Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cedric anatuhujumu mpuuzi yule

Pepe na Cedric ni kujivunjia heshima Hadi ligi ikianza bado wakitambulika wachezaji wa arsenal
 
Cendric magwaya ajae, ni wakumuhofia zaidi ya ukoma
Hofu yangu anaweza kuwaambukiza kuchomoa betri watu pale nyuma
 
Kashapigwa mtu na kitu kizito, wakimkosa na Rice msimu ujao tunawaokota mtaa wa 7 huko.
 
EXCL: Besiktas have submitted an offer to sign Rob Holding from Arsenal. Proposal for centre-back worth €2.5m. Far below what #AFC might consider to sell & will be rejected. 27yo has 1yr left on contract + club option to extend by 12mnth @TheAthleticFC
 
Chelsea fans hao in reality 1st game unamjudge vipi mchezaji?tena friendly game?Sitaki kuamini Arsenal fans wanaweza kumshambulia Kai why?for what reason?hata EPL na Arsenal hajacheza ,hao ni Chelsea fans wanacreate kitu ili Kai aone kama anachukiwa but this is not true at all
 
Huyu angeenda tu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tulisema hivyo hivyo akiwa Chelsea
Tusimjudge kwenye first game
Havertz ni slander na mlenda
Mtamkula wenyewe, sisi hatupo
Na msije mkatudai pesa, tumeshatumia kununua Klabu ya mpira na tutaifanya naye ichukue vikombe kule Ligue 1
 
Kacheza dk ngapi Hadi uhitimishe tumepigwa?


Sasa Mimi nitajitolea kuwa nakukumbusha kila daily Kai anapo perform

Arteta (Kai Havertz position at Arsenal)

“We have to see how he adapts and obviously get to know each other and build relationships. Football is about that and time will tell where he fits in best."
 
Hahaha Balogun ni mzuri kaka
Huyu anauzwa

Mikel Arteta on whether he would like to see Folarin Balogun in the squad for the coming season?

'Yeah. He’s just staying here with us at the moment and we will see what happens.'


[@kayakaynak97]
 
Ethan Nwaneri in front of a well-built midfield of Partey and Rice to give him protection is definitely going to cook a lot of midfields in the PL. When he plays in an advanced role in the PL, he's going to have a lot of joy.



I'm happy with Ethan and his potential at the club.
 
Huyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name


Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi

Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee

Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.

Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto

Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.

Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE


Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka

Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford

Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.

Mzee wa jambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…