Mc Hamis77, kw hiyo we top 10 upo siyo?Uliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd half
Nini kilikuwa implemented na magoli yalifungwaje?
Unaiwaza Arsenal unasahau chelkenge bado haijulikan hata Kama itakuwepo top 10
Wewe chelkenge andaa points 6 zingine mssimu wa 3 mfululizoMc Hamis77, kw hiyo we top 10 upo siyo?
Arse88 ni vilaza, mmedroo tu na hako katimu ka daraja la pili, top10 ndio mtaiweza
Mara ya mwisho ulikimbia uzi. 🤣Itaisaidia nn manjesta kuepuka vipigo?
Unaizungumzia Arsenal inayoweza kwenda mechi hata 10 bila kupoteza
Una kazi aisee unaijua ratiba yangu humuMara ya mwisho ulikimbia uzi.
Dk zitakazofuata ni benchi hadi liwake moto, atazima kwa ushuzi wake. Mimi namuamini sana Arteta, hawezi kuwaweka warembo wa kunengua uwanjani wakati yeye anataka kubeba makombe. Na mkimpendlea kama tulivyofanya huku mtarudi mlipokuwa na akina LuizKacheza dk ngapi Hadi uhitimishe tumepigwa?
Sasa Mimi nitajitolea kuwa nakukumbusha kila daily Kai anapo perform
Arteta (Kai Havertz position at Arsenal)
“We have to see how he adapts and obviously get to know each other and build relationships. Football is about that and time will tell where he fits in best."
Dk zitakazofuata ni benchi hadi liwake moto, atazima kwa ushuzi wake. Mimi namuamini sana Arteta, hawezi kuwaweka warembo wa kunengua uwanjani wakati yeye anataka kubeba makombe
Kipindi mnapokea vipigo walikuwa wanaonekana real Arsenal fans kama wawili tu, Arsenyani wote mlikimbia. Ilikuwa rahisi kujua kuna plastic fans wameshindwa kukubali ukweli.Una kazi aisee unaijua ratiba yangu humu
Arsenal na manjesta Nan kafungwa mech nyingi?Kipindi mnapokea vipigo walikuwa wanaonekana real Arsenal fans kama wawili tu, Arsenyani wote mlikimbia. Ilikuwa rahisi kujua kuna plastic fans wameshindwa kukubali ukweli.
Ni vema mkajifariji maana timu anauziwa dk shika,Rice to MAN UTD. Who says no?
Kulipa $127m mmeshindwa, mmepewa nafasi ya kulipa kwa mafungu pia mmeshindwa.
View attachment 2687548
makwinyos vip hatima yakeAmebakiza miwili ,ndio maana Arsenal wanataka kuanzia £40m ,hapo Wana uhakika wa kuvuta DM mwingine mdogo kwa uwekezaji wa miaka 10 ,kwa Bei had ya £80m
Yupo karudi ,mechi na Watford alicheza na alifunga goli ,naona atatolewa loan tenamakwinyos vip hatima yake
Sijuagi ubora wa Rice kwa kweli, naamini wapo wachezaji wazuri zaidi yake, nashindwa kuelewa dau lote hilo ni la niniThe next 48 hours should be fun #Arsenal
Nasikia Man UTD wamesha hijack dili tyri na wamelipa £110 Milioni...hvyo wanakamilisha hatua za mwsho Rice atangazwe rasmi kama mchezaji wao...ndo maana msela anafanya mazoezi na Bruno waanze kuzoeana mapemaRice to MAN UTD. Who says no?
Kulipa $127m mmeshindwa, mmepewa nafasi ya kulipa kwa mafungu pia mmeshindwa.
View attachment 2687548
Hawa kama kawaida yao lazima wapigwe 10 na bayernArsenyo wanaenda kuanza ligi halafu kipa namba moja ni Rasi Madale akisaidiwa na Heroin
Ile foot work ya Heroin iliyozaa goli la kusawazisha ni
Kwa hawa makipa wenu mkifanikiwa kutoboa Uefa kwenye hatua ya makundi nitaamini kweli uchawi upo. View attachment 2687584