Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maneno mengi sana kwenye hayo majina, sijui Antony dos sijui Nini ...rahisisha maisha. huku bongo huyo jamaa anafahamika kama Antony Masebene
 
Ndo maana maneno mengi mpaka muda mwingine hata arsenal fan unashangaa kama game ya city maneno kibao ila ukiangalia kabisa unajua kwa city hatutoki ila haya maneno yanatoka wapi
kumbe hamis ni mc
 
Beautiful Ball ,

Swagger Ball,

Teta Ball,

Sex Ball..

Boys In Action Today... Arsenal Is Playing Today And The Whole World Is Happy..

#PreseasonFriendly
 
Huu uchambuz wako hata kama mtu ni mwehu lzm atakuelewa mkuu.
 
Ukiwa unasikiliza huu uchambuz wa watu wa Gunners.

Hata sisi wnyw City hatuwez leta team uwanjan
 
Kuna kila dalili deal la Rice likayeyuka.
Jamaa wa West Ham walitoa masharti magumu sana kiasi naona Gunners wanaanza kusita kutoa dau.
Kuna mahali wanaona wapo wenye uwezo kama wa Rice na wanauzwa kwa nusu bei.
 
Acha uzushi,weka dau na Mimi niweke hapa kama likiyeyuka

Arsenal hawajatangaza sajili zote mbili za timber na rice

| @FabrizioRomano: “I said ‘Here We Go’ for Declan Rice and Jurrien Timber and I don't change my position. I saw some rumors again today, but guys, I'm told that it is just a matter of an announcement. This remains very clear. Arsenal have everything ready for those two deals. So let's wait and see when Arsenal will unveil their new signings.” [via YouTube] #afc
 
The Arsenal are back for the 2023/24 campaign as they take on FC Nurnberg in Germany in their first friendly match to begin pre-season…

️ FC Nurnberg v Arsenal
Max-Morlock Stadion
18:00 GMT kick-off
Friendly Match

Time to begin pre-season with a win!
 
Kuna kila dalili deal la Rice likayeyuka.
Jamaa wa West Ham walitoa masharti magumu sana kiasi naona Gunners wanaanza kusita kutoa dau.
Kuna mahali wanaona wapo wenye uwezo kama wa Rice na wanauzwa kwa nusu bei.
Uzushi ,uongo unawasaidia Nini ?

ExWh -Tier 1 for Westham

"There is no change in the Declan Rice situation. He is expected to release a goodbye video to West Ham and be officially announced either Friday or Saturday by Arsenal before joining up with their squad for the tour of the USA"
 
Arsenal have sparked an interest in Gremio star Bitello.

He was in action on Sunday, with representatives from Arsenal in attendance.

The club want at least £8.5m for the attacking midfielder, who could be a versatile addition at Arsenal.

Edu is cooking on Brazilian gas
 
Mkuu ungewaambia ni kweli limeyeyuka wafurahi...hyu Declan Rice ana nn hasa mbona kama watu wanapiga kelele sana msela kusajiliwa na arsenal....walitegemea achague Man City au inakuwaje
 
Mkuu ungewaambia ni kweli limeyeyuka wafurahi...hyu Declan Rice ana nn hasa mbona kama watu wanapiga kelele sana msela kusajiliwa na arsenal....walitegemea achague Man City au inakuwaje
Walianza haji Arsenal anaenda city wakashangilia Sana

Wakasema hatuna hela

Mwisho wanasema dili limeyeyuka

Wanataka Arsenal watangaze wanavyotaka wao,
 
Arsenal hoping to announce Declan Rice transfer before they travel to USA for pre-season tour. Media duties yet to be done.

Full piece w/@kayakaynak97
 
Nimetoka kumcheki YouTube hapa. Nadhani wameona ni upgrade ya Xaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…