Hapa wamepgwa acha kuwaongopea, wajiandae kw matusi tu ya kumtukana.Hapa niwapongeze tena kwa mara ya pili tena. Kati ya Usajili kutoka Chelsea mtakao uona wa mafanikio ni hiyo ya Kai. Kama mtamchezesha kai namba kumi au nane mtaona yule kai wa Liverkusen Og.
Hongereni sana
Tatizo lenu moja tu mkianza kupelekewa moto mnapoteana humu hatari . Ila nao mnaongelea phases sijui phase ya nne ya tano ngoja nisubiri phase 10 nimekaa pale
Man City, Chelsea na Newcastle hazina history Wala identity but Liverpool, Man utd na Arsenal ndio Wana history and more trophies and fans kuliko hizo plastic teams.wingereza wasio na hata historia
Historia gani, wakat hata ulaya haiwatambui!!Man City, Chelsea na Newcastle hazina history Wala identity but Liverpool, Man utd na Arsenal ndio Wana history and more trophies and fans kuliko hizo plastic teams.
Unabishana na Huyo jamaa kabisa?Man City, Chelsea na Newcastle hazina history Wala identity but Liverpool, Man utd na Arsenal ndio Wana history and more trophies and fans kuliko hizo plastic teams.
One against oneMartinelli the Complete Winger/Forward
Never include Man U, Liverpool in the same sentence with Arsenal. Arsenal mkijikongoja sana mjifananishe na Chelsea angalau.✍️Man City, Chelsea na Newcastle hazina history Wala identity but Liverpool, Man utd na Arsenal ndio Wana history and more trophies and fans kuliko hizo plastic teams.
Wewe zurula humu ,manjesta vipigo msimu huu vinawahusuFunny fact: Only Arsenal fans sees themselves as giants tryna comparing themselves to the likes of Giants (ManU/Liverpool) while in reality they are just another mid table team among many from London.
Klabu ambayo squad yake. ..thaman yake ni over £1B+ unaichukuliajeFunny fact: Only Arsenal fans sees themselves as giants tryna comparing themselves to the likes of Giants (ManU/Liverpool) while in reality they are just another mid table team among many from London.
Man City, Chelsea na Newcastle hazina history Wala identity but Liverpool, Man utd na Arsenal ndio Wana history and more trophies and fans kuliko hizo plastic teams.
Nimezitaja maana Zina EPL na FA nyingi kuliko hizo plastic clubs zako. Have some respect for FA Cup record winners and the only team to have an invisible season in the highly competitive EPL.Never include Man U, Liverpool in the same sentence with Arsenal. Arsenal mkijikongoja sana mjifananishe na Chelsea angalau.✍️
Acha utoto 15 years ndio sample? Sample ni zaidi ya 100 years timu zilizojijenga bila kutetereka ni hizo tatu nyingine zote mpaka zilishuka daraja kama Leeds, Nottingham forest zimepotea kabisa wakati Zina ndoo za kutosha.Hapo ni kwa Newcastle tu ila kwa man city na chelsea wako mbali zaidiii ya arsenal. Historia ipi unaongelea wewe? Kwa miaka 15 iliyopita hii ndo historia ya epl
Man city 7
Man utd 3
Chelsea 3
Leicester 1
Liverpool 1
Hii ndo history inayoleta maana , historia inaundwa na trophies tu na si kingine chochote
Acha utoto 15 years ndio sample? Sample ni zaidi ya 100 years timu zilizojijenga bila kutetereka ni hizo tatu nyingine zote mpaka zilishuka daraja kama Leeds, Nottingham forest zimepotea kabisa wakati Zina ndoo za kutosha.
Ukubwa wa timu ni history, legacy, fan base, merchandise, trophies and so on sio component Moja tu otherwise tuseme Leicester ni timu kubwa kisa Ina ligi nyingi kuliko Arsenal ndani ya miaka 15 uliyochagua?? But Leo hii wako daraja la pili!!
So do City they also have an expensive squad. My point is that comparing Arsenal with ManU/Liverpool is a disgrace. Arsenal should be compared with Aston Villa, Everton, West Ham or Chelsea/Man City if only they(Arsenal) manages to clinch a UCL trophy (which is unlikely).Klabu ambayo squad yake. ..thaman yake ni over £1B+ unaichukuliaje
Naona mnaforce ukubwa. Sisi kama Man U mtu pekee ambaye tunamchukulia kama mkubwa/mpinzani wetu ni Liverpool. Na pengine Chelsea/ ManCity kwa mbali (based on their recent achievements). Nyie Arsenal jitahidini kwanza mkue ili muweze kufananishwa na Chelsea na sio kulazimisha ukubwa ambao hamna.Acha utoto 15 years ndio sample? Sample ni zaidi ya 100 years timu zilizojijenga bila kutetereka ni hizo tatu nyingine zote mpaka zilishuka daraja kama Leeds, Nottingham forest zimepotea kabisa wakati Zina ndoo za kutosha.
Ukubwa wa timu ni history, legacy, fan base, merchandise, trophies and so on sio component Moja tu otherwise tuseme Leicester ni timu kubwa kisa Ina ligi nyingi kuliko Arsenal ndani ya miaka 15 uliyochagua?? But Leo hii wako daraja la pili!!
Never include Man U, Liverpool in the same sentence with Arsenal. Arsenal mkijikongoja sana mjifananishe na Chelsea angalau.
Sasa kama hii ni team ndogo, kwenye jukwaa la Arsenal unakujaga kufata nini. Si uwe unaenda kwenye hayo majukwaa ya team kubwa zako sasa.Huyo Chelsea ana makombe makubwa yote kuanzia Uefa, Europa, world club, Epl halafu ndio umfananishe na hawa wazee wa kombe la mwanaFA?
Asenyau level zao ni kina Spurs, Brighton, Aston Villa n.k
Mimi binasfi Asenyau siwezi kumuweka level moja hata na Westham alietoka kuchukua conference juzi tu hapo.
Asenyo ni kama yai viza tu huwezi kulishtukia kama ni bovu mpaka mwisho wa msimu pale litavyoanza kutoa harufu mbaya baada ya kupasuliwa. View attachment 2685358