Ila wakuu kwenye hili jukwaa naomba huyu mwamba LEANDRO TROSSARD apewe heshima anayostahili.Jamaa ni technical na tactical gifted lakini kuna kitu cha ziada alichowazidi players wetu wengi.FIGHTING SPIRIT.
jamaa ni mpambanaji haswa na mara nyingi tunamsahau ila mwamba ni hatarii
Inabidi Ben White asaini mkataba haraka maana competition ya nafasi inaweza kumtoa kwny reli bishoo wetu akataka kusepa...tunahitaji midfielder mwingine na right wing...mabeki naona kama inatosha kwa Sasa tunao wengi sanaAnaleta beki mwingine wa Kati na RW
Tuna mabeki nane mpk Sasa....hao ni wengi sana...midfield still bdo hakuna watu wa kutosha...maana Kai na Trossard wanaweza kucheza winger na forward pia so tunahitaji walau mtu mmoja mwingine...Elneny na Vieira siwaamini sana...mmoja pancha sana mwingine physicality yake ipo chini kimtindoInabidi Ben White asaini mkataba haraka maana competition ya nafasi inaweza kumtoa kwny reli bishoo wetu akataka kusepa...tunahitaji midfielder mwingine na right wing...mabeki naona kama inatosha kwa Sasa tunao wengi sana
Kai kafunga goli kabla ya mudrkyHii hasira tuliyonayo tutawanywa walahi next season
Unaleta historia za kinjikitile ngwaleVipi bwana hamis77 unategemea tuludie kichapo gani Kati ya ivyo kwa siku ya jumamosi.View attachment 2694018
Mlimnyanyasa sana Kai...Kila baya alitupiwa yy..timu isipo perform yy ndo anabebeshwa lawama...Sasa ameondoka...tunategemea mbebe ubingwa wa EPL...maana inaonekana yy ndo alikuwa anawacheleweshaHii hasira tuliyonayo tutawanywa walahi next season
Vipi bwana hamis77 unategemea tuludie kichapo gani Kati ya ivyo kwa siku ya jumamosi.View attachment 2694018
Arteta alisema yeye ananunua Talent hayo Mambo alikuwa sijui mbovu n.k hayamuhusuMlimnyanyasa sana Kai...Kila baya alitupiwa yy..timu isipo perform yy ndo anabebeshwa lawama...Sasa ameondoka...tunategemea mbebe ubingwa wa EPL...maana inaonekana yy ndo alikuwa anawachelewesha