Partey has agreed personal terms with Al-Hilal it was described to me as ‘big money on the way’ (in terms of personal terms salary).
It will now be down to the clubs to agree a fee if it was to happen
Nasikia anabaki ila ikija pesa kubwa hawaiachii ,wanaenda kwa Lavia au caicedo ambaye Chelsea wanahangaika mwez mzima SasaSipendi kusoma kuwa Partey ataondoka. Itakuwa tumepiga hatua mbele na hatua nyuma pia
Nasikia anabaki ila ikija pesa kubwa hawaiachii ,wanaenda kwa Lavia au caicedo ambaye Chelsea wanahangaika mwez mzima Sasa
Ndio hiyo hiyo ,45 si tuliyomnunulia? Tutapoteza mchezaji na sioni
kama faida tumepata. Wakuuzwa ni kina Pepe na Nketiah
45 si tuliyomnunulia? Tutapoteza mchezaji na sioni
kama faida tumepata. Wakuuzwa ni kina Pepe na Nketiah
Caicedo ni Chelsea bound...sidhani kama itawezekana hlafu pia anataka mshahara mkubwa sana kitu ambacho sioni kikitokea kumfata....Lavia is possible na hyu dogo wa Kibrazil naona naye anakuja...ila bdo we need another winger upande wa Saka Ili tuchallenge vzuriNasikia anabaki ila ikija pesa kubwa hawaiachii ,wanaenda kwa Lavia au caicedo ambaye Chelsea wanahangaika mwez mzima Sasa
Amebakiza miwili ,ndio maana Arsenal wanataka kuanzia £40m ,hapo Wana uhakika wa kuvuta DM mwingine mdogo kwa uwekezaji wa miaka 10 ,kwa Bei had ya £80mKwa mtu wa hesabu na uhasibu, hapo kuna faida kubwa. Bought for 45m, served the club for two seasons. I guess he had 4 year contract.
His book value as of now is 22.5m but market value is 45m. Bonge la faida
Caicedo alishamalizana personal term na Arsenal since January , Caicedo ni kambi popote yule , kwasasa yupo bond na Chelsea sababu hakuna mwingine anayemtakaCaicedo ni Chelsea bound...sidhani kama itawezekana hlafu pia anataka mshahara mkubwa sana kitu ambacho sioni kikitokea kumfata....Lavia is possible na hyu dogo wa Kibrazil naona naye anakuja...ila bdo we need another winger upande wa Saka Ili tuchallenge vzuri
Hii source kama niyauhakika hachomoki kwa mshahara huoAl Ahli have also offered £400k per week over 4 years. They have offered £30 mil verbally. Not enough. Arsenal want £45+ mil
UhakikaHii source kama niyauhakika hachomoki kwa mshahara huo