Hawa kama kawaida yao lazima wapigwe 10 na bayern
Huyu jamaa alikua na debut mbovu mno. Ila alivyopindua performance next games ilikua si mchezoHuyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name
Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi
Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee
Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.
Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto
Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.
Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE
Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka
Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford
Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.
Mzee wa jambia View attachment 2687376
Hakuwa na match fitness , Jana kacheza role ya zinchenko ,kaicheza vzr halafu yeye anajua kukabaHuyu jamaa alikua na debut mbovu mno. Ila alivyopindua performance next games ilikua si mchezo
why does it take so longToday,
— Arsenal will announce the signing of Jurrien Timber.
— The paperwork for the transfer of Declan Rice to Arsenal will be delivered and signed.
Sababu ni most expensive British dealwhy does it take so long
Muda utaongea Nan kapigwa ,hata Sancho, Anthony masebene,Weghost,malacia , mliwapamba SanaArsenyani mkaenda kusajili Havertz. Hahaha!
Tierney asiuzwe Zinny asogee LCMHakuwa na match fitness , Jana kacheza role ya zinchenko ,kaicheza vzr halafu yeye anajua kukaba
Hii inamaanisha Kieran Tierny hawez kubaki ,maana upande wake wanaocheza wamekuwa wengi , Zinchenko,Tomiyasu na. Kiwior ,
Kwa mfumo anaocheza Arteta hata Jana , KT atasugua Sana bench , lengo lakwanza ni ku overload kiungo ,Jana Kiwior kafanya vzr eneo Hilo na ni mzuri kwa defense ,Tierney asiuzwe Zinny asogee LCM
Hichi ndicho kitu arteta anakosea so far
Zinchenko amekuwa mtu wa kuumia umia sana so he is not that reliable...ila nakubaliana na ww... Tierney asiuzwe...kuna mechi za kubaki sana nyuma zitamfaa...na msimu ni mrefu huwezi jua kama Kiwior naye hataumia kwhyo better Kila nafasi iwe na wachezaji 3 wazuriTierney asiuzwe Zinny asogee LCM
Hichi ndicho kitu arteta anakosea so far
ila mwanangu Kai bado nina wasiwasi nae sanaZinchenko amekuwa mtu wa kuumia umia sana so he is not that reliable...ila nakubaliana na ww... Tierney asiuzwe...kuna mechi za kubaki sana nyuma zitamfaa...na msimu ni mrefu huwezi jua kama Kiwior naye hataumia kwhyo better Kila nafasi iwe na wachezaji 3 wazuri
Umeona eeh, yan game ya kwa kwanza daaah nikasema bora angesajiliwa ndickaHuyu jamaa alikua na debut mbovu mno. Ila alivyopindua performance next games ilikua si mchezo
Unakumbuka alivyokuja Øde ,Bora hata Kaiila mwanangu Kai bado nina wasiwasi nae sana
yuko soft sana
sijui lakini Kocha atamtumiaje
DahHivi Caicedo na Chelsea hawamalizani tu, nilisafiri hadi nmerudi bado tu aiseee
Mchezaji akishakua mzuri atahitaji kua regular starterZinchenko amekuwa mtu wa kuumia umia sana so he is not that reliable...ila nakubaliana na ww... Tierney asiuzwe...kuna mechi za kubaki sana nyuma zitamfaa...na msimu ni mrefu huwezi jua kama Kiwior naye hataumia kwhyo better Kila nafasi iwe na wachezaji 3 wazuri
Walikataa £70M yetu dirisha dogo kumbe walitegemea Summer kupanda hadi uko kwenye £100M????Dahsijakuona kweli rafiki
Wana mwez na nusu Sasa ,nasikia Brighton wanataka £100m
Na Sasa hawana haraka wanamsubiri Liverpool aliunge