Ungefufua jukwaa Hilo angalau upate fans wawili kuliko kukaa humu Unaona wivu, Kama tunapeana hopes kwann umeekuwa unaumia
Kwann usihangaike na Newcastle na sajili zake na Jana imecheza na rangers ,muda wote upo humu kukebehi Arsenal wakati Newcastle ule Uzi wake upo domant
Inaonesha unaumia Sana kuona Arsenal tunapeana update humu,,
Hapana mkuu wewe ndio unawadanganya Sana hasa yule jamaa ako wa Chelseawewe Mc Hamisi Masingeli wacha kumpangia Pundit wetu Labyrinth 84 jukwaa unalolitaka wewe.
Simu ya kwake, bando la kwake kwa nini umpangie matumizi?
Huyo Maxes Melo mwenyewe mwenye Jf yake hawapangii watu majukwaa ya uchangia, wewe kama nani unataka kumpangia jukwaa mchambuzi namba 2 hapa nchini baada George Ambagile?
Mimi kama Flano mwenye kura yangu ya Veto hapa Jf nakwambia ndugu yangu Labyrinth 84 wewe ni mtu huru una kinga yangu ya kudumu ya kuanzisha thread au kucomments kwenye jukwaa lolote hapa Jf, tena ninakuomba tushirikiane bega kwa bega kugongelea misumari kwenye hii orphanage ya mzee wenger.
Ww hujaisoma psychology tu ya mshakaji....Once a gooner always a gooner...hyu ikifika May Arsenal kabeba kombe nakuhakikishia atashangilia kwlikwli....alaf huwezi kufananisha wale Newcastle na Arsenal kabisa...wale wakimbiza upepo uje kufananisha na sisi...si Bora hata mtu wa Manyumbu aje kubweka humu kuliko hyo jamaa...maana wale hata tukicheza kikosi cha saba hawatufungi....Wana mpira wa kawaida sanaHapana mkuu wewe ndio unawadanganya Sana hasa yule jamaa ako wa Chelsea
Huyo kahama Arsenal kwa maelezo yake kaenda Newcastle lakin anashinda humu anaumia kuhusu Arsenal
Mm nimeshauri akafungue jukwaa awe anaisemea Newcastle huko hata ikifungwa awepo ,
Naelewa hiyo Hali huwez kuhama timu ,labda dini ,never ever mtu ahame timuWw hujaisoma psychology tu ya mshakaji....Once a gooner always a gooner...hyu ikifika May Arsenal kabeba kombe nakuhakikishia atashangilia kwlikwli....alaf huwezi kufananisha wale Newcastle na Arsenal kabisa...wale wakimbiza upepo uje kufananisha na sisi...si Bora hata mtu wa Manyumbu aje kubweka humu kuliko hyo jamaa...maana wale hata tukicheza kikosi cha saba hawatufungi....Wana mpira wa kawaida sana
Hakuna cha kufungua jukwaa, Labyrinth 84 humuhumu kwenye jukwaa la Arsenyani ana uhuru wa kuongelea misukule ya Arteta kwa hoja zozote anazoziona yeye zinafaa kikubwa asivunje kanuni tu zilizowekwa na uongozi wa Jf.Hapana mkuu wewe ndio unawadanganya Sana hasa yule jamaa ako wa Chelsea
Huyo kahama Arsenal kwa maelezo yake kaenda Newcastle lakin anashinda humu anaumia kuhusu Arsenal
Mm nimeshauri akafungue jukwaa awe anaisemea Newcastle huko hata ikifungwa awepo ,
Haya endelea kumjaza ujingaHakuna cha kufungua jukwaa, Labyrinth 84 humuhumu kwenye jukwaa la Arsenyani ana uhuru wa kuongelea misukule ya Arteta kwa hoja zozote anazoziona yeye zinafaa kikubwa asivunje kanuni tu zilizowekwa na uongozi wa Jf.
Mimi mwenyewe ni nyumbu lakini ni mara chache kunikuta Unyumbuni muda mwingi nashinda humu kuzipiga spana hizi Arsenyau.
Wewe mwenyewe Mc hamis77 mara kibao unakua unyumbuni kumpiga spana Antony na Kocha la makombe 10hag.
Labyrinth 84 huyu ni muhanga wa false hope alizikua anaaminishwa na maArsenyau wengine kama wewe kwa miaka zaidi ya 20 iliyopita, sasa hivi akili imemkaa sawa na kujitambua kua alikua ni msukule kwa miaka kibao bila ya yeye mwenyewe kujua, hivyo ameamua kuanzisha kampeni maalumu ya kuwazindua misukule mingine ili ijitambue.
Kikubwa inatakiwa mumpe ushirikiano wa kutosha.
Labyrinth 84 una kinga ya turufu kutoka kwangu, endelea kuupiga mwingi maana wewe umeuishi usukule kwa zaidi ya miaka 20 hivyo unajua siri nyingi zaidi za ndani za hawa misukule na virembwe vyao, ndio maana wewe ukiongea hua inawauma sana kuliko hata sisi ambao hatujui mengi kuhusu hawa maFreemason.
Huu ulikuaa ushindi wa Jana tumemchapa mtu Tano...Next Game tunacheza na nyumbu kwa mtazamo wako tutawafunga kwanzia Goli ngapi..?Yaani kuwafunga wale Kigoma all stars(MLS) ndio uje kutamba humu?
Mliocheza nao jana sio wacheza mpira ni wahuni tu walima mihogo wakakusanywa toka sehemu mbalimbali kuanzia Kasulu, Ujiji, kigoma vijijini kisha wakapewa jezi na kuingia uwanjani.
"It's just MLS All-Stars..."Yaani kuwafunga wale Kigoma all stars(MLS) ndio uje kutamba humu?
Mliocheza nao jana sio wacheza mpira ni wahuni tu walima mihogo wakakusanywa toka sehemu mbalimbali kuanzia Kasulu, Ujiji, kigoma vijijini kisha wakapewa jezi na kuingia uwanjani.
Hio game inayofata sisi hatuihesabii kama mechi, ni vijana tu wa kikosi chapili wataingia uwanjani kufanya warm up, muhimu damu ichemke na jasho liwatoke.Huu ulikuaa ushindi wa Jana tumemchapa mtu Tano...Next Game tunacheza na nyumbu kwa mtazamo wako tutawafunga kwanzia Goli ngapi..?
Hio game inayofata sisi hatuihesabii kama mechi, ni vijana tu wa kikosi chapili wataingia uwanjani kufanya warm up, muhimu damu ichemke na jasho liwatoke.
Sisi kama Man Utd timu kubwa zaidi duniani kwa sasa tunawasubiria kwenye mechi ya Ligi ili tuwaonyeshe kua Nyani sehemu yake ya kutamba ni juu ya miti sio uwanjani.