Arse88 ni ile ile, najua huwezi kunielewa mpk msimu ujao utakapoisha.We kenge, hiyo ndo maana ya project. Club inarudishwa kwenye position yake step by step. Now tunaingia phase4.
Siyo nyie mnaamua kurundika wachezaji wapya alafu mnasema mna project
We kenge, hiyo ndo maana ya project. Club inarudishwa kwenye position yake step by step. Now tunaingia phase4.
Siyo nyie mnaamua kurundika wachezaji wapya alafu mnasema mna project
Tupo mkuu,
Tunapiga miruzi,huku tumepiga nne kishua...
Si unajua ukiwa na uhakika.....
Tunajiandaa kwa paredi la ubingwa
COYG
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mkuu historia ni nini?. Hiki wanachokifanya Man City sasa hivi ndio wanatengeza historia tayari miaka 10 mbele hutaweza tena kuwaweka na Arsenal katika sentensi moja.
FACT!Congratulations football [emoji460]️ ya sasa sio ya maneno maneno ni uweke trophies [emoji471] kabatini mengine yanafuatia so umechambua vizuri sana since 1996 up to know nani ana trophies [emoji471] ngapi kabatini na uefa finals!mwishowe inawezekana tukawa team za history kama Nottingham Forest na Aston Villa (nani aliamini kama team hizi zitakuwa za historia wakati ule wa miaka ya 70s and 80s).Hii asipoelewa atakuwa chizi tu , siku man city anachukua uefa nilifikiri sana hili jambo mpaka nikakumbuka 2006 final pekee ya arsenal nikaona nifanye japo ki analysis kidogo.
Tuseme au tutoe upendeleo kwa arsenal fan yeyote kuwa ameanza kushabikia arsenal pale arsene wenger alivyotua pale highbury 1996 arsenal kawa bingwa wa EPL 3 , UEFA 0 na UEFA finals 1
Man city toka 1996 kachukua EPL 7 , UEFA 1 na UEFA finals 2.
Chelsea toka 1996 kachukua EPL 5 , UEFA 2 na UEFA finals 3.
Man utd toka 1996 kachukua EPL 11 , UEFA 2 na UEFA finals 4. Hawa mabwege wanabebwa sana na hizi stats [emoji23][emoji23] japo nao ni washakua mandezi hawana cha maana tena.
Liverpool toka 1996 kachukua EPL 1 , UEFA 2 na UEFA finals 5.
Sifikiri kama kuna mashabiki wengi walioanza kushabikia mpira before 1996 , wengi na kwa upendeleo ni kuanzia 96 kwenda mbele kwa stats mtu ambae ameanza kuwa football fans 96 ina maana kuna uwezekano akawa alizaliwa kuanzia 1987 hivi coz miaka 9 na miaka 10 wengi ndo tumeanza kuupenda mpira and not below that age. Tukirudi dogo aliyezaliwa 2000 or 1999 ukiplus miaka 9 or 10 ivi moja kwa moja inaangukia kwa 2009 mpaka 2011 ivi ambapo timu zilizokuwa zinafanya vizuri ni man utd , chelsea na man city ndo inaanza kuwa tishio under mancini so mtu kuwa man city fan ambae amezaliwa 2000 na kwenda juu huwezi kumwita plastic fan, ameanza kushabikia city at the right time ukiangalia na age yake.
Na city fans ambao wengi ni 2000 born japo hata kuna watu wazima ni city fans mpira sio kama kabila kwamba huwezi kuhama, watu wanahama dini sembuse mpira bana . City fans wa 2000 wakianza kuhesabu makombe toka wazaliwe timu iliowaacha makombe ni man utd pekee ambalo ni epl 1 na uefa 1 tu.
KIGEZO CHA PLASTIC FAN HAKINA MAANA TENA, TIMU KONGWE HIZI ZINAPASWA KUBEBA NDOO TU HASA MAN UTD & ARSENAL MAANA ZIMEPOTEANA FOR A LONG PERIOD
[emoji16][emoji16][emoji16] afadhali Labyrinth 84 umerudi maana jukwaa lilikua limepoa sana hili.Phase 4 malengo yake ni yapi? Tusijekimbiana humu mwezi april[emoji23][emoji23].
Man city amebakisha only 4 epl kuwa sawa na arsenal , club imesharudi kwenye position yake nayo ni kushiriki uefa kuna position tofauti na hiyo?
Mkuu mwarabu anapewa timu lini...mkibaki hvihvi kwa timu yenu ya kuungauunga pale juu top 4 mpasahau[emoji16][emoji16][emoji16] afadhali Labyrinth 84 umerudi maana jukwaa lilikua limepoa sana hili.
Mkuu hua unanifurahisha sana jinsi unavyotembea na facts mpaka hizi Kima zinakosa hoja na kuanza kutukana.
Mkuu endelea kugonga nyundo sisi kazi yetu ni kukusogezea tu misumari, maana kuna wahaini humu wamediriki mpaka kujitangazia ubingwa kabla hata ligi haijaanza.
#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
Hao hata akipewa Ellon muskMkuu mwarabu anapewa timu lini...mkibaki hvihvi kwa timu yenu ya kuungauunga pale juu top 4 mpasahau
[emoji1][emoji1][emoji1] nyumbu waje kukaa meza ya maridhiano, sio kwa nyundo hiziWe are blessed kabisa winga wa kulia Saka halafu winga wa kushoto Martinelli, Kuna timu winga wao wote masharobaroo tattoo nyingi kuliko magoli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji205]View attachment 2684598
Katika combo za midfielders yenu odegard ni masterpieceKuna Video nimeona Ødegaard anapiga control na Arteta [emoji91]
Arteta anamkubali sana Ødegaard aisee as if ni teammates wanavofanya jokes
[emoji1]Hao hata akipewa Ellon musk
Wana kocha Uwezo mdogo
Kai atapiga G/A 15 asipofikisha niulizwe MimiKatika combo za midfielders yenu odegard ni masterpiece
Huyo odegard ni hatari sana kwenye penetration passes ambayo ndio key factor ku-unlock defense ya timu pinzani
Kai na odegard
Hawa watashirikiana kupiga hizo penetration passes na mikimbio kitu ambacho msimu uliopita alikua anafanya odegard peke yake, xhaka hakuwa vizuri kwenye hili eneo
Kai na odegard
Nyuma yao Kuna rice/partey kuwahakikishia usalama
Zinchenko na timber wanakuja kuungana na rice/partey ku-solid midfielders
Saka na martinel kazi yao kuu itakua kuwatoa ulimi watu
I feel sorry kwa nyumbu na chelkenge for what gonna happen very soon[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]