Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila Arsenal ni kikundi cha wahuni.

West Ham wametoa green light kwa ofa yenu na namna ya ulipaji mmekubaliana wote ila kusaini mikataba nyie ndiyo mnachelewa tena.

View attachment 2686828
Huu uzushi kawadanganye mashabiki wenzako wa unyumbuni


Hao Sky sport ndio waliosema Rice anaelekea mancity kupitia mwandishi wao Di marzio , mkafurahia Sana


Sasa hao Sky sport Jana wamewadanganyeni ,leo wamewageukeni Tena


Naweka ushahidi hapa chini taarifa ya Jana na ya leo


Zaman Sky sport walikuwa chanzo Cha kuaminika siku hizi Sky sport ni Kama TBC View attachment 2686840
 
Huyo Rice mbona hatambulishwi
Pesa ya kishika uchumba ndio changamoto kwa Arsenyo.
Westham washamind huko unaambiwa.
Arsenyo wakiambiwa waweke maokoto bank wanapiga danadana, Haya mkataba upo tayari wanaambiwa waje kusaini wanaleta uswahili.
Westham wamemwambia wakala wa Rice akafanye mazungumzo na Mancity maana Arsenyau wanaonesha dalili zote za utapeli.
 
Shida ni kishika uchumba Arsenal ndio hawana.
Westham wameshawakubali hio £105m mtalipia kwa Installment ya miaka 3, mnaambiwa muweke bank maokoto ya awamu ya kwanza mnapiga chenga, haya mkataba upo tayari njooni muweke saini mnaanza kupiga danadana.
Shakhtar walishtukia mapema sana utapeli wa Dr. Shika ndio maana wakaamua kumalizana mapema na tajiri miluzi.
 
Sawa Di Marzio
 
4-3-3


Trosaard anacheza LCM , Odegaard RCM

Double 8 hiyo


Atatoka Trosaard ataingia kai


Arsenal XI vs. Nürnberg: Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Kiwior; Partey, Trossard, Ødegaard; Saka, Nelson, Nketiah.

Arsenal subs: Hein, Cedric, Tierney, Trusty, Walters, Jorginho, Vieira, Havertz, Nwaneri, Lewis-Skelly, Jesus, Balogun. #afc
 

Hawana jeuri hiyo. Hakuna timu inayoweza kuweka mzigo mzito kama wa Gunners. Watasubiri tu tumalize ishu zetu zingine tuwarejee tutakapokuwa tayari. Wao Hammers Kwa sasa wanachofanya ni kufunga na kuomba tusipate mbadala au kukutwa na jambo lolote like litakaloharibu hili dili
 
Hii ni friendly tu Ndugu zangu arsenyani mbona mpo serious sana na kikosi.
 
Nelson as LW napenda Sana kumuona huu upande

Trosaard as LCM, hii namba ina wengi watauana KAI HAVERTZ,FABIO VIEIRA,SMITH ROWE,DECLAN RICE

Kama Partey anacheza DM basi tunaweza kumuona Rice as LCM


 

Jamaa umeiandama sana hii deal. Ikikamilika sijui utakuja na nini kipya
 
Players like Martinelli, Zinchenko, Tomiyasu are over with the squad and training, but are clearly just being eased back in after their injuries. That's why it's good to see Saliba starting, there must be a lot of confidence that he is now fully recovered from that back issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…