Manjesta mnachekesha SanaNyinyi Wenger orphans ni wakushindwa kupiga nunubebi kweli ndo mnataka mkapige Bayern Munich kweli
Hakika kitawaramba
Itaisaidia nn manjesta kuepuka vipigo?Arsenyani wameanza kujisahau tena. Msimu uliopita walipiga kelele sana "Arsenal koNDOO, Haaland kiatu" msimu uanze tu warudi mapangoni.
Ww ndugu yangu uwe na maneno ya akiba usije ukakimbia kama unavyofanyaga ukawaacha wenzio humuHuyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name
Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi
Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee
Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.
Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto
Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.
Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE
Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka
Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford
Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.
Mzee wa jambia View attachment 2687376
Timu ya daraja la pili wameshindwa kupata hata ushindiNyinyi Wenger orphans ni wakushindwa kupiga nunubebi kweli ndo mnataka mkapige Bayern Munich kweli
Hakika kitawaramba
Yaan mashabiki wa chelkenge bhanaWw ndugu yangu uwe na maneno ya akiba usije ukakimbia kama unavyofanyaga ukawaacha wenzio humu
Uliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd halfTimu ya daraja la pili wameshindwa kupata hata ushindi
CHelsea fans? Why!! Mashabiki wa Arse888 mna IQ ndogo sana, ndio mana mnaweza kudumu na hiyo timu yenu inayowapa fake hopes kila msimu. Yaan kuna sababu gani ifanye chelsea fans wafanye hivyo? Havatrz hajaondoka kwa ubaya. Ni chelsea ndio hawakumtaka.Chelsea fans hao in reality 1st game unamjudge vipi mchezaji?tena friendly game?Sitaki kuamini Arsenal fans wanaweza kumshambulia Kai why?for what reason?hata EPL na Arsenal hajacheza ,hao ni Chelsea fans wanacreate kitu ili Kai aone kama anachukiwa but this is not true at all
Ww ndio maana wenzio wanakuita Mc wa singeli kazi yako kipiga porojo zisio na tija halafu unakimbia jukwaaYaan mashabiki wa chelkenge bhana
Kwahiyo mnarudi kugombea kushuka daraja
Wewe ndio waona nakimbiaWw ndio maana wenzio wanakuita Mc wa singeli kazi yako kipiga porojo zisio na tija halafu unakimbia jukwaa
Kwa kikosi kilichoanza na hata wachezaji walioingia hukupaswa kukosa ushindi kwa timu ile uliyocheza nayoUliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd half
Nini kilikuwa implemented na magoli yalifungwaje?
Unaiwaza Arsenal unasahau chelkenge bado haijulikan hata Kama itakuwepo top 10
Basi hujuangalia mpira Kwanza Kama kile unaona ni strong Basi nikusanue pale hawakuanza kinaKwa kikosi kilichoanza na hata wachezaji walioingia hukupaswa kukosa ushindi kwa timu ile uliyocheza nayo
Mc Hamis77, kw hiyo we top 10 upo siyo?Uliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd half
Nini kilikuwa implemented na magoli yalifungwaje?
Unaiwaza Arsenal unasahau chelkenge bado haijulikan hata Kama itakuwepo top 10
Wewe chelkenge andaa points 6 zingine mssimu wa 3 mfululizoMc Hamis77, kw hiyo we top 10 upo siyo?
Arse88 ni vilaza, mmedroo tu na hako katimu ka daraja la pili, top10 ndio mtaiweza