Huyo ni wakumpuuza ,ameanza anadai deal la Rice limeshindikanaUna sababu za kusindikiza haya maneno yako au ni hisia zako Tu?
Imeshaisha hiyo.Rice asipotambulishwa leo niulizwe Mimi
100% hatambulishwi leo.Rice asipotambulishwa leo niulizwe Mimi
Sisi tunaona amepatia kbsa kwhyo kama amekosea inatakiwa mfurahie maana tutakuwa dhaifu kama mnavyoamini ndugu zetuAlipokosea Arteta ni kumsajili Havertz tu, ile pesa bora angewekeza eneo lingine au mchezaji bora zaidi.
Kwenye defence mmeshajivisha bomu wenyewe. Arsenal defence inakosa quality. Full backs, LW & ST mnahitaji watu wa kazi.
View attachment 2688645
Duh nitakutag Basi maana unabisha Sana ,Westham na rice mwenyewe wameshatoa statement100% hatambulishwi leo.
Inabidi wafurahie ili wapiganie ubingwa vzr bila ushindanSisi tunaona amepatia kbsa kwhyo kama amekosea inatakiwa mfurahie maana tutakuwa dhaifu kama mnavyoamini ndugu zetu
Kwahiyo hadi sasa hivi umesimamia Msimamo upi100% hatambulishwi leo.
😁 Deal limekamilika ila hatumbulishwi leo.Kwahiyo hadi sasa hivi umesimamia Msimamo upi
Kuwa deal lime collapse au hatambulishwi Leo?
Upo mchambuzi toka BonyokwaKwahiyo bado kuna mashabiki wa Arsenal mnaamini mtamsajili RICE?
Wataalamu wa mambo tushajua, dili lime-collapse kitambo sana.
Za chini ya kapeti dili la Rice limeyeyuka Arsenal soon atageukia option B.
Unaonesha kujianini kijana. Kwa unavoiona hii Arsenal ya beseni/ndoo /karai unaiona ikimaliza nafasi ya ngapi.na za juu zinasemaje, kaeni kwa kutulia Arteta masta na edu hawana mchezo
Hebu tuambie Rice anaenda wapi maana unasema una za ndani deal limefeliUnaonesha kujianini kijana. Kwa unavoiona hii Arsenal ya beseni/ndoo /karai unaiona ikimaliza nafasi ya ngapi.
😂😂😂
Jamaa ni Tall Sana