Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii deal nimeliona toka juzi but halijanishawishi kama ni uhakika
 
ADIDAS KUIPA ARSENAL £75m-£120m KWA MWAKA HADI 2030


Arsenal's newly signed deal with kit manufacturers Adidas is the most valuable partnership in the Premier League, according to a breakdown of the agreement's details from marketing expert Lukasz Baczek.


It comes after the Gunners announced last Friday that the partnership had been extended to 2030.
 
Partey aliyefananishwa na Casemiro ndiyo anataka kuuzwa?


Eti "Tunauza Partey tunachukua Caicedo" pesa ya Rice tu mmetandaza miaka 2.
sio miaka miwili ni mitatu, halafu kuna tetesi zimeanza kuzagaa Westham wameshtukia Arsenyau hizo pesa za kuanza kulipia Installment kumbe hawana, wanawapiga kalenda tu kila wakiambiwa wapeleke mzigo bank.
Kama ubabaishaji wa malipo ukiendelea kuna uwezekano Rice akauzwa timu nyingine au akabaki Westham.
 
hawa sasa ndio wachezaji wa Arsenyo tunaowajua sisi, yaani Kreonke mpaka dakika hii roho yake inasitasita kuweka bank pesa ya usajili wa Rice, yule babu kila akifikiria £100m nafsi yake inakataa, anamwambia Edu akaongee tena na Westham wapunguze kidogo iwe £60m kama Harvez.
Unaambiwa mpaka muda huu Westham wameshaanza kuchukia huenda deal la usajili wa Rice likakwama.
 
hawa sasa ndio wachezaji wa Arsenyo tunaowajua sisi, yaani Kreonke mpaka dakika hii roho yake inasitasita kuweka bank pesa ya usajili wa Rice, Mpaka Westham wameshaanza kuchukia huenda deal la usajili wa Rice likakwama.
Hizo habar umeokota wap

Kwahiyo anaenda manjesta?
 
Hizo habar umeokota wap

Kwahiyo anaenda manjesta?
Matajiri wembamba shida sana, unaambiwa babu Kreonke kila akipiga hesabu nafsi yake inasita, juzi kamuita Edu ofisini kwake anamuuliza kwani Lukonga mlimsajili kwa bei gani?
Kaulizia bei aliyosajiliwa Nketiah, Mwakinyoz, Kwiyo, Magalasa, Ordegard pamoja na Ben White.
Edu kaambiwa akaongee upya na Westham japo wafanye hata £60m kama ya Harvez
 
Wewe piga mboyoyo ,manjesta had Sasa Haina kipa ,inter wanataka€60m, Atalanta wanataka €100m, zikibaki siku 2 dirisha kufungwa mumrudishe weghost
 
West Ham lazima wachukie, wiki imepita halafu wanasheria wa Arsenal wanajizungusha tu.

Kuna kila dalili dili linaweza collapse. Hata Danjuma ilikuwa hivihivi kwenda Everton mwisho wa siku akaishia Spurs.

Daniel James kwenda Leeds alifanya mpaka photoshoot. 😂

Arsenyani wanatakiwa wajiulize kama West Ham wamekubali dau inakuwaje timu yao haisani mikataba ni wiki sasa!!!
 
Mna
Mnahaha sana ndugu zetu....basi pelekeni Magwaya west Ham mbadilishane nao wakupeni nyie hyo rice....hakuna timu inayolipa ,£100 million cash upfront kwa england....hapo...hela italipwa kwa installments kama makubaliano yalivyo....kama wao walivyotuhenyesha kukubali masharti Yao Sasa na sisi zamu yetu wasubiri tupitie mkataba taratibu hata kama itakuwa mwezi mzima....kama wanategemea hela ya Rice ndo wasajilie itakula kwao....jeuri ya kumrudisha hawana....maana Manyumbu hamuwezi ku afford bei yke....nyie pambaneni kununua kipa na hela zenu za ngama watani
 
Mchukueni nyie wakuu kama sisi tumeshindwa
 
Partey aliyefananishwa na Casemiro ndiyo anataka kuuzwa?


Eti "Tunauza Partey tunachukua Caicedo" pesa ya Rice tu mmetandaza miaka 2.
Hapa nitammaindi sana arteta
asijiamini sana last season yy na xhaka ndo waliform strong partnership asikubali waondoke wote kwa pamoja
 
Ila Arsenal ni kikundi cha wahuni.

West Ham wametoa green light kwa ofa yenu na namna ya ulipaji mmekubaliana wote ila kusaini mikataba nyie ndiyo mnachelewa tena. 🤣
 
Kreonke unaambiwa juzi kamuita Edo osifini kwake halafu kamuuliza hii timu ni baba yako?
Kreonke analalamika makubaliano ya kulipa £105m aliyafanya Edo peke yake bila kumshirikisha.
Unaambiwa juzi tajiri mwembamba aliwaka kinoma anamlaumu Edo na kumkumbusha jinsi alivyoliwa pesa yake kwenye usajili wa Pepekale
 
Ila Arsenal ni kikundi cha wahuni.

West Ham wametoa green light kwa ofa yenu na namna ya ulipaji mmekubaliana wote ila kusaini mikataba nyie ndiyo mnachelewa tena.

View attachment 2686828
sio wanajichelewesha bali hawana pesa ya kuanza kulipia installment, wanawalazimisha waarabu wamnunue Kitchen party ili wapate pesa ya kishika uchumba kwa Westham.
Unaambiwa tajiri mwembamba kawa mbogo kwelikweli tokea juzi anawafokea kina Edo na Arteta kwa kulazimisha mambo makubwa wakati uwezo wa timu ni mdogo.
 
Mimi furaha yangu ni kuona Arsenal ikikosa wachezaji wazuri tu. Sisi hatuna hiyo pesa kwa sasa.
Sasa kama una Hali hyo Kila siku utakuwa unahuzunika tu mkuu...maana haitakuja kutokea...Sasa hvi tukitaka mtu tunabeba..ize tu...West Ham wasubiri tupitie herufi moja baada ya nyingine tukishajiridhisha ndo tuendelee...vinginevyo wanaweza wakabaki na mchezaji wao kama Wana haraka sana paka wale...kwanza wametupiga pesa ndefu sana...Sasa wawe wapole...au kama vp Man UTD pelekeni ofa mumchukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…